Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Waliojificha nyuma ya kivuli cha uarabu na uislamuWazanzibar wanajionaga miungu watu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliojificha nyuma ya kivuli cha uarabu na uislamuWazanzibar wanajionaga miungu watu sana
Sheria gani wewe msengesana ungekua karibu ningekuzaba bonge la banziTii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Katazo litawapeleka peponi kutafuna bikra 72?Najua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Ndio maana wanakataza wamasai wasitembee na masime kumbe ili wawapige mikwaju wakiwa wanakula mchana wasengekisengeI wish ningekiwa naishi Zanzibar napika wali alfu nakatiza nao mtaani na panga pembeni algu mtu alete ujinga
Wewe wacha porojo hizo sheria sheria zinazokataza kula hadharani mchana wa Ramadhani zipo toka wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaKutokula hadharani inawezekana lakini kwani akila hadharani, wewe ambaye umefunga inakuhusu nini? Hiyo sheria za kuwazuia watu kula hadharani, ni ya kiuwendawazimu. Anayekula hakuwekei chakula mdomoni pako uliyefunga, wewe inakuhusu nini?
Kama unashindwa kuendelea na funga kwa sababu umeona mtu anakula au umekiona chakula, basi wewe ni mnafiki mkubwa, na hujafunga chochote bali unashinda njaa kwa sababu hakuna chakula.
Unamkatazaje mtu kula hadharani mbwehaweweNajua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Wewe ni msengekisenge Sheria Sheria huweki hapa msengemmoja wewe umekomaa tu Sheria Sheria Sheria za mkunduwakoWewe wacha porojo hizo sheria sheria zinazokataza kula hadharani mchana wa Ramadhani zipo toka wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaKwamba wengine wakila hadharani nyie automatical mnafungua ama? Mbona ni dini ya shuruti sana?
Nenda kwanza kanisani ukabarikiweSheria gani wewe msengesana ungekua karibu ningekuzaba bonge la banzi
Mkuu Mchungaji Mtikila angekuwa hai angetutetea.Maaskofu , wachungaji, mapdre wote wamenyamaza jinsi wakristo wanavyofanyiwa ukatili hatuna viongozi huku tanganyika na zanzibar
Wewe ni msengesana huna Sheria za kuzuia watu wasile hadharani pumbavu na tukija pasaka tunakula hadharani mtuguse muoneNenda kwanza kanisani ukabarikiwe
Huko uisilamu ni lazima.Kuna mambo yanachekesha
Nawaza hapa polisi wanakamata mtu anakula,katika mahojiano mtuhumiwa anaulizwa kwanini umekula wakati wenzako wamefunga?seriously?
Mtu kala zake hadharani,kaamua yeye asifunge kwa sababu zake na Mungu wake...kwa nini mwingine ateseke?kwa inavyoonekana Zanzibar sio sehemu ya uhuru
Uislamu haukatazi watu kula hadharani weweboyanazi, leta hapa Aya ya Qur'an inayosema watu wasile hadharani wakati wa mfungo wa RamadhanHuko uisilamu ni lazima.
Ila mwaka kumekuwepo na mambo mapya; kupiga na kukamatwa wasio waislamu wanaokula chakula nyumbani kwao.Najua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Mwinyi ameingia madarakani bila ridhaa ya wazanzibar walio wengi, anajua huko uisilamu ndio unabeba hisia zao, hivyo anajua akiiongea lolote lililo kinyume na wazanzibar, ataamsha hasira zao kuhusu utawala wake.Nauona UDINI dhahiri mbele ya macho ya ma Rais wawili walioungana kuupiga vita UKRISTO visiwani kimya kimya.
Tunakushukuru sana Husein Mwinyi kwa ukimya wako kuonyesha kuwa sasa Zenji ina dini.
Tukushukuru Mzenji Samia kwa kukaa kimya maana nali ni jibu pia.
Zanzibar ni Tanzania, na uisilamu sio special case kwenye katiba ya muungano. Labda mseme huko katiba inafuata Sheria za kiisilamu.Hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Zanzibar usalama wa taifa ni TISS pia??Hapana Idara maalumu sio TISS..
Idara maalumu Ni JKU,KMKM, chuo cha mafunzo(Jeshi la magerza) N.k