Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Sasa kama mmeshindwa kuvumilia kutokula mchana tu mtashindwa kuruhusu ushoga? Mnajilainisha sana nyinyi watoto wa Papa
dini zingine za hovyo sna,Kama jaribu la kuvumilia jirani yako akila hadharani linakushinda utaweza kuvumilia ukiona upaja wa pisi kali? Jaribu dogo tu linateteresha imani yako.
 
mwaka huu wakristo walianza kufunga pasaka kabla ya waislamu kufunga ramadhan sikusikia katazo la kula hadharani sababu wakristo wanafunga.
 

Kumbe Zanzibar kuna wakristo? Sasa mbona kwenye serikali yao sijawahi kusikia mkristo? Kama kuna wakristo huko Zanzibar basi labda hawakwenda shule kabisa!
Adam mwakanjuki na mzee sepetu walikuwa waislamu?
 
Wewe Bibi Njunju umemuelewa? Alipsema "Zanziba ni Islamic state" alikuwa na maana gani na alitumia nini kujusfty kuwa Zanzibar ni "Islamic state" acha kutumia makalio kufikiria we Bibi au ushaingia eda?
katumia dhihaka kichwa maji wewe. wewe ulivyo kiazi ulimtanabaisha kama mzanzibari. matako uwe unasoma na kuelewa. yeye ni mbara sio mzanzibari. katumia lugha ya dhihaka na ndio maana kamlaumu Nyerere kilaza mwenzio kwa kutuunganisha na wazanzibar muungano wa kinafiki. kisha akampraise Kambona. Na mimi nikaafiki kuhusu Kambona. Umeelewa kichwa maji? uache kuf*** inaharibu akili.
 
Walifika waislam 100? Kwenye wakristo 1000 basi wanaifunga hawazidi 10
kwanza waislamu hawafungi wanabadilisha tu ratiba ya kula,umewahisikia wapi watu wakifunga kila mwaka mnaazakulalamika bei ya vyakula kupanda, mkifunga maanayake hakuna walaji na wanunuzi bei inatakiwa kushuka lakini badala yake ndo kipindi mna kula sana
 
Kumbe Zanzibar kuna wakristo? Sasa mbona kwenye serikali yao sijawahi kusikia mkristo? Kama kuna wakristo huko Zanzibar basi labda hawakwenda shule kabisa!

Zanzibar wenyewe wakristo ni kidogo sana hata 1% hawafiki, Ila wengi waliokuepo ni wahamiaji kutoka Bara waliohamia kwa harakati za kimaisha
 
Tulishasema siku nyingi, huu muungano ni wa kipuuzi na hauna maslahi yeyote kwetu zaidi ya kuinufaisha zenji na viongozi wabinafsi
 
Najua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Je wakristo wanapofunga pekeyao waislamu wanakatazwa kula hadharani? Zanzibar imelala kifikra
 
Hapa kwa kweli mwalimu jk hakufanya vyema ni bora angefanya Zanzibar iwe mkoa au awatenge kabisa. Haiwezekani sisi wa Tanganyika tunadharauliwa na vijitu vichache ambavyo ni vibaguzi.
 
Zanzibar wenyewe wakristo ni kidogo sana hata 1% hawafiki, Ila wengi waliokuepo ni wahamiaji kutoka Bara waliohamia kwa harakati za kimaisha
Ilikuwa kosa kubwa kuifanya Zanzibar iwe nchi.
 
Lazima Salaam Za Pasaka Zitaambatana Na Hilo Jambo
Limekaa Na Ukakasi Tele, Vice President Yupo Wapi!!
Ni Mgalatia Aliyekimya
 
Back
Top Bottom