Mkuu kwa maana hiyo unaamisha kuna uwezekano binaadamu tukarudi nyuma enzi za zama za mawe. Mi nadhani kufundishana ndo kumefanya binadamu kuwa bora zaidi ya wanyama wengine na hata hiyo "theory of everything" hakuna atakayeielewa pasipo kufundishwa. Ila umezungumza kitu kimoja kizuri 'ORIGIN'Maisha halisi sio milele. Maisha halisi ni maisha ambayo hayajatengenezwa na wala huhitaji kufundishwa ili uishi.
Umewahi kuona ng'ombe au mnyama yeyote anafundishwa kunyonya? Kama hapana, basi yale ndo maisha halisi. Hakuna kitu wanyama wanafundishana. Yale ndo maisha halisi. Hata sisi tutaishi maisha hayo.
Kinachotuumiza ni watu wengi kuto kujiamini na kufuata mkumbo na kutegemea mawazo ya watu wengine
Hata kama tutaendelea na haya maisha yaliyopo ila angalau kila mtu atakua anaelewa uwezo wake.Mkuu kwa maana hiyo unaamisha kuna uwezekano binaadamu tukarudi nyuma enzi za zama za mawe. Mi nadhani kufundishana ndo kumefanya binadamu kuwa bora zaidi ya wanyama wengine na hata hiyo "theory of everything" hakuna atakayeielewa pasipo kufundishwa. Ila umezungumza kitu kimoja kizuri 'ORIGIN'
good questionHaya umesema kama kuna big bang hebu niambye the origin of matter,where does it come from?
usiwe na hofu namimi im a believer but curiosity is part of daily life so sijilimit kufikiriMkuu theory nadhani unaijua vizuri maana yake its just a proposal that not scientifally approved that means it take a time theory becoming laws
Mpaka ifike hapo sio Leo kutoka dunia ni flat mpaka duara ilichukua muda gani?
Pili umevisoma vitabu vinavyotoa evidence in existence of God? Upo upande upi
hadi sasa mkuu sayansi ina theory mbili ambazo zinajaribu kueleze origin ya ulimwenguHuo theory of everything wanaileta wanasayansi gani??
Ni wa nchi gani??
Mkuu theory nadhani unaijua vizuri maana yake its just a proposal that not scientifally approved that means it take a time theory becoming laws
Mpaka ifike hapo sio Leo kutoka dunia ni flat mpaka duara ilichukua muda gani?
Pili umevisoma vitabu vinavyotoa evidence in existence of God? Upo upande upi
are you an atheist kaka?Maisha halisi sio milele. Maisha halisi ni maisha ambayo hayajatengenezwa na wala huhitaji kufundishwa ili uishi.
Umewahi kuona ng'ombe au mnyama yeyote anafundishwa kunyonya? Kama hapana, basi yale ndo maisha halisi. Hakuna kitu wanyama wanafundishana. Yale ndo maisha halisi. Hata sisi tutaishi maisha hayo.
Kinachotuumiza ni watu wengi kuto kujiamini na kufuata mkumbo na kutegemea mawazo ya watu wengine
nashukuru mkuu nilipanga kukiupload umeniwahiAhsante sana.
Nimepata kusoma kitabu chake bwana Stephen hawking,mzee huyu yupo vyema katika ubongo wake.
Kama hukupata kusoma somo la fizikia (physics) katika level ya secondary na A-level yawezakuwa kwa sababu za msingi au zisizo za msingi au mazingira ya Elimu yetu haswa ya sayansi kitabu hiki kidogo kitakupa taabu walau kuna urahisi kwa mtu aliyesoma A-level physics ama kama unajishughulisha sana na usomaji binafsi.
Stephen Nadhani mwaka "2014" kama kumbukumbu yangu ipo sahihi alijitambulisha kama Atheist.kitabu kipo vizuri kinakufungua ubongo na kinakupa hali ya udadisi wa Ulimwengu wetu huu na n.k
Kuhusu hatima ya dini, dunia ya kwanza dini ipo inakata pumzi watu wengi wanawajabika vizuri katika maisha yao hakuna cha "ipo siku yangu" au "yote yanapangwa na muumba"
Hatima ya dini bara la Africa naona bado kunasafari ndefu kilakukicha(makanisa na ufanano kama huo unaongezeka),watu wanapata pumziko Lao la ugumu wa maisha katika dini,inabidi watu wajifunze kuwajibika kwa changamoto zote za maisha yao kwanza.
Wakati ni sasa pakua kitabu hicho.
nafahamu amefariki mkuu pengo kubwwa sana katika jumuiya ya wanasayansi hasa katika nyanja ya cosmologyHuyu Professor Stephen Hawking kaugua weeee. Kafa leo na Science yake. Pitia hii link
Stephen Hawking, Who Examined the Universe and Explained Black Holes, Dies at 76