kwenye hizo kashi kashi Mazinge alipona kweli?
naskia alimuoa.hivi ni kweli alimuingilia mtoto wa miaka 9?
sasa unaambiwa acha kuandamana unajifanya husikii na kujiona wewe ni imara zaidi.utapigwa tu maana hamna namna.Alipiga vinara wote wa Yale maandamano walitumika maaskari wadunguaji yaani snipers wa Taifa...na ule huwa ni uamuzi wa mwisho pale maandamano yanapokuwa ni ya kiuhalifu na hata kuleta mauaji.
ahaaa!!! nipe elimu hapoUpagani ni dini pia labda km huelewi
kumbe ponda ameanza kuzozana na serikali kitamboKalateka, Mtalaam wa Judo Sheikh Ponda alitoa mafunzo elekezi ya Karate na Judo kwa Askar wa Jeshi la Polisi
unaoa mtoto wa miaka 9??? wa darasa la tatu???naskia alimuoa.
ila wanasema alimuoa ili amsaidie maana alikuwa masikini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ahaaa!!! nipe elimu hapo
Nasikia Mwaipopo aliokokaSababu ilikua Waislamu walitaka kulazimisha watu wasile Kitioto. Pale kulikua na bucha la kitimoto likiitwa Mbokomu. Waislamu wenye msimamo mkali wakiongozwa na huyo mwanaharakati Ponda na kina Mwaipopo walivamia bucha. Ila wanabahati hawakwenda kigogo maana huko wachaga walijiandaa na bisibisi za milunda ya nondo kungetokea mauaji. Walidhani sababu rais ni muislamu angewapendelea kwa ujinga wao. walisahau tanzania ni ya dini nyingi
Ila miaka ya nyuma waislamu walikuwa wanaweka msisitizo Sana kwa watoto wao kwenye elimu ya dini kuliko elimu dunia Kama wanavyoita na hii ilisababisha Hilo gap unalozungumzia namaanisha kwenye ajira na vyuoni hata katika shule za sekondariMauaji ya mwembechai yalikuwa ni kilele cha kilio cha waislamu juu ya ubaguzi dhidi yao wa siri na dhahiri katika nyanja nyingi hususan elimu na ajira serikalini, Serikali ya Mwalimu haikufanya vya kutosha kubridge gap kati ya Wakiristo waliokuwa na advantage kielimu toka wakati wa mkoloni. Hata shule za Kanisa ambazo Nyerere alitaifisha kwa hoja kwamba Watanzania wote wasome haikusaidia kwa sababu gepu la kielimu liliendelea. Na badala ya Nyerere kujenga shule mpya nyingi yeye alitaifisha zilizokuwepo ambazo bado ziliendelea kuwa chache na ndiyo maana watoto walikuwa wakifaulu primary school hawachaguliwi kutokana na uhaba wa shule za Sekondari.
Viwango na idadi ya waislamu chuo kikuu ilikuwa ni ndogo sana na serikali ya Nyerere na ya Mwinyi ambayo iliendelea kuwa under watch kali ya Nyerere kama Mwenyekiti wa CCM hadi mwaka 1990 haikuweza kuaddress tatizo hili.
Mkapa alivyoingia madarakani alikuta tatizo hili limefikia peak, mihadhara ilikuwa ni sehemu mojawapo tu ya waislamu kufikisha grievences zao kwa serikali.
Mkapa akaona atoe kile chuo cga TANESCO morogoro kuwapa waislamu ili kupunguza gepu na kilio hiki cga waislamu kuwa marginalized kwenye elimu.
Alipoingia JK akafanya kazi nzuri sana ya kujenga shule za kata kila nchi, kwa hiyo waislamu wakaweza nao kuaoma kwa wingi na pia JK akapandisha hadhi vyuo vya advanced diploma na kuvifanya vitoe digrii kwa hiyo katika mazingira haya huwezi kuwabagua tena waislamu.
Katika ishu ya teuzi, Kikwete alijirahidi kuteua teua na waislamu kwa wingi kidogo ijapokuwa wakiristo overall waliendelea kuwa wengi.
Alipoingia Magufuli, amejaribu kurudisga nyuma mafanikio haya ya kubalance demography za taifa katika utumishi wa serikali.Teuzi za Magufuli zinanuka Udini.
Proportiaonally ukiangalia idadi ya ma RAS, MaDAS, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Mashirika ya Umma, Mawaziri, Manaibu Waziri, Wenyeviti wa Bodi Waislamu ni wachache mno kulinganisha na proprtion yao katika hii nchi.
Kitila mkumbo kabla hajaenda CCM aliandika makala juu ya hili akasema ni muhimu kwa kiongozi kubalance demography za kitaifa ktk utumishi wa serikali.
Magufuli aishukuru sana BAKWATA na Sheikh mkuu, hawa wamekuwa kama nguzo yake kuu katika kutuliza munkari wa waislamu, lakini kiukweli lazima ukweli usemwe Teuzi za serikali y awamu ya tano zinanuka udini.
Na kama akishinda uchaguzi ujao akaendeleza teuzi za hivi basi ajue matatizo mengi ya utawala wake kupigwa vita sababu mojawapo ni yeye kushindwa kubalance force za demography kwenye watu wa kumsaidia kazi. Akimarginalize watu ajue pindi anapohitaji force za kumuunga mkono anaweza asizipate na kibaya zaidi inajenga chuki kali kwa wananchi ambao wanahisi wanatengwa
Jhounne,Ila miaka ya nyuma waislamu walikuwa wanaweka msisitizo Sana kwa watoto wao kwenye elimu ya dini kuliko elimu dunia Kama wanavyoita na hii ilisababisha Hilo gap unalozungumzia namaanisha kwenye ajira na vyuoni hata katika shule za sekondari
Humu hakuna jibu la sababu za yale mauwaji,tunachotaka kujua wengine huku ni uhalali wa yale mauaji ni nini hasa kilichopelekea hadi ikatumika nguvu ya kiasi kile ni kwamba ni hizo karate tu tunazoambiwa au kulikuwa na nini hasa? Sasa badala ya watu kuelezea uhalisia wa tukio naona wanazunguka tu zunguka tu.Kwenye amani ya nchi hatutaki watu waichezeee,,narudia tena iwe kwa gharama yeyote ilindwe,watu tuendelee kuvuta hewa ya mungu kwa amani,tuchati kwa amani,.n.k,
Ukiyaangalia maelezo ya watoa comment hapo juu unabainisha pande kuu mbili,upande wa serikali na upande mwingine,upande mwingine bado unayale mafunzo ya dini kwa hiyi ni ngumu kuelewana,lakini ukiunganisha vidot unaona kuna viji boko haram,alpaeda IS,alshabab vilikuwa vinataka kupandikizwa kwenye jamii fulani kwa matakwa yao.sasa nchi yetu haina itikadi ya imani fulani ....
Wewe mwehu una chuki
Reasoning ya watanzania bwana kwahiyo kuua watu ndio kutoa somo??vipi Kenya na kuua masheikh ndio ugaidi umeisha?? Vipi somalia na Iraq violence imemaliza mgawanyiko wa watu na usalama kudorora??S
Sio unyama tatizo wananchi wa tz mnavoishi kwa amani hivi na uhuru wote mlionao wa kutukana, kudharau mamlaka na mengine meengi hadi mnajipa kiburi dawa yenu ilikua ni kukumbushwa kwa stahili ile ya mwembe chai kuwa amani ya nchi huwa haichezewi! Kwani baada ya pale somo si lilieleweka vizuri sana hadi leo na ndio maana bado tunakumbushana kwa mada kama hizi kuwa serikali ipo. Ungekuwa unaishi zenye vurugu huko waliozoea vichapo leo usingehoji elimu ile mubashara ya mwembe yanga.
Aslamwalekhum
Serikali ni kichwa dini ni masikio na sio kinyume chake. Masikio yanapotaka kuzidi kichwa haitaleta picha nzuri,
Dini ibaki kuwa dini, na hakuna sababu ya kuleta uwiano sawa wa serikali katika watu wa dini.
Yaliotokea yameyokea lakini tujifunze mipaka yetu mashekh wenzangu, ya kaisari yabaki kwa kaisari na ya mungu tumuachie mungu
Mimi kama muislam swafi hadhia ya mwembe chai chanzo kilikua sis wenyewe waislam ukweli ambao hatuutaki kuusikia (mtanisamehe kwa hili)
Tunatumia nguvu katika kuaminisha uislam ni dini ya kweli na haki, mihadhara isiyo na tija na tunajisahau kwa maneno ya kashfa katika dini za wenzetu tunafika mbali hadi kuingiza itikadi zetu kitaifa (hili taifa haliamini katika dini )
Mafunzo ya karate na Kong fu tunajilinda na nani??? Kwani jeshi la kulinda nchi halipo??? Hayo mafunzo yapo katika misingi gani??? Mafunzo ya karate katika nyumba za ibada tunaabudu mungu au tunaandaa jeshi??? Kwanini mafunzo ya karate yanakua kama ya lazima kuna ajenda gani??? (Hapa kuna maswali mengi yasiokua na majibu)
Takbil.....
Hapa Ponda kasingiziwa. Shida ilianzia pale kwenye kile kikundi cha "Yesu sio mwana wa Mungu" mahubiri/mihadhara yao ilichukua muda mrefu sana bila reaction yoyote kutoka kwa Wakristo, kilipokuja kile kikundi cha bwana Simbaulanga cha "Biblia ni JIBU" ndipo sasa ikaanza kuonekana eti serikali ina mfumo "Kristo" Kina "askofu" Mwaipopo walitukana Ukristo weee na Wakristo wakawa kimya tu miaka yote, Kina Simbuulanga wakaaanza kuonesha jinsi mtume Mohamadi alivyo pewa utume na kuonesha idadi ya kina mama aliokula nao URODA, weee, watu wakakosa uvumilivu, yaliotokea ni historia tu. Nilikuwepo Dar mwaka huo, nakumbuka vizuri sanaNanachojua ni umavimavi wa sheikh Ponda kujifanya wafuasi wake wanaweza kutumia upanga dhidi ya bunduki.
hiyo siyo ya manzeseunayo??
Mauwaji ni baada ya kuamuliwa kutii Bila shuruti hawakutiiHumu hakuna jibu la sababu za yale mauwaji,tunachotaka kujua wengine huku ni uhalali wa yale mauaji ni nini hasa kilichopelekea hadi ikatumika nguvu ya kiasi kile ni kwamba ni hizo karate tu tunazoambiwa au kulikuwa na nini hasa? Sasa badala ya watu kuelezea uhalisia wa tukio naona wanazunguka tu zunguka tu.
Chanzo Cha mauaji ni wahusikaHumu hakuna jibu la sababu za yale mauwaji,tunachotaka kujua wengine huku ni uhalali wa yale mauaji ni nini hasa kilichopelekea hadi ikatumika nguvu ya kiasi kile ni kwamba ni hizo karate tu tunazoambiwa au kulikuwa na nini hasa? Sasa badala ya watu kuelezea uhalisia wa tukio naona wanazunguka tu zunguka tu.