Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

sasa wew mbona hueleweki??
Wewe ndio huelewi somo.

Labda nirudie kwa herufi kubwa:

1. TEHRAN NA HOMELAND NI PROPAGANDA MOVIE.

2. KUULIWA KWA KOMBE HAKUHUSIANI NA HIZO MOVIE.

Hapo hujaelewa kitu gani?
 
sijaelewa usaliti na kuvujisha siri za serikali kuna tofauti gani na tukio la kombe???
 
We unaamini KOMBE aliuwawa kwa kuvujisha siri za serikali kwa MREMA?

Unajua huyo MREMA ni nani katika hii nchi?

Unafikiri ni mtu tu?
alikuwa mtu mkubwa sana ila leo niambie SIRRO anajua nini kuhusu confidential data za ndani za jeshi.. ishu ni kuwa muda wako ukipita unakuwa na ile heshima tu kuwa ulikuwa mkubwa ila kamwe huwezi kuambiwa data potential kama vile bado upo kwenye hiyo nafasi
 
ndio maana ya kupumzika mkuu,utajulishwa pale unapohitajika kutoa mchango wa mawazo.

hawa watu pamoja na kula raha ila wana kazi ngumu sana ya kutolea maamuzi changamoto nzito,kitu kinachowachosha sana na kutamani waache wakapumzike.
 
UHUSIANO WAKE NA LYATONGA MREMA,NA YEYE KUTOKUTII KANUNI ZA KIAPO CHA KUTOKUTOA SILI ZA KUTENGO,KILICHOFANYIKA KILIPASHWA KIFANYIKE,NA HATA YEYE ALIKUWA ANAJUA KITAFANYIKA,ISIPOKUWA HAKUJUA NI LINI,KWANI ALICHOKUWA ANAKIFANYA ALIKUWA ANAJUA ADHABU YAKE NI IPI,HATA YEYE ALISHAWAHI KUWAFANYIA WENGINE,KUMBUKA KANALI ANDRE SHIJA,
Ni Nani huyu kanal Andre Shija?
 
Mkuu walimlinganisha Edward Snowden na marehemu major General Imran Kombe?

Nikupe mfano, Simba dume akimtaka simba jike lakini simba jike huyo ana mtoto au watoto ni lazima ataviua vitoto vyote hivyo ili aanze upya mji wake.

Kwenye duru kama hii tuzungumziayo, haya masuala ni lazima yatokee lakini kuua huko ni kumpeleka mtu ubalozi na kadhalika.

Sasa pale palitokea mafahali wawili na isingekuwa rahisi kuishi zizi moja.

Ila inasikitisha kisanga hiki hakikuelezwa uzuri kwenye "My Life My Purpose" labda ingetupatia mwanga kidogo.

Ila kwa hakika Kombe alikuwa ni jasusi mahiri khasa kwenye military intelligence na wazee wengi kama mzee wangu (mzee Uledi) ambae hunipa story za hawa mazee anakiri huyu jamaa alikuwa ni mwamba.

Na hii ndo sababu hayati Mwalimu akampa uDG wa TISS kwani Kombe alikuwa rank moja kikazi na watu kama M7 na PG ambao nao walikuwa sehemu ya MI kule kwenye vita ya Uganda.

Weye unga codes utanifahamu uzuri ninachoongea.
Hivi military intelligence Ni nini kwa kiswahili?
Je intelligence agencies zinahusiana kupashana taarifa na jeshi au vipi?
Je jeshi Kama jeshi Lina kitengo Cha Siri Cha ukusanyaji wa taarifa?
 
Military Intelligence ni idara maalum ya ujasusi wa kijeshi kwa ajili ya kupata taarifa kinzani za kijasusi za nje dhidi ya nchi husika.

Ni idara ambazo ziliundwa na mataifa makubwa duniani ambayo yapo vitani siku zote kwenye maeneo yote ujasusi wa kijeshi, kiuchumi na kiteknolojia.

Idara hii huwa "active" sana wakati wa vita na ndo maana wakti wa vita ya Uganda marehemu Kombe (RIP) alikuwa mkuu wa brigedia ya 201 ambayo ilibeba wanamgambo na raia wengi ambao kiukweli walikuwa ni majasusi wa Uganda na Tanzania.

Pia mazee PK na M7 walikuwa ndani ya idara wakisaidia kupata taarifa za ujasusi wa kijeshi kutoka kwa Nduli Idi Amin wakiwa na kundi zima la UNLF.

Ndo maana hadi leo Marehemu Kombe anakumbukwa kwa kuongoza brigedia hiyo ya 201 ambaypo kwanza ilikuwa ya kwanza kuingia mjini Kampala. kisha kukwama pale Lukaya na baadae kuja kusaidiwa na brigerdia ya 208.

Maeneo kama Lukaya, Bombo, mji wa Lira na na kiwanja cha ndege cha Nakasongora yalikuwa ni maeneo ambayo bila uongozi imara wa marehemu Kombe majeshi ya Tanzania yasingeweza kusonga mbele kwa uhakika.

Nafikiri utaelewa.

NB:

Hizi taarifa mimi nazieleza kwa kukumbuka maelezo ya baba yangu mdogo ambae sasa hivi ni marehemu na alipigana vita hiyo na akarudi salama bila majeraha yoyote.
 
Ha ha umeeleza vizuri mkuu! Sema swali la pili hujanjibu? Je jeshi ukiachana military intelligence wanna kitengo Chao Cha kukusanya taarifa?
Na je kwa mfano wa huko tizi TIss Ina uhusiano was moja kwa moja na jeshi?
 
Ndo maana nimesema kuhusu ujasusi wa kijeshi kumaanisha kuwa majeshi huwa na hiyo idara yake ambayo ndo huitwa Military Intelligence.

Mzee PK amewahi kuwa jasusi wa MI na hata waziri mkuu wa Ethiopia wa sasa amewahi kuongoza idara hiyo ya MI ya jeshi la Ethiopia, Ehudi Barak wa Israeli nae amewahi kuongoza hiyo idara hiyo ndani ya IDF.

Ni idara muhimu sana kwa jeshi lolote lile na hufanya kazi zake tofauti na idara ya usalama wa Taifa ambayo maofisa wake wengi wamepitia jeshini lakini maofisa wa MI ni zaidi kwa maana ya level ya juu kwa mafunzo na mbinu za hali ya juu na ndo tunao watu kama Vladimir Putin.
 
Salute mkuu
 
Back
Top Bottom