900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
wamebakia tu kula nyama za kondoo toka uturukiMaaskofu , wachungaji, mapdre wote wamenyamaza jinsi wakristo wanavyofanyiwa ukatili hatuna viongozi huku tanganyika na zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamebakia tu kula nyama za kondoo toka uturukiMaaskofu , wachungaji, mapdre wote wamenyamaza jinsi wakristo wanavyofanyiwa ukatili hatuna viongozi huku tanganyika na zanzibar
Mkaazi, kidole gumba sio!Usisahau amri ya Papa inayowataka mpewe baraka huko makanisani. Haya nenda kabarikiwe sasa
.
dini zingine za hovyo sna,Kama jaribu la kuvumilia jirani yako akila hadharani linakushinda utaweza kuvumilia ukiona upaja wa pisi kali? Jaribu dogo tu linateteresha imani yako.
Sio kama wamenyamaza hy amri ya kutokula mchana zanzibar lipo tangu kabla ya mapinduziMaaskofu , wachungaji, mapdre wote wamenyamaza jinsi wakristo wanavyofanyiwa ukatili hatuna viongozi huku tanganyika na zanzibar
Iko wazi kuwa wakristo hamfungi. Wanaofunga wanahesabikamwaka huu wakristo walianza kufunga pasaka kabla ya waislamu kufunga ramadhan sikusikia katazo la kula hadharani sababu wakristo wanafunga.
Adam mwakanjuki na mzee sepetu walikuwa waislamu?
Kumbe Zanzibar kuna wakristo? Sasa mbona kwenye serikali yao sijawahi kusikia mkristo? Kama kuna wakristo huko Zanzibar basi labda hawakwenda shule kabisa!
hakuna lolote waislamu wenyewe hawafungi tuna kula nao migahawani na kupangusa midomo,japo wanahudumiwa kwenye vyumba vya ndani wasionekane kwa waislamu wenzaoIko wazi kuwa wakristo hamfungi. Wanaofunga wanahesabika
katumia dhihaka kichwa maji wewe. wewe ulivyo kiazi ulimtanabaisha kama mzanzibari. matako uwe unasoma na kuelewa. yeye ni mbara sio mzanzibari. katumia lugha ya dhihaka na ndio maana kamlaumu Nyerere kilaza mwenzio kwa kutuunganisha na wazanzibar muungano wa kinafiki. kisha akampraise Kambona. Na mimi nikaafiki kuhusu Kambona. Umeelewa kichwa maji? uache kuf*** inaharibu akili.Wewe Bibi Njunju umemuelewa? Alipsema "Zanziba ni Islamic state" alikuwa na maana gani na alitumia nini kujusfty kuwa Zanzibar ni "Islamic state" acha kutumia makalio kufikiria we Bibi au ushaingia eda?
Walifika waislam 100? Kwenye wakristo 1000 basi wanaifunga hawazidi 10hakuna lolote waislamu wenyewe hawafungi tuna kula nao migahawani na kupangusa midomo,japo wanahudumiwa kwenye vyumba vya ndani wasionekane kwa waislamu wenzao
kwanza waislamu hawafungi wanabadilisha tu ratiba ya kula,umewahisikia wapi watu wakifunga kila mwaka mnaazakulalamika bei ya vyakula kupanda, mkifunga maanayake hakuna walaji na wanunuzi bei inatakiwa kushuka lakini badala yake ndo kipindi mna kula sanaWalifika waislam 100? Kwenye wakristo 1000 basi wanaifunga hawazidi 10
Kumbe Zanzibar kuna wakristo? Sasa mbona kwenye serikali yao sijawahi kusikia mkristo? Kama kuna wakristo huko Zanzibar basi labda hawakwenda shule kabisa!
Je wakristo wanapofunga pekeyao waislamu wanakatazwa kula hadharani? Zanzibar imelala kifikraNajua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Ilikuwa kosa kubwa kuifanya Zanzibar iwe nchi.Zanzibar wenyewe wakristo ni kidogo sana hata 1% hawafiki, Ila wengi waliokuepo ni wahamiaji kutoka Bara waliohamia kwa harakati za kimaisha