MZee Ndago
Member
- Apr 25, 2023
- 23
- 49
Hatima yao nikuacha kula mchana tu walaleKumbuka hizo sheria sio mpya zipo toka Enzi ya nyerere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatima yao nikuacha kula mchana tu walaleKumbuka hizo sheria sio mpya zipo toka Enzi ya nyerere
Kuna sherehe bila kula?Katazo la kusherehekea Pasaka halijawah kuwepo Zanzibar
wasubiri EidWasio na ndugu na wasio na nauli ya dsm wafanyeje?
Na wachapwe tu.Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?
Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?
Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?
Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Zanzibar hakuna sheria ya kukamata mtu akila chakula mchana RamadhaniZanzibar ni nchi mkuu
Hizi kelele za wasiokuwa waislamu katika hili linaonyesha wazi kwamba sasa Zanzibar ipo katika hali mbaya sana interms of mila na desturi zake. Na hizi kelele nadhani ni za kupima kina cha maji kuona vp bado kina ni kirefu au tayari tunakaribia kufika ukingoni? Mababu zenu waliounganisha Tanganyika na Zanzibar hawakuwahi kulalamikia taratibu za wazanzibari katika mila na desturi zao kwa kuwa walitambua hawakuwa na nguvu ya ushawishi wa kubadili mambo.Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?
Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?
Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?
Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Zanzibar hakuna sheria ya kukamata mtu akila chakula mchana Ramadhani
View: https://youtu.be/Eu0V9V2_Z2Y?si=ijv2bnxgsotNOBz5
Hizi kelele za wasiokuwa waislamu katika hili linaonyesha wazi kwamba sasa Zanzibar ipo katika hali mbaya sana interms of mila na desturi zake. Na hizi kelele nadhani ni za kupima kina cha maji kuona vp bado kina ni kirefu au tayari tunakaribia kufika ukingoni? Mababu zenu waliounganisha Tanganyika na Zanzibar hawakuwahi kulalamikia taratibu za wazanzibari katika mila na desturi zao kwa kuwa walitambua hawakuwa na nguvu ya ushawishi wa kubadili mambo.
Kitendo cha leo kuona wabara wanalalamikia desturi zilizokuwepo enzi na enzi kwa wazanzibari ni dalili ya wazi kuwa Zanzibar haipo salama tena na uzanzibari wake.
Ndio maana huyo wakili ngui.mbobezi wa sheria kawashukia polisisasa mbona askari hua wanakamata?
ngojeni aje presidaa mbara ndiyo mtakapo elewa....
Zanzibar ni ya wazanzibari na sio waafrika, acha pumba ndugu
ni imani ya kijinga kupiga marufuku kula mchana. Hao waliofunga waendelee kufunga kuabudu ibada ya sanamu, Mungu hayupo hapo, hayo ni makatazo ya watu tu kwa utashi wao. Udini umejaa sana zanzibar, bora waendelee kubanwa kwenye muungano ili kupunguza ushenzi huo wa kidiniNajua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Hatari snAlietuletea dini Africa naona alituloga kwanza, Dini zimekua chanzo chakutengana na umaskini
Sio chokochoko bali mpunguze kama sio kuacha uchokoNajua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
Makafiri wanachotaka ni kuona Zanzibar inakuwa kama Vatican city,wanachokitafuta Zanzibar ni Nini?kama wanaona wanakosa uhuru wamelazimishwa kuishi huko??Hizi kelele za wasiokuwa waislamu katika hili linaonyesha wazi kwamba sasa Zanzibar ipo katika hali mbaya sana interms of mila na desturi zake. Na hizi kelele nadhani ni za kupima kina cha maji kuona vp bado kina ni kirefu au tayari tunakaribia kufika ukingoni? Mababu zenu waliounganisha Tanganyika na Zanzibar hawakuwahi kulalamikia taratibu za wazanzibari katika mila na desturi zao kwa kuwa walitambua hawakuwa na nguvu ya ushawishi wa kubadili mambo.
Kitendo cha leo kuona wabara wanalalamikia desturi zilizokuwepo enzi na enzi kwa wazanzibari ni dalili ya wazi kuwa Zanzibar haipo salama tena na uzanzibari wake.