Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Hahahha..em poa man..Unapigiwa simu kumbe ..!!!!???!
Na unasema mimi nadanganya ...!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha..em poa man..Unapigiwa simu kumbe ..!!!!???!
Na unasema mimi nadanganya ...!??
Hem toa tathmini yako, unadhani gharama kiasi gani ni affordable kwa mtanzania!Hao wenye mashine na wao wamejaa tamaa sana,yani ni kweli uchimbaji wa visima ni ghali mno hakuna uhalisia yani tunapigwa sana sisi watanzania
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌Hahahha..em poa man..
Gharama ya kuchimba kisima inategemea aina ya kisima, kina (urefu kwenda chini), aina ya mwamba eneo la kisima (geology), aina ya mashine itakayochimba na mabomba yatakayotumika.Katika vitu ambavyo Kila nikifikiria nakosa majibu ni gharama ya kuchimba kisima na Ile mitambo yao kiujumla, Sote tunajua kuwa katika mitambo inayouzwa bei ghali ni mitambo ya kutengeneza Barabara na ya migodini, ikiwemo Wheel loader, Excavator, Bull dozer(mashine ya kipekee ambayo ukiwa Dar unaweza kuiwasha kuweka mafuta na kuweka gia na kuielekezea Mwanza Kisha ukapanda ndege na baada ya muda litafika tu Mwanza lenyewe maana Kila mahali linapita). Sasa hii mitambo gharama ya kukodisha Kwa siku ni kati ya laki 8 Hadi milioni.
Sasa twende huku kwenye visima vya maji, wao wanakuambia Kwa MITA 50,000 Hadi 85,000 hivyo mpaka kisima unamaliza ni milioni 10+.
Sasa je ni Nini hasa kinachokuwa gharama kwao mpaka kupelekea gharama ishoot milioni 10 Kwa kisima, maana haiingii akilini, Nilielewa hii nitakaa kimya
Kwa mita 200 siafikiani nao, nahisi walisema hivo kuwatia hofu wanakijiji ili wapinguze mashakaNa hiyo ya volcano wewe unakubali ..?
Bila shaka mkuu wew ni driller ama hydrogeologistGharama ya kuchimba kisima inategemea aina ya kisima, kina (urefu kwenda chini), aina ya mwamba eneo la kisima (geology), aina ya mashine itakayochimba na mabomba yatakayotumika.
VISIMA VIFUPI
Visima hivi huchimbwa kwenye michanga/udongo
1. Kisima kifupi aina ya ring well ndiyo bei rahisi kuliko vyote kwani uchimbaji wake ni wa mikono. Bei ni kama laki tano na kushuka chini.
2. Kisima kifupi aina ya tube well inaweza kuchimbwa kwa mashine ya mkono au ya mafuta (diesel/petroli). Kina cha kisima ni chini ya mita 20. Bei ni kama 2 milioni inategemea kina na mabomba yatakayotumika.
VISIMA VYA KATI
Visima hivi huchimbwa kwa mashine (rig) kwenye mchanga (Maeneo ya pwani na mabonde/mbuga na miamba laini)
Visima vya aina hii hufikia kina cha mita 50. Bei yake hufikia milioni 5.
VISIMA VIREFU
Visima hivi huchimbwa kwa mashine kubwa (rig) kwenye michanga, miamba laini na miamba migumu. Kwa Tanzania visima hivi hufikia kina cha mita mpaka 300. Bei ya kuchimba kisima hufikia hadi zaidi ya milioni 20.
Sababu kubwa ya bei ya visima kuwa ghali ni kwa kuwa vifaa vya kuchimbia ni kubwa. Vifaa hivyo ni Rig, mabomba ya chuma, mabomba ya kuweka ndani ya kisima, bits za kuchimbia, hammer, bentonite (matope ya kuchimbia), diesel na mafuta mengine kama hydraulic oil n
Kwa mpaka sasa hapa TZ kuna sehemu iliyochimbwa wakakutana na volcano hivi...?Kwa mita 200 siafikiani nao, nahisi walisema hivo kuwatia hofu wanakijiji ili wapinguze mashaka
Hata hivyo imeshuka. Miaka kadhaa nyuma walikuwa wanadai Mil 30Bado wapo wachache hao. Wakiwa wengi bei itashuka tu
Waongo Hao mkuu, Wana kuambia maji yako mbali Sana ili wapige pesaMkuu inategemea na water table ya maji, kuna mahsli maji yanapatikana 200m huwezi kamwe kuchimba hata kwa 5m
Mkuu mental case huyo.Pole sana,japo Dodoma inasemekana mwamba wa maji upo juujuu sana,lakini kwa 350,000/= sidhani.Ngoja waje wakazi wa Dodoma,wakudaeavulie.Ila laki 3 na nusu,sidhani.Kampuni Ipo Wapi?
Watumia Gari Ama
Huu utapeli nimeuona Dodoma, watu wengi wanauhitaji wa visima ,basi Ngozi nyeusi ndio imona hii ndio lakuwatajirishaWaongo Hao mkuu, Wana kuambia maji yako mbali Sana ili wapige pesa
Magraduate wengine jau sana,halafu unakuta wanalalamika eti oooh! kazi hatupewi wazawa..... jinga kabisa.Filter wapi wachina wanadawa zao wanamwagia kwenye kisima sema inatakiwa wiki 1 kisima kisitumike toka muda walipoweka dawa..baada ya apo ukikutana na chumvi sijui magadi niite mbwa..mimi nilishawai kumchukua senior graduated kutoka chuo cha maji aje anipigie survey kabla ya kuchimba akasema apa maji yapo kuanzia mita 100 na kuendelea..kuna jamaa yangu akaniletea survey wa iyo kampuni ya kichina MR LIU akasema apa tunachimba mita30 tu maji yapo ya kumwaga..
sawa mkuu,Sio kam nakupinga ila jua jao wanaofanyq survey sio kama wanaona huko chini bali wanafanya predictions kutokana na data walizopata kwahiyo huwa zinatofautiana kulingana na composition ya mwamba husika unaweza jua ni data zinazoashiria uwepo wa maji kumbe ni uwepo wa composition flan ya mwamba.
By the way survey ya maji ni kama betting
Na kweli nipo huku hakuna hata bwawa moja lenye maji.. si mbwanga wala ndachiHahaha mkuu turudi dodoma tukaushwe na jua.
Labda kwa wasio na mabomba...Uliwahi sikia kuna shida ya maji huku..?
😂😂😂yamekushindaDuuh mkuu sipo serious
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
NimekuelewaMkuu mental case huyo.Pole sana,japo Dodoma inasemekana mwamba wa maji upo juujuu sana,lakini kwa 350,000/= sidhani.Ngoja waje wakazi wa Dodoma,wakudaeavulie.Ila laki 3 na nusu,sidhani.
Waniache na Dodoma yangu😂😂😂yamekushinda
😝Waniache na Dodoma yangu
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌