Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?


Great perspective lakini inabidi tukumbuke pia kuwa binadamu anatumia akili na hisia ila hisia huwa powerful zaidi. Imagine mume anaeumia ili atoe matumizi ya kila siku, akipikiwa na kupetipetiwa anajihisi mpya na kupata furaha...

Kwa hiyo kiumbe chenye hisia hutegemea hisia za mwingine ili kupata fullfillment... Ndio maana Hata katika career life au biashara, lazma ufanye networking au kuwa katika communities zenye lengo moja ili kukaa karibu na fursa..

Kwa hiyo sio mbaya kuzaa ili upate ndugu zako, kizazi chako cha kukupa a deeper sense of purpose, upendo halisi na kuendeleza legacy yako ama kutengeneza zao

I am a millennial who questioned almost everything na kuishi tofauti na wengi kwa sababu nilikuwa naangalia ukweli beyond what the society consider as one... Na leo natamani ningeishi zaidi, worry less and enjoy life kwa zaidi. I wish watoto wako hawatojutia anything though regrets ni sehemu ya ubinadamu wetu maana hatujakamilika
 
Sijawahi kuona mtu anapewa hadhi ya juu katika jamii kwa kuwa na watoto wengi, huwa naona watu wenye pesa na vyeo ndio wanaheshimika na kuonekana wa muhimu zaidi katika jamii hata kama hawana watoto.
Jamii ni uzao wa binadamu. Wasipokuwepo hakuna wa kutoa hiyo heshima boss
 
It’s all about nature, ingawa hata binadamu wote wakitoweka dunia itakuwa ya kijani yote na itazidi kupendeza.

Hii inamaanisha kuwepo kwa binadamu na kuzaliana ndio kuna athiri dunia pamoja na nature.

we’re here to balance the nature ingawa unaweza dhani tunaiharibu.

when humans are > than balance, then something will happen to make that balance, is either watokee viumbe wengine watumalize na tufe wote or something else mpaka balance ipatikane, at that moment nature will take place na dunia yote kuwa ya kijani until those beings got destroyed again for the next Civilization.

Tunaishi na tunapumua with kufanya mambo mengine mengi ni kwasababu ya nature, Destroying it is destroying us.
 
Nimependa input yako kuhusu hisia.
It's true, tunafurahia zaidi maisha na kujisikia fulfilled when we have loved ones to live for.

Kwa hiyo sio mbaya kuzaa ili upate ndugu zako, kizazi chako cha kukupa a deeper sense of purpose, upendo halisi na kuendeleza legacy yako ama kutengeneza zao.
I still think ni sababu za kibinafsi, ila naamini hakuna kitu kinakupa upendo na a deeper sense of purpose kama kuwa mzazi. Binafsi sipendi sana mambo ya legacy, naamini inabidi uwe uamuzi wa watoto wako kama wanataka kuendeleza yale uliyoyaanzisha au lah. (Nafikiri kuwalazimisha ni kurudi kwenye ile hoja ya ubinafsi kwa kufikiri unawamiliki watoto wako wafanye unachotaka hata wakiwa watu wazima!)
I am a millennial who questioned almost everything na kuishi tofauti na wengi kwa sababu nilikuwa naangalia ukweli beyond what the society consider as one... Na leo natamani ningeishi zaidi, worry less and enjoy life kwa zaidi.
As a millenial, I did the same, nafikiri tulikuwa generation ya kwanza kuaccess kwa wingi information ambazo zilikinzana na mengi tuliyoambiwa au kufundishwa. At my big age πŸ˜… nimejifunza kuslow down, kuishi kwa ajili yangu, kufanya yale yanayonifurahisha zaidi na kutojali sana watu wengine wanafikiria nini.
I wish watoto wako hawatojutia anything though regrets ni sehemu ya ubinadamu wetu maana hatujakamilika
One can only hope, ninatumaini watoto wataishi vizuri na kuwa fulfilled zaidi yangu.

So far watoto wangu wote wanafikiri this world is too messed up na hawataki kuwa wazazi, labda it will change huko baadaye, ila naamini kama hawatoona sababu ya kuwa na watoto, they don't have to, binafsi sitawalazimisha.
 
Pamoja na majibu ya watu wengi hapo juu, kuzaa huongeza watu. Watu ndio maisha ya dunia, pasipo watu hakuna fursa zozote za kimaisha. Kuna raha na tabu, masikini na tajiri kwasababu ya watu tupo wengi. Vinginevyo hakuna chochote.
Lakini pia nadhani kuna faida za kibilogia kwenye kuzaa.
 
Wewe kwa nini umezaa au unapanga kuzaa?
 
Wee ndio umetoka nje ya mada kabisa, utaambiwa utoe uthibitisho wa uwepo wa Mungu? Aliye umba vinavyo onenaka na visivyo onekana km unavyo dai.

Binafsi nisanue kuhusu visivyo onekana ni vyepi hivyo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
visivyoonekana ni kama majini, malaika
 
Dunia inajitosheleza, haimhitaji mwanadamu kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…