Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

Kwani Zenji kuna mchongo gan nako si waje tu Tanganyika tujimwage na Uhuru wa kulevya.....
 
Hatuutaki muungano mbona hamuelewi ndugu zetu wakristo wanakaa kwa kunyanyasika ktk nchi yao wenyewe.
 
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.

Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.

Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?

Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?

Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?

Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Na wachapwe tu.
 
Hizi kelele za wasiokuwa waislamu katika hili linaonyesha wazi kwamba sasa Zanzibar ipo katika hali mbaya sana interms of mila na desturi zake. Na hizi kelele nadhani ni za kupima kina cha maji kuona vp bado kina ni kirefu au tayari tunakaribia kufika ukingoni? Mababu zenu waliounganisha Tanganyika na Zanzibar hawakuwahi kulalamikia taratibu za wazanzibari katika mila na desturi zao kwa kuwa walitambua hawakuwa na nguvu ya ushawishi wa kubadili mambo.

Kitendo cha leo kuona wabara wanalalamikia desturi zilizokuwepo enzi na enzi kwa wazanzibari ni dalili ya wazi kuwa Zanzibar haipo salama tena na uzanzibari wake.
 
MKuu hao wanaomwaga povu na kulalamika wako zao wametulia Mwanza, Arusha, Bukoba wengine hapa Temeke tu, Huko zanzibar kwenyewe hali ni shwari tu kila mtu anaishi kwa nidhamu
 
sasa mbona askari hua wanakamata?
Ndio maana huyo wakili ngui.mbobezi wa sheria kawashukia polisi

Kama kuna mtu mwenye ndigu kashikwa kwa kosa la kula Ramadhani public au tatizo lolote la kuonewa na vyombo vya dola au serikali au taasisi au kampuni au mtu binafsi nk aende kwake atafute msaada wa kisheria. Huyo wakili yuko fit mno Zanzibar
 
Zanzibar ni ya wazanzibari na sio waafrika, acha pumba ndugu

Hao Wazanzibari ni Waafrika, ni Wanyamwezi, Wasukuma n.k. ambao babu zao walichukuliwa utumwani na waarabu.
 
Najua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
ni imani ya kijinga kupiga marufuku kula mchana. Hao waliofunga waendelee kufunga kuabudu ibada ya sanamu, Mungu hayupo hapo, hayo ni makatazo ya watu tu kwa utashi wao. Udini umejaa sana zanzibar, bora waendelee kubanwa kwenye muungano ili kupunguza ushenzi huo wa kidini
 
Uwezi kulazimisha Imani,uwezi kumlazimisha mtu atii unachokiamini.Zanzibar Kuna kosa kubwa wanafanya.Unamlazimisha mtu afunge Kwa kutokula huku moyoni ananungunika Kwa asilimia 80,mtu huyu anakuwa hajafunga hata kidogo Bali unamzuia kula tu.
Ukitaka kuamini kuwa Wazanzibar wengi hawana muda wa kufunga,ondoa Sheria zenu uone ni wangapi watafunga na wangapi watakula zaidi.Watatembea na vyakula mtaani Kwa kufanya sherehe za kuondoa zuio hilo.
Imani ni mtu mwenyewe Wala sio nguvu ya Sheria.Wengi wanafunga Kwa sababu Sheria inawabana.
 
Hizi kelele za wasiokuwa waislamu katika hili linaonyesha wazi kwamba sasa Zanzibar ipo katika hali mbaya sana interms of mila na desturi zake. Na hizi kelele nadhani ni za kupima kina cha maji kuona vp bado kina ni kirefu au tayari tunakaribia kufika ukingoni? Mababu zenu waliounganisha Tanganyika na Zanzibar hawakuwahi kulalamikia taratibu za wazanzibari katika mila na desturi zao kwa kuwa walitambua hawakuwa na nguvu ya ushawishi wa kubadili mambo.

Kitendo cha leo kuona wabara wanalalamikia desturi zilizokuwepo enzi na enzi kwa wazanzibari ni dalili ya wazi kuwa Zanzibar haipo salama tena na uzanzibari wake.
Makafiri wanachotaka ni kuona Zanzibar inakuwa kama Vatican city,wanachokitafuta Zanzibar ni Nini?kama wanaona wanakosa uhuru wamelazimishwa kuishi huko??

Waende kwao peramiho
 
Back
Top Bottom