Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,241
- 11,781
Wala hakuna shida ndugu... endelea kukaza butiBasi baki humo humo kama ulimwelewa yeye, kwani kuna shida gani.
Wala hakuna shida ndugu... endelea kukaza butiBasi baki humo humo kama ulimwelewa yeye, kwani kuna shida gani.
Kwani usipomsikiliza anapata madhara gani?Halafu Pengo alipouzwa anasemaje kuhusu mauaji ya Mwembechai akajibu acha wauawe tu, tangu nilivyomsikia akijibu hivyo huyu Mzee nilimtoa thamani. Napenda Sana kusikiliza mahubiri ya dini zote lakini nikimkuta Pengo nabadilisha au nazima kabisa
nimejaribu kufata link uliyosema simu yangu almanusra ilipuke. kirusi.Aroon,
Ukitaka uchangie vyema ungekisoma kitabu ukajua Prof. Njozi amesema kitu gani labda ungeelewa na sababu kwa nini serikali ikakipiga marufuku.
Kuchangia kitu ambacho hukijui si busara.
Hiki kitabu kipo hapa mtandaoni pdf.
Wewe ndio mjinga usiyeelewa maana ya utaifa, usiyeelewa maana ya watu kuwa kitu kimoja.Acha Ujinga, Taifa gani alilojenga? na udogo wa Taifa la Nigeria ni nini?
Wewe ndio mjinga usiyeelewa maana ya utaifa, usiyeelewa maana ya watu kuwa kitu kimoja.
Unaingia kwenye basi Mbeya vijijini na abiria wote wanaongea lugha moja, unaingia kwenye basi Lushoto na abiria wote wanaongea lugha moja, huo maana yake ni umoja na ndio utaifa wenyewe.
Wanigeria wanatanguliza makabila yao hata wakikutana Ulaya. Huyu ni myoruba mwenzangu, yule ni muigbo mwenzangu, yule ni mhausa hastahili kuwa pamoja na sisi wayoruba, hapo hakuna utaifa kuna kusanyiko la watu wanaojitambulisha kupitia bendera na eneo linaloitwa nchi.
Nigeria pamoja na utajiri wa mafuta pia walikuwa na vita vya Biafra, migogoro ya kidini isiyokwisha kati ya waislamu na wakristo, mapigano ya kikabila, rushwa na ufisadi wa kutisha,mzozo Niger delta na siku hizi wana bokoharam hayo ndio matunda ya kuwa nchi na sio taifa.Je Nigeria wapo wapi nasie tupo wapi? huo utaifa wetu umetusaidia nini? Nchi imejaa mafukara na wajinga. na hayo ndio matunda halisi ya Mwalimu Nyerere
Nigeria pamoja na utajiri wa mafuta pia walikuwa na vita vya Biafra, migogoro ya kidini isiyokwisha kati ya waislamu na wakristo, mapigano ya kikabila, rushwa na ufisadi wa kutisha,mzozo Niger delta na siku hizi wana bokoharam hayo ndio matunda ya kuwa nchi na sio taifa.
Wale walikuwa waislamu wewe na mohamed said mnapotosha mpate huruma ya Umma.
Hata huko Nigeria maskini ni wengi kuliko hapa kwetu, wale wapo milioni 180 na zaidi, wenye hali njem tuseme wapo milioni 35, hao waliobakia ni choka mbaya.Je Nigeria wapo wapi nasie tupo wapi? huo utaifa wetu umetusaidia nini? Nchi imejaa mafukara na wajinga. na hayo ndio matunda halisi ya Mwalimu Nyerere
Mkuu Proved, nahisi baadhi ya wanaoshiriki kuuchangia mawazo uzi huu ni mabwana wadogo wa miaka ya kuanzia 1990 kuja miaka ya karibuni, hawawezi kuuelewa mchango wa Mwalimu Nyerere katika usimamiaji wa utaifa, wamezaliwa na kukuta kila kitu kipo kama kilivyo.Nigeria pamoja na utajiri wa mafuta pia walikuwa na vita vya Biafra, migogoro ya kidini isiyokwisha kati ya waislamu na wakristo, mapigano ya kikabila, rushwa na ufisadi wa kutisha,mzozo Niger delta na siku hizi wana bokoharam hayo ndio matunda ya kuwa nchi na sio taifa.
Hata huko Nigeria maskini ni wengi kuliko hapa kwetu, wale wapo milioni 180 na zaidi, wenye hali njem tuseme wapo milioni 35, hao waliobakia ni choka mbaya.
Naongele utaifa kuwa ni mtaji wa maendeleo, isingekuwa kazi rahisi kwa Mwalimu Nyerere kufanya kazi ya kutafuta uhuru na hapo hapo atafute maendeleo ya kiuchumi.
Kumbuka kuwa wasomi wengi wamekuja kupatikana kuanzia awamu ya pili na kuendelea.
Kazi ya kukuza uchumi nia ya kina JPM na marais wa kizazi chake, wao wana kila kitu cha kuchangia katika upatikanaji wa maendeleo ya kiuchumi.
Marekani wana miaka 242 ya uhuru wao, wewe unaishangaa hii miaka 50 ya kwetu!!.50 years baada ya uhuru ndio kwanza sasa kuanze kazi ya kukuza uchumi?
Marekani wana miaka 242 ya uhuru wao, wewe unaishangaa hii miaka 50 ya kwetu!!.
Usingetegemea katika hali ya ufukara wa miaka ile Mwalimu aweze kuleta maendeleo ya kuonekana. Halikuwa ni jukumu lake la moja kwa moja la kuleta maendeleo, aliacha viwanda vingi tu, sisi tulioachiwa tulifanya nini katika kuviendeleza?.Walishaendelea zamani tu hao U.S, Mwalimu alitawala 20 years ukitoa miaka 7 ya kugomebea uhuru. Na alishindwa kuleta maendeleo ya aina yoyote ndani ya nchi.
Hivi huwa mnapotosha kwa faida ya nani?? Ponda si ndio aliongoza maandamano kwenda kudai viwanja vilivyoporwa na Manji?? Ponda si aliongoza maandamano makubwa kupinga alichoita ubaguzi NECTA?? Au ni Ponda yupi anayeogopa maandamano?? Msidhani kila mtu ni coward kama wewe.walipata tabu sana,walipigwa wakachakaa,kipigo chake kilikuwa ni cha mbwa koko,ukitaka sheikh ponda akuchape makofi mwambie habari za kuandamana saivi uone,kabaki kuwa mwanaharakati tu kama mange,what happened was NECCESARY maana watu walianza kujisahau na kuleta UDINI,serikali had to send a CLEAR MESSAGE,hapo ndo ninapompendeaga mzee BENJA,hanaga masihara ktk maamuzi
Ni kweli knapatkana bure?
Ingia Google kipo hapo.Ni kweli knapatkana bure?
HahahaNinachokumbuka ni kutapakaa kwa Yeboyebo zilizokosa wenyewe magomeni nzima.......fanya fujo uone si wa kuchezea!
Umenikumbusha Kamanda Venance Tossi akiwa Mkuu wa FFU jinsi alivyotengeneza jina lake kwenye Operesheni hiyo.
nakumbuka Sheikh Ponds kipindi hicho alikuwa anacheza karate...aliwadhibiti wale mapoti Kwa kung-fu
walipozidiwa Kwa kung-fu za wale maustazi, wakakimbia na kwenda kuita Kaka zao..
eee bhanaa wee.! acha kabisa..
hadi sisimizi walikuwa hawakatishi Eneo hilo nao walikuwa wanapigwa;ndege WA angani nao walikuwa wanapigwa risasi live wakikatisha..
kile kikosi kilikuwa hatari Kama Barcelona ya Guardiola.! Hakuna huruma