Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Imani haba tena inayo tumikiwa na watu dhaifu yani unakula saa kumi usiku saa moja ukiona mtu anakula una ukasirike aibu itakuwa juu yenu milele mpaka mfiche nyuso zenu na matambara meusi
 
Nawapa pole pasaka mwaka huu haitakuwepo.
 
Wanasherekea kwa vile sio majority maana kule kama sheria ni kula hadharani hata sehemu kadhaa zimefungwa ...kula hadharani ndio hawataki kula ndani hamna tatizo
Kwani nini kinakuwasha ukiona mama mjamzito anakula chakula akiwa anatoka clinic kufatilia maendeleo ya mtoto
 
Jibu hoja.Hakuna mtu anayekaa nakufikiria ujinga kama mlionao uko kwenu.mnawaza kula tu hadi mnasumbua watu.
Mkuu lakini mimi kwa uelewa wangu naamini kumpiga mtu asiyefuata imani yako ni dhambi labda kama ukikaa chini na kumwombea ili abadilike. Kwenye dini tunatumia imani na nguvu zisizo onekana sio nguvu zinazo onekana. Kama ukitumia nguvu zinaonekana inakua haina maana ya imani boss wangu. Hata wachawi hatumii physically power ila wakiomba mtu anabadilika. Na ndio maana huwezi kuta mchawi anagombana na adui yake bali anaomba.
 
Kuna nani anapika pilau la pasaka kwake then anapakua na kwenda kusimama kula barabarani au kukaa kando ya njia?
 
Easau aliuza haki yake ya kuwa mzaliwa wa kwanza kwa Umakini sababu ya kuona dengu lilipokea vizuriπŸ˜…
 
Haikuwa mwezi wa Ramadhani
Pasaka ya 2023 ilikuwa 09-04-2023 ambapo mfungo wa Ramadhani ulianza takriban 22-03-2023 mpaka 20-04-2023.
Vipi unasema Pasaka haikuwa ndani ya Ramadhani mwaka jana?
 
Binafsi as for now sioni faida ya Muungano.. nadhani Kwa tulipofikia jamaa waishi maisha Yao tuu hatuwahitaji wali nazi
 
Watanganyika waliopo nchini zanzibar wanahitaji kupiganiwa aisee hawako safe huko. Sio kwa mateso yale dah
 
Pasaka ya 2023 ilikuwa 09-04-2023 ambapo mfungo wa Ramadhani ulianza takriban 22-03-2023 mpaka 20-04-2023.
Vipi unasema Pasaka haikuwa ndani ya Ramadhani mwaka jana?
Ngoja tuone safari hii macho yetu yote Zanzibar

Tamko la mkubwa wa Polis Zanzibar linatishia wakristo
 

Dini ni suala la kiimani. Ni hitajio la hiari kwa namna mtu anavyoamini. Kwenye dini, ni Mungu pekee ndiye humwadhibu mwanadamu.

Ukiona mwanadamu anataka kumwadhibu mwanadamu mwenzake eti anafamya hivyo ili mtu atimize takwa la imani ya kidini, basi huyo ni wakala wa shetani. Mwenyezi Mungu hajawahi kumwomba mwanadamu amsaidie kuwaadhibu watenda dhambi.

Mwanadamu hutoa adhabu kwa mwanadamu mwenzake kwa makosa ya kijamii, siyo ya kiimani.
 
Kwamba hao jamaa wakiona watu wanakula na wao wanapata hamu ya kula au yani tatizo ni kitu gani mpka wachukie mtu mwingine akila
Kwamba unawatamanisha πŸ˜‚πŸ˜‚!! Bure kabisa hii dini, sasa hapo umefunga au unashinda na njaa tu?
Huyo huyo anayepinga mwenzake asile akiwa nyumbn kwake kama Kuna watoto, wajawazito,wagonjwa wanakula mbele yake anaona sawa tu ila akimuona mkristo anakula ndio anamuharibia funga yake aisee!!
 
Wacha pasaka ifike tuuone itakuwaje
 
Hawa jamaa hawana point kabisa yani wanafanya tuzidi kuwaona hamnazo ..
Nataka nione mmoja ajitoe aibu ajibu hili swali lako..
 
Kwani nini kinakuwasha ukiona mama mjamzito anakula chakula akiwa anatoka clinic kufatilia maendeleo ya mtoto
Wapo kibao wazee, weny mimba , watoto ,msafiri,

Umeelewa hao wana kitu gani mpaka wakakamatwa.
 
Kiujumla Dini ya wenzetu wanalazimisha Sana Mambo,, Wewe ona ulaya wakristo ni Wengi Lakini uko huru kuweka msikiti,, Sasa kaweke Kanisa Iran Au Saudi Arabia uone.. Acheni ubaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…