Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

Wewe kwa nini umezaa au unapanga kuzaa?
Kuna shida gani binadamu akitoweka duniani?
Mtoto wa kwanza nilimpata ujanani kwasababu ya msukumo wa nature(Nyege) Nilipata demu nikaanza ku enjoy sex kwasababu mwili ulikua unanisukuma kufanya hivyo

Watu wanajisahaulisha kwamba naturally LENGO mama la SEX ni kwaajili ya reproduction…….. ndio maana tendo hilo ni so pleasurable ili kuleta msukumo wa kuzaliana

Ni vile tu sisi Binadamu kwa utundu(intelligent) wetu tumejua jinsi ya kupata hiyo pleasure bila kupeana mimba ndio maana tuna misamiati kama KUPANGA KUZAA

Ila kaa ukijua ukisikia hamu ya kugegeda Tafsiri yake kiasili ni kwamba unasukumwa kufanya uzalishaji
 
Hizi ni fikra hatari sana kwa ustawi wa jamii duniani. Ikiwa kila mtu atakua mbinafsi haitaki kuhusika na kuendeleza kizazi kweli kutakuwa na mustakbali wa taifa ?
Hizi fikra sumu kiwanda Kiko nchi za magharibi na zimeanza kutandaa duniani.
Angalia nchi zao zinaanza kuathirika kwa kuwa na wazee wengi kuliko vijana na hili linaathiri uchumi Inabidi waingize vijana kutoka nchi nyingine. Hapo ndio mustakbali wa taifa uko hatarini.
Kati ya Tanzania yenye lundo la vijana na Ulaya na Japan kwenye wazee wengi wapi maisha ni bora zaidi ?
Kwa nini vijana wa Africa wanalikimbia bara lao lenye rasilimali nyingi kwenda bara la Ulaya lenye rasilimali chache?
 
Kwanini unafikiria ujambazi ana ushoga usifikirie mtoto wako akawa Rais
Kwa sababu mtoto wako ana uwezekano mkubwa zaidi wa kuwa jambazi, kibaka, chawa, msukuma mkokoteni, mpiga debe, housemaid n.k kuliko kuwa Rais. Kati ya Watanzania zaidi ya milioni 100 waliowahi kuwepo nchi hii sita tu ndio wamekuwa marais.
 
Hujataja faida, nweii km binadamu atatoweka, nini kifuatacho? Dunia haitaendelea? Au ni vipii?
Nature works in mysterious ways……. HAKUNA anayejua kwanini Ulimwengu(akiwemo Binadamu)upo, Hakuna anayejua FAIDA au HASARA ya uwepo wake……. ila tunaweza kujua baadhi ya mambo jinsi nature inavyofanya kazi.

Naturally ukisikia ñyege maana yake unasukumwa kufanya uzalishaji(Sex)…….. mimba na kuzaa ni matokeo baada ya MSUKUMO wa SEX.
Hili ni jambo la kiasili kuhakikisha uwepo wa binadamu duniani

Tofauti yetu na viumbe wengine ni kwamba sisi tunajua namna ya kufurahia msukumo wa sex na tukakwepa mimba ndio maana tunaona kwamba KUZAA ni swala la KUPANGA na KUAMUA
 
Tofauti nyingine pia ni kwamba binadamu mtoto wake anazaliwa akiwa anategemea kila kitu kutoka wazazi wake kwa muda mrefu sana tofauti na wanyama ambao watoto wao wanazaliwa na kuanza kutembea siku hiyo hiyo na muda wa wiki chache wanaanza kujitafutia mahitaji yao.
 
😄
usipojua ni kwanini uko duniani ni hatari sana. Usipojua kusudi la kuwepo kwako, unakuwa hauna tofauti na mnyama wa kawaida. Mungu alituumba tuwe tofauti na wanyama wa kawaida (hayawani) . Utofauti wenyewe ni pamoja na kujua ni kwanini tuko duniani, na nini baada ya maisha haya ya duniani
Haya mambo ya Mungu ni kwenu nyie mnayo yaamini , ni bora ungenyamaza tu kuepusha kutoka nnje ya mada
 
😄
usipojua ni kwanini uko duniani ni hatari sana. Usipojua kusudi la kuwepo kwako, unakuwa hauna tofauti na mnyama wa kawaida. Mungu alituumba tuwe tofauti na wanyama wa kawaida (hayawani) . Utofauti wenyewe ni pamoja na kujua ni kwanini tuko duniani, na nini baada ya maisha haya ya duniani
Kwa nini tuko duniani?
 
Nafurahia kuona watoto wa ndugu na watoto wa marafiki ila kwa jinsi hii hali yangu inavyoendelea sidhani kama nitaleta mtoto duniani
 
Alietoa hiyo post nakiri kusema akili yake ni ndogo kuliko chembe ya haradani ama hana kabisa
 
Jamii ambayo ni watoto waliozaliwa na kukua. Boss, Unaona faida ya kupata heshima ya jamii kupitia gari ila huoni faida ya watoto?
Sijawahi kuona mtu anapewa hadhi ya juu katika jamii kwa kuwa na watoto wengi, huwa naona watu wenye pesa na vyeo ndio wanaheshimika na kuonekana wa muhimu zaidi katika jamii hata kama hawana watoto.
 
It’s nature, It’s out of pride.

Nadhani ni raha kuona vimtu vidogo vidogo umevitengeneza mwenyewe.

Hakuna faida tangible, zaidi ya zile za kihisia.
 
Faida ya kuzaa ni kuiendeleza Dunia.Tusipozaa itafikia muda watu wataisha na kukosekana uwiano wa maisha Kwa viumbe wengine.
 
Back
Top Bottom