#COVID19 Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

#COVID19 Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

Alikuwa muovu sana kiumbe yule, ila nyie wanyonge mnamuona ni mwamba mara shujaa wenu

Mwanasayansi aliyesoma kwa lugha ya kingereza lakini hakuweza kuongea hata sentence moja ya lugha hiyo iliyonyooka

Hiyo hiyo Corona ikamfyekelea mbali na nchi ikapona

Hakuna Corona lakini akafa kwa Corona huyo shujaa wenu
Nafikiri naweza kuwasemea Watanzania wengi tu, kuwa Tunaheshimu michango yako, walakin

Hoja yako hapo juu ni ipi? Iliyofanyika na angalau kasayansi...huoni kama unafokea kitu ambacho kimetengenezwa? Tena kwa Lugha yako 'Ushirikina'

Una Chuki kali sana. Pole. Lakini Allensi Ningefurahi ungenijibu kwa hoja badala ya hayo Uliyobandika.

Amani ikufikie
 
Allency chini hapo ndio mtiririko....nanukuu
Ila kuna watu ni wajinga na wabishi.eti wazungu ni wazushi kwa hiyo haya mfano internet,magari,madawa na jf ungeziona wapi ?
Unashindana na mtu amekupa unaishi maisha ujawai kufikiria alafu unabisha utazani wewe ndio muundaji.

Huo ndio Upotoshaji wenyewe.
Madai yako kuwa Mzungu ndiye alietupa maisha kwamba Mzungu ndio Muumba....yaani unadai Mzungu ndio Mungu? mbona hamsemi waarabu ndio waliowafundisha herufi, mbona hamsemi wahindi ndio waliowafundisha Hesabu, mbona hamsemi mbinu nzuri na bora za Kivita mmezitoa Afrika Uchina?
Mbona hamsemi hayo madawa mnayotumia mnayatoa katika misitu yetu? Jitathmini,

Kwanini usiseme wewe?
Sasa ulitaka unichagulie na Jibu la Kutoa.
? Hayo niliyomjibu Shetani hayatoshi. ...Muumba awanusuru na ya ulimwenguni.

Mmebarikiwa.
 
Sasa ulitaka unichagulie na Jibu la Kutoa?
? Hayo niliyomjibu Shetani hayatoshi. ...Muumba awanusuru na ya ulimwenguni.

Mmebarikiwa.
 
Nikuulize Swali Unajua Russian Roullette...

Unachukua pistol unaweka risasi moja unazungusha ile cyclinder chamber alafu mnapeana zamu kila mtu kujipiga risasi kichwani...,

Hata ukibahatisha usipokufa lakini gamble kama hio ni hatari ukiendelea namna hiyo uwezekano mkubwa kuna siku utateleza....

Maana yangu ni kwamba kuna mambo hayawezekaniki (total lockdown especially kwa nchi kama Tanzania) LAKINI tahadhari haimaanishi Total Lockdown pekee bali kuwa serious na kuacha mzaha......; In Hindsight kilichofanyika huenda kilikuwa better option, ila sababu hatukujua reaction itakuwa vipi kwahio haikuwa busara ku-gamble na jambo hatari ingawa baada ya kupata more facts ndio inabidi tu-act accordingly ila kabla ya facts kwa mambo ya afya ni vema kuwasikiliza wataalamu na hapa kwenye hili wataalamu ni watu wa afya na sio wanasiasa
Mkuu, kwani Chanjo ya Corona sio Gambling?
Unafuatilia taarifa za chanjo sasa hivi na hofu kwa waliochanja?
Chanjo ndio Kamali ya kipumbavu kuliko karata aliyocheza Magufuli. Halafu pia kufikiri Nyungu ni suala la Imani si Utaalamu ni utumwa tu na kuabudu wazungu.
 
Reaction ya JPM kwny gonjwa la Corona anastahiki alama zote I.e mia fil mia

Allah alimpa ilhamu ya hali ya juu sana …alipata ujasiri na uthubutu wa hali ya juu sana kuliko wasomi, watabiri na waganga na waganguzi

Kile chuma kilikuwa na flavor yake ya kipekee sana hata Julius angekuwepo kuna mambo angetakiwa ajifunze kwa yule Mwamba

nime miss sana zile hotuba za kutoka moyoni ambazo ndio hasa za Rais

Ma Rais wote walikuwa wanahutubia Hotuba za Ikulu kasoro John peke yake ndo alikuwa anatoa hotuba zake mwenyewe …hata Julius Hotuba zake nyingi zilikuwa zinehaririwa na yule Katibu wake Bibi wa Kiingereza
Mwamba alikuwa anatoa hotuba utadhani mnaishi naye mtaani yaani anaweza zungumzia kero au jambo ambalo lipo mtaani kwako mpaka ukajiuliza huyu mwamba kalijuaje. Na ndio maana watu wengi walipenda kufuatilia hotuba zake maana ziligusa mambo yao direct.
 
Habari JF,

JPM aliamini corona itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama yalivyo magonjwa mengine, kiuhalisia ndivyo ilivyo corona ipo na idadi ya watu waliopata chanjo ni ndogo sana na watu walishapata kinga asilia sasa hivi sio tishio tena. Lakini bado watu wakiwemo madaktari wanalaumu approach yake kwenye ishu.

Swali langu ni lipi lilikuwa kosa lake?

Je, ni kutoweka lock down?

Je, ni kupinga chanjo?

Je, ni kupinga njia za kitaalamu kama kuvaa barakoa na njia hizi zilisaidia kwa kiasi gani sehemu nyingine ?

Kwangu Mimi mnyonge mnyongeni katika hili alistahili tuzo.
Alikuwa rais mpumbafu sana. Akili 0 kabisa. Mungu aendelee kulinguza huko kuzimu lichomwe mpaka lile komwe lipasuke.
 
Mbona alipewa tuzo🐒

images (76).jpeg
 
Corona ni hatari sana mkuu ,kama afya mgogoro unaweza usitoboe ikikukamata! Kinga ikiwa juu unaweza kuithibiti.

Kosa lake ni kutowaambia ukweli waTZ hasa wale wenye kinga ndogo na wenye magonjwa nyemelezi wachukue tahadhari hasa.
Kuna kipindi Majaliwa alikuwa anasema wagonjwa wa corona wamebaki wachache sana anatoa takwimu kwenye koti lake anakuambia Arusha kuna wagonjwa wawili....halafu mimi ndio corona imenikaba kisawasawa nikajua hapa kazi tu😁
 
Juzi nimemsikia Samia akimsifia eti uchumi wetu haukushuka kwa sababu ya shujaa Magufuli hakufunga nchi kipindi cha COVID 19 huko nyuma aliungana na BAVICHA kumsema eti tumetengwa, Samia hana anachojua kwenye nchini hii

USSR
Kumbuka wote walioidhihaki covid19 iliondoka nao. Huwezi kama rais ukijawa na kiburi kikapitiliza wewe ni bindamu tu wa kawaida.

Samia alikua na haki ya kumuunga mkono hayati bosi wake wa zamani pia anayo haki ya kuitazama TZ na maslahi yake mapana. Kutengwa tungetengwa na hiyo miradi mikubwa ingebaki kuwa ni ya karatasi zaidi.

Kama sio Samia kuwa muungwana na mwenye msimamo wa kimataifa hata hiyo SGR na miradi mingine isingefika popote.

JPM anapendwa kwa jeuri yake lakini hakuna binadamu anayekula jeuri yake katika dunia halisi tunayoishi.
 
Reaction ya JPM kwny gonjwa la Corona anastahiki alama zote I.e mia fil mia

Allah alimpa ilhamu ya hali ya juu sana …alipata ujasiri na uthubutu wa hali ya juu sana kuliko wasomi, watabiri na waganga na waganguzi

Kile chuma kilikuwa na flavor yake ya kipekee sana hata Julius angekuwepo kuna mambo angetakiwa ajifunze kwa yule Mwamba

nime miss sana zile hotuba za kutoka moyoni ambazo ndio hasa za Rais

Ma Rais wote walikuwa wanahutubia Hotuba za Ikulu kasoro John peke yake ndo alikuwa anatoa hotuba zake mwenyewe …hata Julius Hotuba zake nyingi zilikuwa zinehaririwa na yule Katibu wake Bibi wa Kiingereza
JPM anastahili lawama kwa nmna alivyoshughulikia suala LA COVID 19. Na bahati nzuri Mungu hamfichi mnafiki, yeye mwenyewe kafa kwa COVID qo hiyohiyo. Makosa yake matatu haya hapa;
1. Kutofuàta miongozo ya WHO dhidi ya kujikinga na maambukizi ya COVID 19 kama barakoa na social distancing
2. Kutotunza takwimu za wanaopata maambukizi, wanaopona na wanaokufa
3. Kutumia njia za kishamba kutibu COVID 19 kwa kujifukiza.

Tutapishana kwenye hili, ila ñdugu zetu wengi wamepotea kwa sababu ya ubishi wake.

Kuhusu hotuba zake ni TAKATAKA tu hakuna hotuba ya maana alikwishatoa. Zilijaa matusi na UWONGO tu
 
Ndio.... Alisema kama wanatupenda sana mbona hakuna chanjo ya UKIMWI? Akahoji kwanini hakuna chanjo ya kansa? Eti Leo hii watupende sana watuletee chanjo??

Cha kushangaza yeye alikua anatumia moyo wa plastic ulionunuliwa uingereza!!
Kaonyesha mashaka yake kwa baadhi ya mambo na ni vitu ambavyo hata wazungu wenyewe wapo wenye kutilia mashaka, mfano chanjo wapo wazungu wenye kupinga chanjo na mambo mengine mengi tu na wao ni wazungu pia. Kwahiyo sidhani kama Magu alikuwa anasema tusitumie chochote cha mzungu kwa sababu wazungu wote wabaya.
 
JPM anastahili lawama kwa nmna alivyoshughulikia suala LA COVID 19. Na bahati nzuri Mungu hamfichi mnafiki, yeye mwenyewe kafa kwa COVID qo hiyohiyo. Makosa yake matatu haya hapa;
1. Kutofuàta miongozo ya WHO dhidi ya kujikinga na maambukizi ya COVID 19 kama barakoa na social distancing
2. Kutotunza takwimu za wanaopata maambukizi, wanaopona na wanaokufa
3. Kutumia njia za kishamba kutibu COVID 19 kwa kujifukiza.

Tutapishana kwenye hili, ila ñdugu zetu wengi wamepotea kwa sababu ya ubishi wake.

Kuhusu hotuba zake ni TAKATAKA tu hakuna hotuba ya maana alikwishatoa. Zilijaa matusi na UWONGO tu
Kwahiyo tatizo ni kutofuata hizo taratibu tu kama wengine au kwa kutofuata hizo taratibu tumepata athari ambazo wenzetu waliepukana nazo kwa kufuata hizo taratibu?
 
Sahihi kabisa
Corona ilikuwa threat kwa watu wenye magonjwa nyemelezi, kwa hiyo alitakiwa kuwaambia watu endapo utajisikia hovyo wafike haraka hospitali kupata matibabu badala ya kuhimiza watu kutumia miti shamba kujitibu aka nyungu, badala ya kusema "hivi vi mafua fua lini viliuaga mtu wagoshaaa hiiii...."
 
JPM anastahili lawama kwa nmna alivyoshughulikia suala LA COVID 19. Na bahati nzuri Mungu hamfichi mnafiki, yeye mwenyewe kafa kwa COVID qo hiyohiyo. Makosa yake matatu haya hapa;
1. Kutofuàta miongozo ya WHO dhidi ya kujikinga na maambukizi ya COVID 19 kama barakoa na social distancing
2. Kutotunza takwimu za wanaopata maambukizi, wanaopona na wanaokufa
3. Kutumia njia za kishamba kutibu COVID 19 kwa kujifukiza.

Tutapishana kwenye hili, ila ñdugu zetu wengi wamepotea kwa sababu ya ubishi wake.

Kuhusu hotuba zake ni TAKATAKA tu hakuna hotuba ya maana alikwishatoa. Zilijaa matusi na UWONGO tu
kwanza nikurekebishe …usifuate maneno ya waliokosa hikma …kifo kipo kwa wanafiki na wasio wanafiki …Rais wetu alifariki kwa tatizo la Mfumo wa Umeme hayo mengine sijui ya Corona ni maneno ambayo hayajathibitishwa pengine ni ya kweli au ya kisiasa

1) Kuhusu watu wengi kufa kwa Corona kisa eti hatukufuata miongozo ya WHO ni uongo …Nchi za America, Ulaya na Asia zilipigwa msukosuko na zingine kama China hadi leo wanapambana kwa kufuata hizo kanuni za WHO hadi Raia wao wakaanza kuingia barabarani kupinga mazuio yaliyokuwa yanawaletea matatizo kadhaa ikiwemo msongo wa mawazo

2) Kuhusu suala la Takwimu usijichanganye, kutoa takiwmu ni jambo la ku administrative zaid kuliko la kitabibu …waliokuwa wanatoa takwimu walikuwa na sababu zao za kisiasa na za kiuchumi kama ambavyo sisi tulipuuza pia kwa sababu za kisiasa na za kiuchumi na mission yetu ikafanikiwa na baadae mataifa mengi yakatuiga

3) Kutumia njia za asili sio ushamba kama unavyodhani au unavyojaribi kudhani, ubora wa Silaha unapimwa kwa namna utavyoweza ku achieve o objectives zako, kuna wakati kisu ni Silaha bora kuliko makombora …sisi na mimi mmoja wapo nilitumia njia za asili na nikavuka vitisho vyote vya Corona japo kwny madaladala nipo, sokoni Kariakoo kwmy msongamano nipo, misikitini nipo japo wale wa Umri wangi Kule Italy walipukutika kama majani wakati wa Kiangazi pamoja na kufuata miongozo yote ya WHO

kinachowasumbua watu wengi ni ile inferiority complex ya kuwapa watu weupe 'right of approval' ya life style yetu kwny kila Jambo…ndio sababu wengine akiongea kwny public akitaka kuweka msisitizo kwa lugha ya kiingereza utaskia kwa lugha ya kitaalam hii inaitwa …bila ya kukumbuka kuna Mamilioni ya Wataalam Duniani hata kusalimia kwa kiingereza hawajui
 
Jiwe alikuwa laana kwa taifa
1. Vyeti feki
2. Ubadhirifu
3. Urasimu
4. Safari
5. Uadilifu kazini
6. Usharika na msoga
7. Poda na yafananayo
8. Uchawa
9. Kuishi kimalaika isivyo halali bila kuvuja jasho
10. Wakina Fatuma,Maria, Ridhi na the like

Wapi hapo ulidondokea mkuu?
 
Ni vizuri

Umejirudi....Hayati hakuwa mwanasiasa-that is a fact. Hayat alisomea taaluma iliyogusa Virusi.-That is a fact.
Mkuu unamaanisha nini hapa kwamba virusi haviui au ? Sayansi inakwenda na utafiti na jambo likiwa jipya kuna mawili huenda likawa baya zaidi unavyodhani au huenda likawa sio baya kama unavyofikiria hakuna wala hakuhitaji ramli..., ni kama vile ambavyo huwezi kujaribu makali ya sumu kwa kuionja; kwahio huyo utafiti JPM alifanya kwa muda gani na wapi ili kujua makali ya hii kitu ? au alicheza pata potea?
Hayat alikataa masharti na mashinikizo ya wazungu-that is a fact. A Spade is a Spade We can sugarcoat and be politically correct but the end of the day....it will remain a cultural war!
Masharti yapi hayo ya wazungu ? Hivi likitokea jambo ambalo ni geni linaambukiza au mnadhani kwamba linaambukiza kuna shortcut zaidi ya muda ? Yaani wakati mnachukua precautions zinazowezekanika mnatafuta jinsi ya kutatua tatizo..., Sasa kama mnajua maambukizi yapo vipi alafu nyie mnarundikana na kuupuza ushauri wote na kuleta propaganda za hapa na pale unaona hilo ndio suluhisho ? Unaweza ukasema utumie Herd immunity ili watakaokufa wafe watakaopona wapone na tuendelee na maisha; ila unajuaje kama suluhisho lingepatikana baada ya miezi miwili wewe ukaamua watu wafe ndani ya mwezi mmoja kumbe ungesubiri miezi miwili ungeokoa mamilioni ya watu...

Point yangu ni kwamba kitu kama hiki kikitokea huwezi kuwa na all the facts kuanzia day one; unapata information siku baada ya siku
Again, iwe ni Mungu, Iwe ni Wataalamu, iwe ni wanasayansi, Ukweli unabakia kuwa Mzungu sio Mungu, Mzungu sio mwanasayansi pekee, mzungu sio mtaalamu pekee katika dunia ya wengi. Madai yenu mara ni Mungu, mara wanasayansi, mara ni wataalamu does not negate the facts that you're conveying a message of "He defied Authority" and that Authority is only bestowed by God to his Choosen Children....someni mnayoandika...mmejaa kudai "Supremacy" over the like of the late President....in reality you just playing with words short of saying "He shouldn't have to mess with a White man"
Hii ndio naita content without substance..., aliyesema mzungu ndio mwanasayansi ni nani., sayansi inakwenda na utafiti hata wewe unaweza ukafanya..., inasemekana first vaccine ilitokana na mtu mweusi tena mtumwa kutokana na kwamba aliona kwa kujishughulisha na wagonjwa anapata immunity; kwahi vaccines nyingi zinatoka huko sio kwamba wana akili sana bali wana-invest zaidi (muda na fedha) kuliko sisi na sio kazi ndogo sababu ili hadi dawa / vaccine ziingie sokoni ni miaka mingi sana na testing za kutosha na baada ya investment zote hizo huenda ukajikuta hazifanyi kazi Kwahio mwenye inferiority ni wewe mkuu unadhani akili ipo kwenye ngozi (mimi nakwambia kampuni nyingi kubwa ndio zinakuja na chanjo zaidi sababu ya investments kubwa zaidi ya wengine)
I know for a fact, you cannot even refute my argument, because it will just chip on your ego and take away one thing you hold dearly in your chain of thoughts.....That you are Supreme. And by refuting you become less....Anathema will devour you!

That said...
again content without substance
Well, not here in Tanzania. Hatutaweza kusujudu na kukubali utumwa mamboleo, kama mnavyodai kwenye jumbe zenu....'Hatutakubali Kamwe litokee tena Afrika au Tanzania"

Aluta Continua
Ndio hizi nasema unaleta siasa na propaganda kwenye mambo ya taaluma najibu sawa ndio maana mwisho wa siku tunaitana wachawi na kusikiliza waganga wanaotwambia bibi zetu / ndugu zetu ndio wameloga watoto wetu....

Badala ya Binadamu kuungana na kupambana na mazingira yetu kwa kuweka nguvu pamoja tunashikana uchawi; in the end tunajiangamiza wenyewe as a specie....
 
Back
Top Bottom