Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.

Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.

Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?

Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?

Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?

Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
sonofobia, kwani mwaka jana walisherehekea vipi?
 
Polisi wameshasema wataendelea kuwakamata 🤣🤣😅😅HIZI DINI HIZIIII
 
Hao jamaa huku Bara tunawakarimu ila ni wapuuzi na wabaguzi sana, Jumapili iliyopita pale Unguja Sheha kuna Kanisa kaenda eti punguzeni sauti watu wamefunga........ Jumapili ndiyo watanuna Zaidi
Watanuna au Mtakamatwa???
Maana wameshatangaza tayari polisi..
 
Hakuna nchi inayoitwa Tanganyjka, hilo lazima ulijue...
Siupondi muungano, ila kuna mambo yaboreshwe...
Hakuna Nchi inayoitwa Tanganyika ila kuna nini inayoitwa Tanganyika??

Vipi kuhusu Uhuru wa 1961 ni nchi gani ilipata uhuru??
Vipi Hivi vyama vya kitaaluma vinaitwaje vile vinatokea nchi gani??
 
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.

Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.

Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?

Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?

Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?

Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Dini ni ujinga mmoja hivi ulioaminishwa kilazima kwa watu..
 
ilitakiwa wapige marufuku pasaka ili ijulikane, inakuwaje mtu na imani yake asherehekee pasaka bila kula chakula kwa uhuru hadi mpagani anayeamini mungu asiyejulikana afuturu? na kwanini wanawapiga viboko wanaokula mchana wakati hawajafunga? na sio dini yao kufunga kwa mungu asiyejulikana?
 
Kuna kipengele cha katiba kilichonena hivyo
Wana sheria zao zinazosema hivyo..
Sasa unafikiri Kwanini wafikishwe mahakamani kama hawana hiyo sheria..

Na unafahamu kuwa Zanzibar ina Katiba yao..
Screenshot_20240329_085616_X.jpg

Kumbe Zanzibar kuna wakristo? Sasa mbona kwenye serikali yao sijawahi kusikia mkristo? Kama kuna wakristo huko Zanzibar basi labda hawakwenda shule kabisa!
Anayeteua kuunda hizo serikali ni nani? Kama unawakataza kula tu, utaweza kuwaweka kwenye serikali yako??
 
Kama jaribu la kuvumilia jirani yako akila hadharani linakushinda utaweza kuvumilia ukiona upaja wa pisi kali? Jaribu dogo tu linateteresha imani yako.
hao sio upaja wa pisi kali tu unawatamanisha, hadi mwanaume mwenzao akipita wanatamani, pamoja na kufunga kote huko zanzibar. ingelikuwa enzi zile, kwa ushetani unaofanywa zanzibar, Mungu angeshakichoma icho kisiwa kama sodomana gomora.
 
Kwani nani aliwaambia mkakae Zanzibar?Mnaambiwa Zanzibar ni Islamic state hamuelewi,kataeni muungano,acheni uchawa,fungukeni hamtaki mnaleta ushabiki,suluhisho ni katiba tu.Tukisema JKN alikuwa mnafiki na ndo chanzo ya yote haya mnamtetea haya sasa mm nitamkimbuka sana Oscar Kambona
Nani amekuambia Zanzibar ni Islamic State? Pumbavu kabisa wewe. Mbona nyie mpo huku Bara? Roho mbaya haisaidii.
 
imagine, halafu, mzanzibari huyohuyo ndio awe rais wa Tanzania, apigiwe kura na watanzania, aheshimike na watanzania, kwa mazingira ya aina hii huko kwao. hata mwinyi anayetazama tu watu wakristo wakipigwa viboko na kukamatwa mchana, kuna siku atakuja kuomba kura huku bara awe rais wenu, watanganyika.
 
Back
Top Bottom