Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

Faida ya kuzaa ni kuiendeleza Dunia.Tusipozaa itafikia muda watu wataisha na kukosekana uwiano wa maisha Kwa viumbe wengine.
Wewe umezaa au utazaa ili watu wasiishe duniani?

Kivipi binadamu wakiisha duniani kutakosekana uwiano wa maisha kwa viumbe wengine? Mbona kuna viumbe ambao wametoweka na wengine wako katika tishio la kutoweka kutokana na shughuli za binadamu kama uwindaji haramu na uchafuzi wa mazingira?
 
Kwa nini tuko duniani?
hilo ni swali binafsi, ambalo kila mmoja anapaswa kujiuliza. Kama unalo swali maana yake na jibu lake lipo. (jibu lipo kabla ya swali). Tenga muda wa kutosha wa kufanya meditation na contemplation utapata jibu sahihi kabisa. Kwa vile unalo swali, Nina uhakika na jibu lake unalo.
 
Acha porojo zako,
Nina swali na jibu sina, pia nina maswali mengine mengi zaidi ya hili ambayo sina majibu yake na mengine sidhani hata kama majibu yake yatapatikana katika kipindi cha miaka 100 ijayo.
 
Kwa nini unataka umasikini wako na kukosa kwako akili na chungu ya matatizo yako hapa duniani umrithishe mwanao asie na hatia yoyote ya raha zako binafsi na mtu wako ?
Ila Mali zangu, jina langu la ukoo, kabila langu, sifa njema anastahili?
Mtoto hurithi vyote hadi magonjwa ya asili.
 
Maisha yana mambo ya ajabu sana unaweza kuzaa watoto wakakutesa hadi ukafa na presha au wakawa hazina kwako na unaweza uzizae ukajutia maisha au ukaishi the best life in this world
 
Hujajibu swali
jibu unalo wewe mwenye swali. Jibu huwa lipo kabla ya swali. ishu nyingine ni personal sana.

Mimi binafsi tiyari ninajua ni kwanini nipo duniani. na wewe weka bidii kujua ni kwanini uko duniani. Ni jukumu lako kujua
 
Ila Mali zangu, jina langu la ukoo, kabila langu, sifa njema anastahili?
Mtoto hurithi vyote hadi magonjwa ya asili.
Vipi wanaozaa bila kuwa na mali au sifa njema? Mbona kuna watu wengi tu huwa wanabadilisha ubini wao au hawataki kutambulika kabisa kwa makabila yao.
 
Isaya 45
18 Maana Bwana, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni Bwana, wala hapana mwingine.
 
Vipi wanaozaa bila kuwa na mali au sifa njema? Mbona kuna watu wengi tu huwa wanabadilisha ubini wao au hawataki kutambulika kabisa kwa makabila yao.
Primary objective ya kiumbe chochote ni kuzaliana yaani continuity of a species ongezea ukoo, kabila, familia.

Sifa ni ya homo sapiens hizo nyingine ni mbwembwe zisizo na msingi.
 
Acha porojo zako,
Nina swali na jibu sina, pia nina maswali mengine mengi zaidi ya hili ambayo sina majibu yake na mengine sidhani hata kama majibu yake yatapatikana katika kipindi cha miaka 100 ijayo.
penye swali ndiko penye jibu. Kama hakuna jibu swali linatokea wapi sasa.

shida yenu mnataka maswali yenu (binafsi) yajibiwe na mtu mwingine.

ask yourself:
1. who am I
2. why am here (on earth)
3. what next after this life (and what is life by the way)

ANZIA HAPO, ninakuhakikishia: YOUR LIFE WILL NOT BE THE SAME!
 
Kuna mjadala nimeuona Twitter watu wameulizwa hili swali na limekosa majibu ya maana kabisa!
View attachment 3462018
Swali mbona rahisi lakini Kama mtajadili vijana wa Sinza na Kinondoni wavaa vipensi na kukesha club na kusubiri bar maid wamalize kazi muondoke nao mkawagonge mtaona swali hili ni gumu sana
 
Back
Top Bottom