habari jf , JPM aliamini corona itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama yalivyo magonjwa mengine ,kiuhalisia ndivyo ilivyo corona ipo na idadi ya watu waliopata chanjo ni ndogo sana na watu walishapata kinga asilia sasa hivi sio tishio tena .lakini bado watu wakiwemo madaktari wanalaumu approach yake kwenye ishu .
Swali langu ni lipi lilikuwa kosa lake ?
Je ni kutoweka lock down ?
Je ni kupinga chanjo ?
Hayat hakupinga Chanjo. Alitaka tupanue wigo la kutumia chanjo ambazo zingeweza kutengenezwa Barani Afrika. Inaeleweka kuwa hata kwa njia ya RNA ambayo imetokana na DNA za Wazungu ambazo tunatofautiana Jenetikali... zingeweza kutuleea madhara....nani asiyejua Watu wengi wana madhara kutokana na chanjo kuliko gonjwa lenyewe...ikiwa na pamoja na wale ambao walikuwa na matatizo ya moyo? alijuwa no one size fits all
Je ni kupinga njia za kitaalamu kama kuvaa barakoa na njia hizi zilisaidia kwa kiasi gani sehemu nyingine ?
Hakika hakupinga, alichosema na kusii Watanzania wafanye ni kutumia mbinu zinazoleweka kisayansi, kama vile, kutumia mivuke kama njia ya kupunguza makali ya virusi katika njia za kupumua i.e pua. Vilevile Alisii watu watengeneze Barakoa zao wenyewe badala ya kutegemea Barakoa zilizotoka nje(kwa madeni) ambazo kwa wakati ule hazikuwa ni za Uhakika kama zinaweza kupunguza makali ya maambukizo. Leo hii sintofahamu zake kuhusu hizo Barakoa zimefanyiwa utafiti na Hayati Raisi alikuwa sawia kukataa hizo barako, hakukataa njia za kitaalamu...hao wanaodai hayo ni wapotoshaji!
Kwangu Mimi mnyonge mnyongeni katika hili alistahili tuzo .
Hawezi pata tuzo unayodai wewe.
Atapata tuzo kwa maono na maangalizo ya Mbaaali sana.
Hayati alikuwa anona mbali sana. Ila kwa mantiki uliyotumia,hapana.
Kwani hakukataa na wala kupinga ushauri wa wanasayansi wenzake. Period
Hakukataa uwepo wa Uviko Tanzania.
Kiuhalisia, alichokataa kata kata ni kutangaza hali ya hatari kwa jamii ya Mtanzania. Alichokataa was to Declare a National Emergency ambayo ingefungua bahasha kuu Kumwagiwa mikopo yenye masharti magumu, alichokataa ni kuwa, kwa kufungua hiyo mibahasha, madeni ambayo Watanzania tungekuwa nayo, ingetufanya maskini na watumwa kwa makampuni ya madawa kutoka nje. hebu...
Piga hesabu ya fedha kiasi gani nchi kama ya Uingereza imetumia....kuagiza barakoa, na za chanjo kwa wananchi wake! Je tungeweza? kama tungefungua mabahasha yanayoambatana na Declaration of Emergency....?
Niongeze tu, nchi nyingi zilibidi zifanye jitihada za kutengeneza chanjo na barakoa zao wenyewe badala ya kuwa na madeni makubwa kutoka China ambayo ndio ilikuwa, inazalisha Barakoa pamoja na Vipima au vipimio vya Uviko 19.
Je, kiuhalisia leo hii tungeweza kutoa pongezi kwa Rais SSH? tuwe wakweli tungeweza?
Hizi kampeni za kumfanya Hayat Rais kuwa alikosea na hivyo apewe tuzo la kukosea ni dhahiri mna chuki. Ni dhahiri hayo aliyoyakataa ilifinya mirija ya Unyonyaji.
Aluta Continua
....