zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Ni kweli inaweza kutuliza lakini je ndio suluhisho la milele?? Kwani diplomasia isingesaidia??Lakini kwa hayo mauaji ya Mwembechai yalituliza mambo lakini, maana hali kama hiyo haijawahi kujitokeza tena, ama?
Mfano zanzibar 2000 walizima hasira za CUF kwa risasi na mabomu ila je lilikuwa suluhisho?? Lakini Kufikia 2010 kulianzishwa serikali ya umoja wa kitaifa na ndio kwa mara ya kwanza uchaguzi ukawa wa amani kule visiwani
Nachosema violence iwe option ya mwisho baada ya diplomasia kufeli, kulikuwa hakuna haja ya kupiga risasi raia wasio na silaha. Wangejaribu kufanyia kazi malalamiko yao taratibu hasira zingeisha tu with time.
Leo hii Kenya kuna mjaluo anamchukia mkikuyu baada ya handshake ya Odinga??