Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,481
- 2,609
Sikumbuki exactly but kilichoshangaza waliokamatwa walikutwa wakristo wengi sana
So mostly inaonesha kulikuwa na kilio tu cha watu kudai uhuru wa kuandamana
na uhuru wa kupinga hiki au kile...
Msikiti wa mwembechai ulitumika tu kwa raia wengine kujiunga kwenye madai hayo
Muongo Mkubwa wewe!
Mauaji ya mwembechai ni mpasuko wa utawala kandamizi dhidi ya Waislamu.
Kumbuka wakat huo raisi alikua Mkristro, na Nyerere (mkatoliki) alikua bado yuko hai.
Mpaka waziri mkuu wote wakristo.
Waislamu walitengwa sekta karibu zote. Ajira, elimu, kupokonywa uwanja wa chang'ombe ambapo palitakiwa kujengwa chuo kikuu cha kiislamu