Nini hatma ya miradi ya Chato?

Nini hatma ya miradi ya Chato?

Najiuliza Sgr, kuhamia dodoma, stgila goji, daraja la magufuli mwanza, etc ni hatma yake?
Vyote vitafanyika but sio kwa staili aliyokuwa nayo marehemu kwamba lazima kuwe na uwiano wa mgawanyo wa fedha ili kutoa nafuu kwenye sekta zote.

Stiglaz ndio lazima iwe kipaumbele na bajeti lazima ipanguliwe
 
Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana😭😭😭😭😭 mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.

Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Familia ya Ben saa nane nayo inamlilia Sana mtoto wao ambaye marehemu jiwe alimpoteza
 
Mkuu, hali si shwari sana ila ipo managed...
Walikosea sana kumficha mkulu kwa watu wake na kuanza kuongea utata hadharani, hao wana la kujibu. Binafsi wamenikera sana as if kuna kakikundi kalitake advantage ya ugonjwa wa mkuu kufanya yao na kutoa maelekezo.

Laiti tungeambiwa mh. anaumwa hata dua zingefanywa makanisani na misikitini then Mungu angeamua lakini kwa hali hii sio vizuri kwa kweli
 
Hiyo miradi bora imaliziwe itumiwe na wakazi wa maeneo hayo na jirani, jengo kama lile la hospitali ya Rufaa kuliacha bila kumaliziwa itakuwa ni dhambi kubwa sana, ila kwa miradi mingine ambayo ilikuwa bado haijaanza kama ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu hiyo inaweza kusitishwa ujenzi wake kwasababu sio ya muhimu sana.
Kwani si ni mipango ya serikali hiyo?kwa nini tuanze kuhoji?mimi nadhani hao mawaziri watatakiwa kuisimamia ikamilike maana ilikuwa kwenye ilani ya ccm.tukianza kuhoji hayo tutaanza kuhoji pia na ujenzi wa busis bridge,nyerere hydro, sgr,midege mingine.

So kama hayo mamiradi hayakuainishwa kwenye ilan pamoja na mpango wa maendeleo wa nchi basi inabidi yafikiliwe upya.sioni waziri yule yule aliyeleta hizo hoja bungeni alete tena hoja za ku cancel.

Ila pia waangalie kama tayari kulikuwa na contractual obligation,watashikilia mindege yetu.

Sijui budget ya mwaka huu itakavyokuwa,bahati mbaya hata alikuwa hajasaini mswaada wa budget take ya kwanza ktk kipindi chake cha pili
 
Mke na watoto wa Tundu Lissu, yule jamaa Alifungwa mpaka mama yake akafa, Azory, Mawazo, Ben Saanane wote wana wazazi.
 
Makao makuu Dodoma vipi?
Rudini DSM tu huku ni kutusumbua, pesa hakuna mishahara hakuna mnang'ang'ania kuanzisha mini, mbuga za wanyama, hata Mobutu sese Seko alianzisha Globetrota leo iko wapi?
 
Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana😭😭😭😭😭 mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.

Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Kweli huu ni msiba kubwa sana na kama kuna binadamu yoyote ambaye hajaumia kwa msiba huu kubwa ya kupoteza kiongozi mchapa kazi kama Rais Magufuli basi huyo binadamu ana matatizo makubwa sana ya kiakili na kimoyo pia .R.I.P RAIS WETU.
 
Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana😭😭😭😭😭 mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.

Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Mama wa kabendera he ulimlilia
 
Hiyo miradi bora imaliziwe itumiwe na wakazi wa maeneo hayo na jirani, jengo kama lile la hospitali ya Rufaa kuliacha bila kumaliziwa itakuwa ni dhambi kubwa sana, ila kwa miradi mingine ambayo ilikuwa bado haijaanza kama ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu hiyo inaweza kusitishwa ujenzi wake kwasababu sio ya muhimu sana.
Mbona majengo mengi ya NHC Kawe na NSSF Kigamboni, bingwa aliyatelekeza? Mambo ya kawaida tu hayo kibongobongo
 
Back
Top Bottom