Nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wa P Square?

Unamzungumzia Peter or Paul???
 
Looh!kumbe sema walimkataaga kwa kua ni mkubwa kiumri hata bimkubwa Hakua anamtaka yule mama!si unajua waafrica Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni chengaa...!!!ila mrembo yule mdada mweehh!!!
Mzuri sana sana hasa macho...ujue hadi ndoa wameifunga juzi kati hapa[emoji848]

Ila wakina Jude na wazazi hawakuhudhuria
 
Chukua Jembe Ukalime...., Siku Wakipatana Chukua Jembe Ukavune.... (In the mean time endelea kuburudika na kazi zao nzuri)
 
Anajua sana
Jamaa pia yuko vizuri..ngoma zake ni international based...Rudeboy (Paul/rasta) yeye zake nyingi ni local based ndio maana anatumia sana kilugha....Ila binafsi namkubali Rudeboy
 
Rasta Muungwana sana shida ni
Peter
Wewe humjui Rasta. Yule jamaa ni kauzu balaa, ila ni bingwa sana wa kukwepa media hasa akikasirika.

Na ndio maana wengi wanamuona siyo mkosefu.

Tafuta kuna clip moja, walikuwa wameita mwanasheria wakati wanataka kuuza na kugawana jumba moja Lagos walikuwa wamenunua wote. Rasta ni kichaa aisee, na ni mkorofi vibaya mnoo.

Peter watu wanamchukulia ni mkorofi kwasababu anapenda kuongea sana na ni mtumiaji mkubwa wa social networks.
 
hayo makabila ni km wakibosho na machame..
mkibosho ht akijenga nyumba mlango utaelekea upande ambao sio machame@
Kuna jamaa yangu mmachane alipata demu mkibosho wote ni wazaliwa wa dar, ila Mikasa ilianza demu alipopata ujauzito familia ya mshkaji iligoma kabisa kumtambua demu kama mkwe, ikafika kipindi demu kajifungua wanataka kubatiza mtoto familia ya jamaa iligoma kabisa kutoa ushirikiano demu akawa analia tu, sisi tunakula bia tunamwambia Shem kausha yataisha,

Sasa ikafika point jamaa anataka kufunga ndoa hapo ndo familia yake ikaona mshenzi huyu wakaamua kumfukuza kwenye nyumba aliyojenga kwenye uwanja wa familia, tulienda Moshi kwenye send-off ya demu masela tupu hakuna ndugu hata mmoja wa mwanaume, ila baada ya send-off tulikaa kama kamati tukamshauri mwana asitishe masuala ya harusi maana maneno na vikao vya ndugu kumlaani vilikua vingi sana, hadi leo jamaa anaishi na demu wanalea mtoto wao bila kufunga ndoa, niliongea na baadhi ya ndugu was jamaa wanasema ni bora angeoa demu wa kigoma au shinyanga kuliko kuoa mkibosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…