Nini hatima ya dini baada ya "The theory of everything"

"A little philosophy inclineth man's mind to atheism, but depth in philosophy bringeth men's minds about to religion."
 
"A little philosophy inclineth man's mind to atheism, but depth in philosophy bringeth men's minds about to religion."
Which religion?
Ni heri ungenambia kwa Mungu ila sio dini ,Dini zipo nyingi sana itakusogeza kwenye Dini IPI
 
Howking kapalalaizi kwa sasa.
Low of nature lazima ziwe na misingi yake yaani primes ...nature prime..
Questions who sets those primes?
Haukings angejibu "was optimus prime"
Mimi (IQ 380) ningejibu "the creator"
Wanasayansi wanajigonga gonga sana.
 
Mpaka sasa speed ya maisha tayari inatoa changamoto kubwa kwa dini.
Siku hizi watu wengi wanaenda Kanisani na Misikitini kama sehemu tu ya mazoea na utamaduni tu.Lakini dini sio muongozo wa maisha yao tena.
 
Unajua kwanini ndio mfano unaopenda kutumiwa na wahubiri? Kaa kitako na utafakari, engeneering ya Ulimwengu ulivo mpaka duniani kukawa na LIFE, jitizame na wewe, unakula kupitia mdomo, chakula kikifika tumboni kinashughulikiwa, mwili wako una system kamili ya kuchuja sumu, na kubakisha kinachohitajika na mwili, halafu uje unambie hii ni bahati? Tunaambiwa binaadamu tulikuwa kima mwanzo, tume evolve mpaka kuwa hivi tulivo, hivi hatuna kima mpaka leo wameshindwa kuevolve wakati wanaishi na binaadam?

Kina Hawkin wanasema ulimwengu haukuhitaji creator, nataka waniambie hizo elements ziluzosababisha big bang zilitokea wapi? Ni kitu gani kiliziproduce?

Tumeona mripuko wa nuclear bomb matokeo yake, je kuna nyumba ilijijenga kupitia huo mripuko? Tuache nyumba, japo tofali kozi mbili tu zilijapanga?

Tunauliza hivi kwa sababu the universe is so perfect and so do earth to sustain life, just a big bang is not enough to explain such perfect engineering and the arrangements of celestial bodies.

Kwanini hakuna life on the moon wakati on earth ipo? Au mfano Sayari ya Mars isogee karibu na dunia nini kitatokea? No, tufikirie bila kuwepo mwezi hapa duniani vipi?

Ukiutizama ulimwengu kwa umakini, basi utajiuliza masuali how come ivu vitu came to being? The system is so perfect. Wanasayansi wanaipuka suala la Mungu, na kusema ni law of nature, WHO MADE THAT LAW?
 
Hiyo theory of everything ikija, ndipo utakaposhangazwa na ukweli utakaokuwemo.
 
Reactions: Tlg
Wakuu kama mkiweza kusoma kwanza kitabu cha Hawking: A brief History of Time, kuna majibu mengi ya issues watu wanayoongelea. Taabu naona watu wengi do not take time to read!

It is a real piece ya baadhi ya majibu! Kipo ktk uzi huu tayari!
 
ubongo wetu unaweza kufikiri kwa kadri kubwa mno, kupanga mambo, kusababu mambo n.k.
halafu unakutana na "Mbwa mdogo" anasema ubongo wetu ulijitojieza holehae/shakalabagala tu bila Muangalizi yeyote...
pitia link hapo kuondoa ujinga huo

Je, Kuna Mungu? | Maswali ya Biblia
 
Mungu kamchukua Steven hawking kabla hajafika mbali..haha RIP..
 
kwanza ashakufa hyo steve mwenyewe ........afu mungu akampa ulemavu alijua akiwa timamu kabisa ingekua shida....
 
Howking kapalalaizi kwa sasa.
Low of nature lazima ziwe na misingi yake yaani primes ...nature prime..
Questions who sets those primes?
Haukings angejibu "was optimus prime"
Mimi (IQ 380) ningejibu "the creator"
Wanasayansi wanajigonga gonga sana.
According to science before the bigbang there was no time. So it is invalid to discus what was before it coz it means there was nothing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…