Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

Sayansi ni sayansi Mungu ni mungu na dini dini,lkn katika kuna nguvu iliyofanya haya yote yatokee, unaweza ukamwini mungu pasipo kuwa na dini,sayansi ni binadamu ktk kupata kuyakabili mazingira yanayo ila sayansi kupitia vitu tulivyo vikuta sayansi itafuta asili.yake nn,nguvu iliyofanya vyote viwepo ndo mungu
 
Maisha halisi sio milele. Maisha halisi ni maisha ambayo hayajatengenezwa na wala huhitaji kufundishwa ili uishi.

Umewahi kuona ng'ombe au mnyama yeyote anafundishwa kunyonya? Kama hapana, basi yale ndo maisha halisi. Hakuna kitu wanyama wanafundishana. Yale ndo maisha halisi. Hata sisi tutaishi maisha hayo.

Kinachotuumiza ni watu wengi kuto kujiamini na kufuata mkumbo na kutegemea mawazo ya watu wengine
Mkuu kwa maana hiyo unaamisha kuna uwezekano binaadamu tukarudi nyuma enzi za zama za mawe. Mi nadhani kufundishana ndo kumefanya binadamu kuwa bora zaidi ya wanyama wengine na hata hiyo "theory of everything" hakuna atakayeielewa pasipo kufundishwa. Ila umezungumza kitu kimoja kizuri 'ORIGIN'
 
Hata kama tutaendelea na haya maisha yaliyopo ila angalau kila mtu atakua anaelewa uwezo wake.

Hii leo kuna watu wanajiona hawana chochote au hawajui chochote huku wakiweka mategemeo yao kwa watu wengine
 
Mabishano mengine ni ufala to.. Kama unabisha subiri sokwe wa gombe nasikia wanabadilika kuwa watu.
 
Ahsante sana.

Nimepata kusoma kitabu chake bwana Stephen hawking,mzee huyu yupo vyema katika ubongo wake.

Kama hukupata kusoma somo la fizikia (physics) katika level ya secondary na A-level yawezakuwa kwa sababu za msingi au zisizo za msingi au mazingira ya Elimu yetu haswa ya sayansi kitabu hiki kidogo kitakupa taabu walau kuna urahisi kwa mtu aliyesoma A-level physics ama kama unajishughulisha sana na usomaji binafsi.

Stephen Nadhani mwaka "2014" kama kumbukumbu yangu ipo sahihi alijitambulisha kama Atheist.kitabu kipo vizuri kinakufungua ubongo na kinakupa hali ya udadisi wa Ulimwengu wetu huu na n.k

Kuhusu hatima ya dini, dunia ya kwanza dini ipo inakata pumzi watu wengi wanawajabika vizuri katika maisha yao hakuna cha "ipo siku yangu" au "yote yanapangwa na muumba"

Hatima ya dini bara la Africa naona bado kunasafari ndefu kilakukicha(makanisa na ufanano kama huo unaongezeka),watu wanapata pumziko Lao la ugumu wa maisha katika dini,inabidi watu wajifunze kuwajibika kwa changamoto zote za maisha yao kwanza.

Wakati ni sasa pakua kitabu hicho.
 
Attachments

Wanasayansi watashindana na Mungu ila hawatashinda. Believe me & God
ila tayari wamefanikiwa kuangusha imani nyin gi zilizopo katika dini kama ya flat earth
 
Haya umesema kama kuna big bang hebu niambye the origin of matter,where does it come from?
good question
actually matter is any entity that has mass ,it was long proven by einstein that matter and energy are actully the same thing meaning you can convert matter from energy and viceversa hii tunaona aplication yake kwenye nuclear energy
so swali la msingi hapa ni wahy is the source of energy and space the theory is very complicated but kasome bing bang theory utaielewa vyema sababu it may take a book actually to make you understand
 
Mkuu theory nadhani unaijua vizuri maana yake its just a proposal that not scientifally approved that means it take a time theory becoming laws
Mpaka ifike hapo sio Leo kutoka dunia ni flat mpaka duara ilichukua muda gani?
Pili umevisoma vitabu vinavyotoa evidence in existence of God? Upo upande upi
usiwe na hofu namimi im a believer but curiosity is part of daily life so sijilimit kufikiri
 
Huo theory of everything wanaileta wanasayansi gani??
Ni wa nchi gani??
hadi sasa mkuu sayansi ina theory mbili ambazo zinajaribu kueleze origin ya ulimwengu
moja ni ya einstein the general relativity theory na ya pili ni quantum theory
tatizo ambalo hadi sasa lilipo ni kutafuta namna ya kuzi combine hizo theory kwasababu zina hitilafiana prediction zake na mchawi ni gravity so hadi sasa hawajapata theory convincing yoyote ingawa zipo nyingi kama superstring theory lakini bado
 
Kuna movie yake " THE THEORY OF EVERYTHING " ikiiangalia kichwa kichwa huwez elewa
 
  • Thanks
Reactions: Tlg
Mkuu theory nadhani unaijua vizuri maana yake its just a proposal that not scientifally approved that means it take a time theory becoming laws
Mpaka ifike hapo sio Leo kutoka dunia ni flat mpaka duara ilichukua muda gani?
Pili umevisoma vitabu vinavyotoa evidence in existence of God? Upo upande upi

proposal sio theory mkuu ila nimekuelewa ulichomaanisha
actually kinachafanya theories kukaa mda mrefu before haijawa established as a law ni kwamba itabidi iwe tested under different conditions na itabidi iendelee kuwa consistent enough
 
Maisha halisi sio milele. Maisha halisi ni maisha ambayo hayajatengenezwa na wala huhitaji kufundishwa ili uishi.

Umewahi kuona ng'ombe au mnyama yeyote anafundishwa kunyonya? Kama hapana, basi yale ndo maisha halisi. Hakuna kitu wanyama wanafundishana. Yale ndo maisha halisi. Hata sisi tutaishi maisha hayo.

Kinachotuumiza ni watu wengi kuto kujiamini na kufuata mkumbo na kutegemea mawazo ya watu wengine
are you an atheist kaka?
any how you must have ur reasons
 
Ahsante sana.

Nimepata kusoma kitabu chake bwana Stephen hawking,mzee huyu yupo vyema katika ubongo wake.

Kama hukupata kusoma somo la fizikia (physics) katika level ya secondary na A-level yawezakuwa kwa sababu za msingi au zisizo za msingi au mazingira ya Elimu yetu haswa ya sayansi kitabu hiki kidogo kitakupa taabu walau kuna urahisi kwa mtu aliyesoma A-level physics ama kama unajishughulisha sana na usomaji binafsi.

Stephen Nadhani mwaka "2014" kama kumbukumbu yangu ipo sahihi alijitambulisha kama Atheist.kitabu kipo vizuri kinakufungua ubongo na kinakupa hali ya udadisi wa Ulimwengu wetu huu na n.k

Kuhusu hatima ya dini, dunia ya kwanza dini ipo inakata pumzi watu wengi wanawajabika vizuri katika maisha yao hakuna cha "ipo siku yangu" au "yote yanapangwa na muumba"

Hatima ya dini bara la Africa naona bado kunasafari ndefu kilakukicha(makanisa na ufanano kama huo unaongezeka),watu wanapata pumziko Lao la ugumu wa maisha katika dini,inabidi watu wajifunze kuwajibika kwa changamoto zote za maisha yao kwanza.

Wakati ni sasa pakua kitabu hicho.
nashukuru mkuu nilipanga kukiupload umeniwahi
pia nakushauri tafuta another work of hawkins "the grand design " **** madini umo sio mchezo the guy was a living genius sadly nimesikia leo ametutoka ni pengo kubwa mno katika jumuiya ya wanasayansi
 
Back
Top Bottom