#COVID19 Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

#COVID19 Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

Kosa la Magufuri ni kutowasikiliza Wataalam mfano madaktari na wanasheria kwa mMagufuri walikuwa ni takataka.
Hamueleweki, ni huyo huyo Magu ndio aliteua wataalamu wengi kumsaidia kazi kuliko kipindi chochote kile.

Ndio wataalamu hao hao waliyoizamisha hii nchi tangu enzi na enzi.

Rangi kuu zipo nne, nyingine zote ni matokeo ya mchanganyiko wa rangi hizo, kama taifa, mpaka sasa, moja ya hizo rangi kuu ni Magu.
 
Wataalamu waliokuwa wanasikiliza habari toka nje
 
habari jf , JPM aliamini corona itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama yalivyo magonjwa mengine ,kiuhalisia ndivyo ilivyo corona ipo na idadi ya watu waliopata chanjo ni ndogo sana na watu walishapata kinga asilia sasa hivi sio tishio tena .labda bado watu wanalaumu approach yake kwenye ishu .

Swali langu ni lipi lilikuwa kosa lake ?

Je ni kutoweka lock down ?

Je ni kupinga chanjo ?

Je ni kupinga njia za kitaalamu kama kuvaa barakoa na njia hizi zilisaidia kwa kiasi gani sehemu nyingine ?

Kwangu Mimi mnyonge mnyongeni katika hili alistahili tuzo .
Kosa la Magufuri ni kutowasikiliza Wataalam mfano madaktari na wanasheria kwa mMagufuri walikuwa ni takataka.
Hamueleweki, ni huyo huyo Magu ndio aliteua wataalamu wengi kumsaidia kazi kuliko kipindi chochote kile.

Ndio wataalamu hao hao waliyoizamisha hii nchi tangu enzi na enzi.

Rangi kuu zipo nne, nyingine zote ni matokeo ya mchanganyiko wa rangi hizo, kama taifa, mpaka sasa, moja ya hizo rangi kuu ni Magu.
Hao wataalam aliwaamini au yeye aliamuru wafwate vile anataka yeye??Profesa Kabudi na elimu yake alienda Madagascar kufanya nini?Yule jamaa angewaamini wataalam wake basi angefika mbali lakini yeye alikuwa anawateua na kwenda kuwatumikisha vile alivyotaka yeye.
 
Mumuache apumzike kwa amani
Mbona mnawapa wakat mgumu sana malaika wake wanaomlinda uko alko
 
Kwa kuzuia kuvaa barakoa tuu yeye Kijazi na watu wengi tuu wamekufa kwa ujuaji wake usio na mantiki
Chanjo imeleta herd immunity kwa nchi zote duniani na kupunguza rate of infection
Muulize Dr Mpango alirudia wapi kwenye ambukizo
Una uhakika walikufa kwa COVID 19
 
Korona ya Mwanzo ni sawa na Ukimwi wa Mwanzo,vilikuwa vibaya sana.

Baada ya Chanjo makali Yamepungua.

Kosa lake kutofuata miongozo ya kisayansa akawaamini waganga wake matokeo yake mnayajua kwake binafsi na Kwa Taifa
 
Kudanganya wtz kuwa covid ipo hata kwenye mapapai dah...
 
Kosa ni kuidharau na kuita kaugonjwa kadogo!!
Alitaka kutupa moyo wewe hujui mbinu za kivita kuuita ugonjwa mdogo ni kujipa nguvu maana ugonjwa ukiudharau tu haukutesi hata simba na yanga huitana hivyo japo wote wanajua hizo timu zikojuu hapa nchini

USSR
 
Aliogopa kuhusu wizara ya afya.
Mfano.leo tokea kupata uhuru biharamulo inapata hospitali.
Ukweli wa kuhusu hospital nyingi zingeshindwa na ingekuwa anguko lake ila ikamchukua
Hospitali ya wilaya ya kanisa teule ipo sema serikali amejenga yake

USSR
 
Alitaka kutupa moyo wewe hujui mbinu za kivita kuuita ugonjwa mdogo ni kujipa nguvu maana ugonjwa ukiudharau tu haukutesi hata simba na yanga huitana hivyo japo wote wanajua hizo timu zikojuu hapa nchini

USSR
Uliona madhara ya kudharau COVID? Hata barakow alizuia but angalia chain ya COVID ilivyowaondoa!!
 
Kwa kuzuia kuvaa barakoa tuu yeye Kijazi na watu wengi tuu wamekufa kwa ujuaji wake usio na mantiki
Chanjo imeleta herd immunity kwa nchi zote duniani na kupunguza rate of infection
Muulize Dr Mpango alirudia wapi kwenye ambukizo
SIO KWELI
 
Corona haipendi kudharauliwa, yeye aliidharau na ikamfyekelea mbali kama yule mwenzake wa Burundi
Corona ilisingiziwa tu.
Watu wamekufa kwa mengineyo.

Ukweli hicho kirusi kingekuwa na uwezo waliousema Wazungu, basi hapa Tanzania ingekuwa mfano kwa vifo hapa duniani.
 
Back
Top Bottom