The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Mama yake haongei, hajui kinachoendelea mwaka wa 3 sasa yuko kwenye life support.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani alikuwa anapanda jamaa peke yake? Kama abiria wapo wataenda tuuATCL walikuwa wameshaanza route za ndege kwenda Chato.
Nawapa mwezi mmoja kuona kama wanaenda tena huko.
Pole Dada...msiba mkubwa ni wakoNimeshindwa kulala hadi nalia machozi. Hivi nyie mnajua mtoto wa mtu anauma kiasi gani? Mama yake ataambiwa nini yule mzee??
🤣🤣🤣Ipumzike kwa amani
Ndio najua .nakumbuka alimpigia kura mwanae. Dah. Walimleta kituo cha kupigia kuraMama yake haongei, hajui kinachoendelea mwaka wa 3 sasa yuko kwenye life support.
Unakosea kaka....Kama vipi zikwa naye!
Walimpelekea kituo cha kupigia kura wakati haongei, haoni, hajui kinachoendelea, alipigaje kura? Ama ni kama kipindi kile cha bunge la katiba mama yake zito alipiga kura wakati tayari alikua amekufa siku nyingi.Ndio najua .nakumbuka alimpigia kura mwanae. Dah. Walimleta kituo cha kupigia kura
Mtoto wa mtu aliyepigwa risasi 38 kisha akaambiwa katoroka bila taarifa kwa Spika aliniuma sana.Nimeshindwa kulala hadi nalia machozi. Hivi nyie mnajua mtoto wa mtu anauma kiasi gani? Mama yake ataambiwa nini yule mzee??
Hayo yote nayajua ila mm staki kusikiaga kifo.kifo kilimchukua baba yangu,queen rafiki yangu, mathias yafiki yangu. Stakagi kusikia kifo. Hata kama ingetokea huyo aliyepigwa risasi akafa ningelia kama ninavyolia sasa hivi.Vipi mtoto wa mtu aliechakazwa risasii mwili mzima?
Tusiongelee chato kwa sasaUwanja wa ndege, hospital ya rufaa, chuo cha veta, mbuga, kulikuwa na plan ya uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?
Hata nae nililia kama ninavyolia leo. Mm stakagi kusikia kifo cha mtu yeyote. Maana siwezi jizuia kulia.niwe namjua au simjui.Na kina Ben Saanane et al ............????????????
Na waliokufa na Corona kwa ujinga wake????????
Au hawa ni sisimizi tu au vipi?????????????
Tusiwaze mali na vitu vya dunianiUwanja wa ndege, hospital ya rufaa, chuo cha veta, mbuga, kulikuwa na plan ya uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?
Who wants to go there?Kwan alikuwa anapanda jamaa peke yake? Kma abiria wapo wataenda tuu
Uwanja wa ndege, hospital ya rufaa, chuo cha veta, mbuga, kulikuwa na plan ya uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?
Hata katika ishirini bora hayupo.Kalemani ndio VP, ili kuwapoza watu wa chato