Nini hasa kilisababisha vurugu za Mwembechai mwaka 1998?


Kweli walitumia nguvu kubwa Sana.
 
Lazima tukubali haya yote yalianzia kwa Sheikh Ngariba Mussa Fundi miaka ya 1980. Tulipokubali ile mihadhara ndipo shida ilipoanzia na kupelekea mambo ya mwembechai. Mwembechai ilikuwa kilele tu Cha kujisahau kwetu.
 
Lazima tukubali haya yote yalianzia kwa Sheikh Ngariba Mussa Fundi miaka ya 1980. Tulipokubali ile mihadhara ndipo shida ilipoanzia na kupelekea mambo ya mwembechai. Mwembechai ilikuwa kilele tu Cha kujisahau kwetu.
Haya mambo yanakuja kama upepo na kupita, kama vile yanaibuka kwa malengo maalum kulingana na wakati huo mfano vuguvugu la Sheikh Ponda na Sheikh Ilunga (Rip) miaka ya nyuma enzi za awamu ya 4.
 
Duuu! kama bakora walizioga!
 
wacha ujinga unaleta vurugu uchekewe?hata leo jaribu uone kitakachokutokea.
 
Mzwe sideboy alikua mmoja wa organizer alipoona mabomu ya kutoa machozi na vurugu zimezidi alikimbia kujificha na kuuwaacha wafuasi wenzie wakila kipondo kutoka kwa polisi. Ujinga haujawahi muacha mtu salama.
 
Kwani Wakristo wakisema Yesu ni Mungu nyie kina wauma nini hadi muanze kukanusha?
Siyo kuuma,Qur'an inasema yesu si Mungu Wala mwana wa Mungu so tuna haki ya kusema hivyo,Cha ajabu serikali ya mkapa ikawa inasimama mahakamani mahala pa kanisa,toka 98 mpaka 2003 kesi ya dibagula serikali ikashindwa,ni waislam ndiyo waliyofanya serikali ibadili ibara inayozungumzia uhuru wa maoni na kuandamana,Leo sheria hiyo inawang'ata chadema
 
Watoto hawawezi kusoma nyuzi kama hizi
Tupo tunaosoma kujifunza Mambo. Mathalani Jambo Hilo lilitokea 1998 nikiwa na miaka 8, lkn la stakishari police station limetukia 2015 nikiwa 25 na limetokea miezi kadhaa nikiwa nimetoka kituo husika ikiwa ni sehemu ya matembezi katika kozi inaitwa woodbadge katika Skauti ambapo intake yangu tulifanyia segerea seminary na route March ya patrol yangu ilinipitisha kituo husika na baadae nikasikia pamevamiwa na classmate wangu hapo alikuwa ni Kati ya majeruhi.
Watoto tupo hapa kujifunza ni mwendo wa comment after comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…