Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

dini bila reasoning ni upumbavu mtupu. sasa ukizingatia na akili zenyewe chache za mtu mweusi, doh! ndio kizaazaa
 
Hajakatazwa mtu kula mchana ila umekatazwa ulaji wa hadharani kipindi cha mfungo wa Ramadhani wakati wa mchana.

Kama unajisikia kula mchana basi tafuta sehemu isiyo ya hadhara kisha ule. Ukimaliza endelea na shughuli zako. Simple tu
Sehemu isiyo ya hadhara ni chooni, kwa hiyo watu wajifiche chooni kula?
 
Zanzibar ni Islamic state? Aisee katiba ya nchi imebadilika lini.?
 
wacha yawapate. tukikasema hako kababu kachawi ka Nyerere wanakatetea. Kambona angepeleka hii nchi mbali. hako ka babu ndiyo chanzo ya yote haya. unaunganisha watu ambao hawako tayari kuungana. matokeo ndio haya.
 
Unafahamu kuna wakristu walikuwepo Zanzibar kabla hata ya uhuru kupatikana. Na ni wa Zanzibar kwa kuzaliwa?
 
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa...
wanamambo ya hovyo sana tulishasema sana kuhusu hili jambo,sasa ifike wakati zanzibar ijitenge na mambo ya kushutisha kila mmoja kumwamini huyo alah wao kwa nguvu,wajifunze toka bara,wasijifanye wenyewe ndo wanajua sana dini, halafu hili jambo linatoka kwa viongozi wa kuu hawataki kulikemea
 
Usisahau amri ya Papa inayowataka mpewe baraka huko makanisani. Haya nenda kabarikiwe sasa
.
 
dini zingine za hovyo sna,Kama jaribu la kuvumilia jirani yako akila hadharani linakushinda utaweza kuvumilia ukiona upaja wa pisi kali? Jaribu dogo tu linateteresha imani yako.
 
we naye umekurupuka hujamuelewa. uwe unatuliza fuvu usome kisha ndio ujibu.
Wewe Bibi Njunju umemuelewa? Alipsema "Zanziba ni Islamic state" alikuwa na maana gani na alitumia nini kujusfty kuwa Zanzibar ni "Islamic state" acha kutumia makalio kufikiria we Bibi au ushaingia eda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…