Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nini kinakuwasha ukiona mama mjamzito anakula chakula akiwa anatoka clinic kufatilia maendeleo ya mtotoWanasherekea kwa vile sio majority maana kule kama sheria ni kula hadharani hata sehemu kadhaa zimefungwa ...kula hadharani ndio hawataki kula ndani hamna tatizo
Mkuu lakini mimi kwa uelewa wangu naamini kumpiga mtu asiyefuata imani yako ni dhambi labda kama ukikaa chini na kumwombea ili abadilike. Kwenye dini tunatumia imani na nguvu zisizo onekana sio nguvu zinazo onekana. Kama ukitumia nguvu zinaonekana inakua haina maana ya imani boss wangu. Hata wachawi hatumii physically power ila wakiomba mtu anabadilika. Na ndio maana huwezi kuta mchawi anagombana na adui yake bali anaomba.Jibu hoja.Hakuna mtu anayekaa nakufikiria ujinga kama mlionao uko kwenu.mnawaza kula tu hadi mnasumbua watu.
Easau aliuza haki yake ya kuwa mzaliwa wa kwanza kwa Umakini sababu ya kuona dengu lilipokea vizuri😅Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?
Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?
Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?
Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Pasaka ya 2023 ilikuwa 09-04-2023 ambapo mfungo wa Ramadhani ulianza takriban 22-03-2023 mpaka 20-04-2023.Haikuwa mwezi wa Ramadhani
Binafsi as for now sioni faida ya Muungano.. nadhani Kwa tulipofikia jamaa waishi maisha Yao tuu hatuwahitaji wali naziTaifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?
Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?
Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?
Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Ngoja tuone safari hii macho yetu yote ZanzibarPasaka ya 2023 ilikuwa 09-04-2023 ambapo mfungo wa Ramadhani ulianza takriban 22-03-2023 mpaka 20-04-2023.
Vipi unasema Pasaka haikuwa ndani ya Ramadhani mwaka jana?
Samia na Mwinyi haya hawayasikii au kuyaona? Ifike muda wafanye kuchukua hatua ili kuondoa hiyo fedheha kabla hatujatuma wamasai wakawatandike hawa wendawazimu wanaojifanya wanajua Dini kumbe ni takataka tu kama takataka zingine.
Hii kitu inatia hasira na kichefuchefu.
Kwamba unawatamanisha 😂😂!! Bure kabisa hii dini, sasa hapo umefunga au unashinda na njaa tu?Kwamba hao jamaa wakiona watu wanakula na wao wanapata hamu ya kula au yani tatizo ni kitu gani mpka wachukie mtu mwingine akila
Wacha pasaka ifike tuuone itakuwajeTaifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?
Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?
Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?
Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Hawa jamaa hawana point kabisa yani wanafanya tuzidi kuwaona hamnazo ..Kwamba unawatamanisha 😂😂!! Bure kabisa hii dini, sasa hapo umefunga au unashinda na njaa tu?
Huyo huyo anayepinga mwenzake asile akiwa nyumbn kwake kama Kuna watoto, wajawazito,wagonjwa wanakula mbele yake anaona sawa tu ila akimuona mkristo anakula ndio anamuharibia funga yake aisee!!
Wapo kibao wazee, weny mimba , watoto ,msafiri,Kwani nini kinakuwasha ukiona mama mjamzito anakula chakula akiwa anatoka clinic kufatilia maendeleo ya mtoto
Qatar mbona wamelinda utamaduni wao 😅😅Zanzibar manaijua dini kuliko Dubai?