Hamueleweki, ni huyo huyo Magu ndio aliteua wataalamu wengi kumsaidia kazi kuliko kipindi chochote kile.Kosa la Magufuri ni kutowasikiliza Wataalam mfano madaktari na wanasheria kwa mMagufuri walikuwa ni takataka.
Wataalamu waliokuwa wanasikiliza habari toka njeHamueleweki, ni huyo huyo Magu ndio aliteua wataalamu wengi kumsaidia kazi kuliko kipindi chochote kile.
Ndio wataalamu hao hao waliyoizamisha hii nchi tangu enzi na enzi.
Rangi kuu zipo nne, nyingine zote ni matokeo ya mchanganyiko wa rangi hizo, kama taifa, mpaka sasa, moja ya hizo rangi kuu ni Magu.
Kosa la Magufuri ni kutowasikiliza Wataalam mfano madaktari na wanasheria kwa mMagufuri walikuwa ni takataka.habari jf , JPM aliamini corona itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama yalivyo magonjwa mengine ,kiuhalisia ndivyo ilivyo corona ipo na idadi ya watu waliopata chanjo ni ndogo sana na watu walishapata kinga asilia sasa hivi sio tishio tena .labda bado watu wanalaumu approach yake kwenye ishu .
Swali langu ni lipi lilikuwa kosa lake ?
Je ni kutoweka lock down ?
Je ni kupinga chanjo ?
Je ni kupinga njia za kitaalamu kama kuvaa barakoa na njia hizi zilisaidia kwa kiasi gani sehemu nyingine ?
Kwangu Mimi mnyonge mnyongeni katika hili alistahili tuzo .
Hao wataalam aliwaamini au yeye aliamuru wafwate vile anataka yeye??Profesa Kabudi na elimu yake alienda Madagascar kufanya nini?Yule jamaa angewaamini wataalam wake basi angefika mbali lakini yeye alikuwa anawateua na kwenda kuwatumikisha vile alivyotaka yeye.Hamueleweki, ni huyo huyo Magu ndio aliteua wataalamu wengi kumsaidia kazi kuliko kipindi chochote kile.
Ndio wataalamu hao hao waliyoizamisha hii nchi tangu enzi na enzi.
Rangi kuu zipo nne, nyingine zote ni matokeo ya mchanganyiko wa rangi hizo, kama taifa, mpaka sasa, moja ya hizo rangi kuu ni Magu.
Hii imekaa vizuriKosa la marehemu hakuvaa barakoa
Una uhakika walikufa kwa COVID 19Kwa kuzuia kuvaa barakoa tuu yeye Kijazi na watu wengi tuu wamekufa kwa ujuaji wake usio na mantiki
Chanjo imeleta herd immunity kwa nchi zote duniani na kupunguza rate of infection
Muulize Dr Mpango alirudia wapi kwenye ambukizo
Alitaka kutupa moyo wewe hujui mbinu za kivita kuuita ugonjwa mdogo ni kujipa nguvu maana ugonjwa ukiudharau tu haukutesi hata simba na yanga huitana hivyo japo wote wanajua hizo timu zikojuu hapa nchiniKosa ni kuidharau na kuita kaugonjwa kadogo!!
Wewe mwenye upeo mkubwa unalipi zaidi ya kuchemsha chai kwa shemeji yakoHuwezi kumlaumu ana upeo mdogo.
Hospitali ya wilaya ya kanisa teule ipo sema serikali amejenga yakeAliogopa kuhusu wizara ya afya.
Mfano.leo tokea kupata uhuru biharamulo inapata hospitali.
Ukweli wa kuhusu hospital nyingi zingeshindwa na ingekuwa anguko lake ila ikamchukua
Isingekuwa kanisa ?Hospitali ya wilaya ya kanisa teule ipo sema serikali amejenga yake
USSR
Uliona madhara ya kudharau COVID? Hata barakow alizuia but angalia chain ya COVID ilivyowaondoa!!Alitaka kutupa moyo wewe hujui mbinu za kivita kuuita ugonjwa mdogo ni kujipa nguvu maana ugonjwa ukiudharau tu haukutesi hata simba na yanga huitana hivyo japo wote wanajua hizo timu zikojuu hapa nchini
USSR
Wataalamu wa nchi gani ?Kosa la Magufuri ni kutowasikiliza Wataalam mfano madaktari na wanasheria kwa mMagufuri walikuwa ni takataka.
Lucifer anafurahia kumpata jiwe.Mumuache apumzike kwa amani
Mbona mnawapa wakat mgumu sana malaika wake wanaomlinda uko alko
Wa Tanzania na Ulimwengu kwa ujumla.Wataalamu wa nchi gani ?
SIO KWELIKwa kuzuia kuvaa barakoa tuu yeye Kijazi na watu wengi tuu wamekufa kwa ujuaji wake usio na mantiki
Chanjo imeleta herd immunity kwa nchi zote duniani na kupunguza rate of infection
Muulize Dr Mpango alirudia wapi kwenye ambukizo
Corona ilisingiziwa tu.Corona haipendi kudharauliwa, yeye aliidharau na ikamfyekelea mbali kama yule mwenzake wa Burundi