Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote vitafanyika but sio kwa staili aliyokuwa nayo marehemu kwamba lazima kuwe na uwiano wa mgawanyo wa fedha ili kutoa nafuu kwenye sekta zote.Najiuliza Sgr, kuhamia dodoma, stgila goji, daraja la magufuli mwanza, etc ni hatma yake?
Familia ya Ben saa nane nayo inamlilia Sana mtoto wao ambaye marehemu jiwe alimpotezaJamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana😭😭😭😭😭 mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Walikosea sana kumficha mkulu kwa watu wake na kuanza kuongea utata hadharani, hao wana la kujibu. Binafsi wamenikera sana as if kuna kakikundi kalitake advantage ya ugonjwa wa mkuu kufanya yao na kutoa maelekezo.Mkuu, hali si shwari sana ila ipo managed...
Kwani si ni mipango ya serikali hiyo?kwa nini tuanze kuhoji?mimi nadhani hao mawaziri watatakiwa kuisimamia ikamilike maana ilikuwa kwenye ilani ya ccm.tukianza kuhoji hayo tutaanza kuhoji pia na ujenzi wa busis bridge,nyerere hydro, sgr,midege mingine.Hiyo miradi bora imaliziwe itumiwe na wakazi wa maeneo hayo na jirani, jengo kama lile la hospitali ya Rufaa kuliacha bila kumaliziwa itakuwa ni dhambi kubwa sana, ila kwa miradi mingine ambayo ilikuwa bado haijaanza kama ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu hiyo inaweza kusitishwa ujenzi wake kwasababu sio ya muhimu sana.
Hili nalo ni la kuhoji pia maana sioni kama Kuna litakaloendelea pale.Makao makuu Dodoma vipi?
Wakishamaliza kuzika huyo mama sidhani kama ataendelea kuwa kwenye iyo life supportMama yake yupo kwenye life support karibu mwaka wa 3 huu hajui kinachoendelea duniani.
Kaijenga marehemu iyo roho mbaya kumbukaWatu mna roho mbaya sana aiseeeee
Rudini DSM tu huku ni kutusumbua, pesa hakuna mishahara hakuna mnang'ang'ania kuanzisha mini, mbuga za wanyama, hata Mobutu sese Seko alianzisha Globetrota leo iko wapi?Makao makuu Dodoma vipi?
Kweli huu ni msiba kubwa sana na kama kuna binadamu yoyote ambaye hajaumia kwa msiba huu kubwa ya kupoteza kiongozi mchapa kazi kama Rais Magufuli basi huyo binadamu ana matatizo makubwa sana ya kiakili na kimoyo pia .R.I.P RAIS WETU.Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana😭😭😭😭😭 mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Mama wa kabendera he ulimliliaJamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana😭😭😭😭😭 mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Mbona majengo mengi ya NHC Kawe na NSSF Kigamboni, bingwa aliyatelekeza? Mambo ya kawaida tu hayo kibongobongoHiyo miradi bora imaliziwe itumiwe na wakazi wa maeneo hayo na jirani, jengo kama lile la hospitali ya Rufaa kuliacha bila kumaliziwa itakuwa ni dhambi kubwa sana, ila kwa miradi mingine ambayo ilikuwa bado haijaanza kama ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu hiyo inaweza kusitishwa ujenzi wake kwasababu sio ya muhimu sana.
Azory na Ben wako wapi? Tuanzie hapo utu kwanzaHiyo tuweke pembeni kwanza mkuu. Utu ni muhimu kwa sasa
Pitia hapa kwanzaUwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?
Hakuna kitu tenaUwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk.
Je, Serikali itaiendeleza?
Labda hao walikuwa ni panyaAzory na Ben wako wapi? Tuanzie hapo utu kwanza