Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.

Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.

Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?

Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?

Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?

Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Amani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi.
Moyo wangu unaugua sana kwa sababu ya Jamii ya Wakristo wanaoishi katika visiwa vya Zanzibar.
Nawaza namna watakavyokula Pasaka. Ikumbukwe kuwa, Pasaka ndicho kilele cha Ukristo na kwa asili, Pasaka ni siku ya kuchinja na kula kusherehekea ukombozi wa Mwanadamu uliopatikana kwa Kifo cha Yesu Msalabani. Hivyo, kuzuiwa kula ni kuzuia maadhimisho ya kipasaka.
 
Je wakirsto wataruhusiwa kusherekea sikukuu ya Pasaka kama imani yao inavyotaka?
Wanasherekea kwa vile sio majority maana kule kama sheria ni kula hadharani hata sehemu kadhaa zimefungwa ...kula hadharani ndio hawataki kula ndani hamna tatizo
 
Wanasherekea kwa vile sio majority maana kule kama sheria ni kula hadharani hata sehemu kadhaa zimefungwa ...kula hadharani ndio hawataki kula ndani hamna tatizo
So,Kusheherekea huku watu wakiwa wamejifungia ndani,,,
Yani,watu hakuna kwenda Viwanja vya wazi, Kariakoo pale ama fukweni...

Na hii unaona ipo sawa...?
 
Samia na Mwinyi haya hawayasikii au kuyaona? Ifike muda wafanye kuchukua hatua ili kuondoa hiyo fedheha kabla hatujatuma wamasai wakawatandike hawa wendawazimu wanaojifanya wanajua Dini kumbe ni takataka tu kama takataka zingine.

Hii kitu inatia hasira na kichefuchefu.
 
Back
Top Bottom