Nini hasa kilisababisha vurugu za Mwembechai mwaka 1998?

Hapa namkumbuka kamanda wa polisi kanda ya dsm Alfred Gewe sijui bado yupo hai au kawafuata wale aliowatanguliza bila hatia
 
Nafikiri kuna wahuni waliokuwa na nyadhifa kubwa kubwa ndani ya serikali wakishirikiana na aina ya viongozi wa kidini kama kina Ponda na huyo Mudi kutaka kumuharibia Ben uongozi.
Afadhali walipatiwa kichapo walichokitaka.
Nina uhakika serikali haikuanza uchokozi
Ngoja nikuitie Mkuu Maalim Mohammed Said
P
 
Ulijuaje dini za waliokamatwa?
Acha uongo
 
Kwani ni lazima kuchokonoa imani za wengine?
Huo ni upuuzi.
Kuna wahuni kama ninyi mlikuwa mnamjaribu Ben Yamini
 
Kwani ni lazima kuchokonoa imani za wengine?
Huo ni upuuzi.
Kuna wahuni kama ninyi mlikuwa mnamjaribu Ben Yamini

Unisema Muamini Yesu kama Mkombozi wa Maisha yako hujui tayar umechokonoa Imani ya Wengine?

Shule yako hafifu sana

Ukisema Achana na Mambo ya Mizimu muamini Yesu tayari umeingilia Imani ya mwingine
 
Kaka
Kaka tushajua baba yako alikua waziri hakuna haja ya kurudia mara kwa mara

Hata mimi baba yangu alikua Rais hakuna haja ya kusema sema humu !
 
Bila shaka mhalifu alikuwa anatafuta huruma ya magaidi wenzake
 
Katika Jambo nawapongeza TISS ni hili
 
Bado hujaeleza yenye uzito wa kutufanya sie wengine ambao tulikuwa bado wadogo kipindi hicho tuweze kuelewa uhalali wa mauwaji ya mwembechai. Miaka ishapita na watu wanataka kujua nini hasa kilitokea hakuna haja ya kuficha kama fujo za waislamu hujulikana ila yale mauwaji ndio ndio kitu ambacho watu wanataka kujua ni nini hasa kilichosababisha.
 
Unisema Muamini Yesu kama Mkombozi wa Maisha yako hujui tayar umechokonoa Imani ya Wengine?

Shule yako hafifu sana

Ukisema Achana na Mambo ya Mizimu muamini Yesu tayari umeingilia Imani ya mwingine
Akili yako imeganda wewe mwarabu mweusi!
Ujumbe wa wakristo daima huenezwa kwa amani na upendo na sio kwa njia ya upanga.
Hutamsikia mkiristo ama kiongozi wake akiwa kokote akikashifu imani ya mwingine tofauti kabisa na hao wenzako.
Wanahubiri matendo mema na upendo na atakayebahatika kusikiliza hayo mahubiri na akashawishika kuja basi hupokelewa.
Ninyi sasa,uuuwi
Hatari
 
Mkuu, Dibagula aliachiwa na Mahakama ya Rufani...hukumu iliandikwa na Jaji Mkuu Samatta.
Kesi ilianzia Mahakama ya Hakimu Mkazi Moro......... jamaa kafungwa........Mahakama Kuu (Jaji Chipeta) ikaitisha marejeo ...jamaaa akapunguziwa Mvua ...eventually akatoka......ila kuweka record sawa kua hilo sio kosa akaamuua kwenda Mahakama ya Rufani
 
Sio rumours mambo mengi yalikuwa yanaendelea
Tatizo watu hawataki kujua ukweli wa mambo,ukweli ni kuwa waislam wanapakaziwa mambo mengi ya uongo,mtu anakwambia kuna rumours wakati kuna kitabu kinaelezea kila kitu,hata sheikh ponda aliitwa gaidi kwa kusema ukweli,masheikh wa uamsho wanaonewa bila sababu ukiuliza wanasema ugaidi,kuna chuki dhidi ya waislam kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…