Nini hasa kinafanya gharama za kuchimba kisima kuwa mil 8, 10, 12? What is so special?

Watu wanafanya agreements na kampuni inayofanya study na kuchimba, makubaliano ni maji yatoke, mkishindwa kuleta maji we share the loss.
 
Zile mashine za filter nimeona hata baadhi ya taasi hasa shule za private ukanda wa maji ya chumvi. Ila kwa yale magadi ya Kimara sijui kama zinaweza kutoboa
Hazina shida, zinapiga kazi vizuri tu, unakuwa unabadilisha filters kila ikichuja lita 20,000.

Ila kwa maeneo ya kimaa hadi kiluvya ni vyema kuvuna maji ya mvua. Ukichimba kisima 50,000m³ mbona maisha yanaenda tu.
 
sehemu fulani dodoma ndanindani huko walichimba mita 200 ardhini kwa mil.15 na hawakupata maji, wakasema wakiendelea zaidi ya hapo wanaweza kutoboa miamba ya volcano ukatokea moto kisha maafa.

Wakafungasha mitambo yao wakatokomea kusikojulikana na pesa za wananchi....

Na hili limeshatokea kwenye vijiji kadhaa nashuhudia kwa macho yangu utapeli huu. wanapima unasema maji yapo hapa mita kadhaa ardhini wakichimba wanakwambia yamekumbilie upande ule kwasabb ya vibration ya mashine!!!!

Nimekua mkubwa sasa,
2025 nitakwenda na haya mambo nitasimamia mwenyewe.

Na makubaliano yakiwa milion 10,15 au 20, sharti kuu la malipo itakua ni lazima maji yapatikane chini ya wanasheria nguli.

Hata kwenye kupima kwamba maji yapo au hayapo tutafanya chini ya makubaliano ya wanasheria....
 
Kikubwa kua na maji ya kuyeyusha njia unayoichimba utaokoa nguvu nyingi sn pili unaweza tumia wale wazibuavyoo watakusaidia kwakua wanaujuzi wakuchimbamaeneo km hayo gharama inaweza isifike hata 3mil
Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka hata 1m inaweza isifike..

Maji yapo unayosemea yakuyeyusha. Muhimu mimi nikuwa na hiyo motor ndogo labda yenye 0.55 to 1 kw, shaft napata kwenye scraps zenye 1 meters then nakuja ku weld mwenyewe na parts zingine kama drill bits n.k

Nilichimba choo ndani ya mita 9 nilipata maji na sikutaka kuendelea zaidi ya hapo, maana nilikuta nataka 10 meters kichimbwe, majirani zangu wao wamechimba wanasema ukichimba 15 meters maji unakuta.
 
Ofisi zao zinaitwaje na ziko Tabata maeneo gani?
 
Kwahiyo Wananchi wa Chanika tutembee vifua mbele kwa kubarikiwa ardhi iliyotukuka ya maji matamu kama ya ziwani [emoji848][emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
😄😄Kabisa mkuu maeneo ya Chanika maji yenu ya kisima yako poa, kuna wengine wamechimba tu visima kienyeji lakini maji yako poa
 
[emoji1][emoji1]Kabisa mkuu maeneo ya Chanika maji yenu ya kisima yako poa, kuna wengine wamechimba tu visima kienyeji lakini mji yako poa
Kweli dunia haiko fair kabisa, Chanika kuko nnje ya Jiji la Dar (umbali) lakini maji ni bwerere na mchanga wa kujengea nyumba wala hata huwazi pa kuutolea [emoji851]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kweli dunia haiko fair kabisa, Chanika kuko nnje ya Jiji la Dar (umbali) lakini maji ni bwerere na mchanga wa kujengea nyumba wala hata huwazi pa kuutolea [emoji851]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ardhi ya Chanika ina maji sana, mchanga wa kutosha

Changamoto ni kwenye ujenzi wa shimo la choo, usipoimarisha yanabomoka sana
 
Nchi hii kila sehemu kuna wizi hao wachimba visima wengine huchimba na kuweka bomba fake au pump ndogo maji yakatoka kidogo sana...Kuna Tabu sana Hii nchi
 
Ukiona gharama ninkubwa chimba kwa mikono kwani ni lazima utumie mashine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…