Nini hatma ya miradi ya Chato?

Nini hatma ya miradi ya Chato?

Nimeshindwa kulala hadi nalia machozi. Hivi nyie mnajua mtoto wa mtu anauma kiasi gani? Mama yake ataambiwa nini yule mzee??
Pole Dada...msiba mkubwa ni wako
Tuombe marehemu apumzike kwa Amani
Hata Maalim Seif naye alipita
Na haya maumivu yatapita pia

RIP JPM.....dah Mali, nguvu, Madaraka si chochote kuliko Afya...
 
Ndio najua .nakumbuka alimpigia kura mwanae. Dah. Walimleta kituo cha kupigia kura
Walimpelekea kituo cha kupigia kura wakati haongei, haoni, hajui kinachoendelea, alipigaje kura? Ama ni kama kipindi kile cha bunge la katiba mama yake zito alipiga kura wakati tayari alikua amekufa siku nyingi.

Ukiwa kwenye life support mara nyingi unakua kwenye ile hali inaitwa terminally dead but medically alive.
 
Vipi mtoto wa mtu aliechakazwa risasii mwili mzima?
Hayo yote nayajua ila mm staki kusikiaga kifo.kifo kilimchukua baba yangu,queen rafiki yangu, mathias yafiki yangu. Stakagi kusikia kifo. Hata kama ingetokea huyo aliyepigwa risasi akafa ningelia kama ninavyolia sasa hivi.
 
Uwanja wa ndege, hospital ya rufaa, chuo cha veta, mbuga, kulikuwa na plan ya uwanja wa mpira nk nk.

Je, Serikali itaiendeleza?
Tusiwaze mali na vitu vya duniani
Tuomboleze aliyefariki ni binadam mwenzetu, alikuwa Rais isingekuwa rahisi kumfurahisha kila mtu lakini kwa nafasi yake kapambana kusimamia alichokiamini.

Pumzika kwa amani Mzee Magufuli
 
Back
Top Bottom