Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

Kukosea target hadi iangukie kwa mtu aliyekuwa boss wako?!! Mtu aliyewahi kuwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisa katika idara nyeti unayoitumikia. Hapa kuna ukakasikidogo

Wauaji wanadai walimuua Kwa kufananisha gari yake na gari iliyoibiwa japo hapakuwa na taarifa zozote zilizowahi kurepotiwa Kuwa kuna gari imepotea

Naomba kufahamishwa wahusika walifungwa katika gereza gani,walitumikia muda gani hadi kutoka kwa msamaha wa Chief?
Pohamba salute pamoja na wote wanaoupa uzi uhai
 
Duh! Haya mapya kabisa.
 
It means ata hawa nzi wa toi walijua kuwa jirani zetu mizoga utakuwa mingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…