Hakuna kisicho mtazamo wa mtu.Nadhani huo ni mtazamo wako na mimi nimetoa mtazamo wangu ambao upo tofauti..
Katika sayansi ya jamii hakuna mtazamo ulio sahihi na usio sahihi it depends on who you ask...There is no objectivity katika hili...So mtazamo unabaki mtazamo..Hakuna kisicho mtazamo wa mtu.
Lakini katika mitazamo hiyo tofauti ya watu, kuna mingine sahihi na mingine si sahihi.
Acha izo , yule virasta alikua na maswali nondo!Kwan walikua na kaz gan zaid ya kukwangua kucha wagen kwenye kipind sijaona kazi yao hata maswali yao hayana uzito kwa wagen
Basi anapatiagamuba uwa anawahoj wa2 enewz ya sam misago
Ingekuwa hivyo kweli, mahakama zisingetoa hukumu. Sheria nayo ni social science.Katika sayansi ya jamii hakuna mtazamo ulio sahihi na usio sahihi it depends on who you ask...There is no objectivity katika hili...So mtazamo unabaki mtazamo..
Sheria inazingatia evidence haizingatii mitazamoo. Atayeweza kupresent evidence kwenye mpangilio kwa kufuata vifungu vya sheria ndo mshindi. Tukiongelea sayansi ya jamii tunaongelea vitu kama anthropology na kadhalikaIngekuwa hivyo kweli, mahakama zisingetoa hukumu. Sheria nayo ni social science.
Kwani nani kasema tumekatazwa kuzingatia evidence hapa?Sheria inazingatia evidence haizingatii mitazamoo. Tukiongelea sayansi ya jamii tunaongelea vitu kama anthropology na kadhalika
kwa hiyo yako ni evidence? teh teh teh haya bwana endelea na threadKwani nani kasema tumekatazwa kuzingatia evidence hapa?
"Yangu" ni evidence? "Yangu" ipi? Mbona unaandika kitu kisichoeleweka?kwa hiyo yako ni evidence? teh teh teh haya bwana endelea na thread
Ingekuwa hivyo kweli, mahakama zisingetoa hukumu. Sheria nayo ni social science.
Sawa bingwa wa ligi..."Yangu" ni evidence? "Yangu" ipi? Mbona unaandika kitu kisichoeleweka?
Bingwa wa ligi nani kati yangu ninayesema kwamba vitu vinaweza kumalizwa kwa ushahidi na wewe unayesema havimalizwi, vinaendelea tu?Sawa bingwa wa ligi...
Huyu anasema, hili ni jambo la mtazamo tu, halina maamuzi nani yuko sahihi.Lakini mbona hata hukumu za mahakama watu hupingana nazo.
Hivi unadhani kila mtu alikubaliana na acquittal ya O.J.?
Au kila anayepatikana na hatia unadhani huwa anakubaliana na huo uamuzi?
Huoni kila mara hata US Supreme Court inakuwa imegawanyika 5-4 kwenye hukumu zake?
Kwenye mtazamo hakuna usahihi...wewe wako utauona ni sahihi na mwenzako wa kwake ndo atauona ni sahihi.
Sawa stanley mtonyole !!!!Acha izo , yule virasta alikua na maswali nondo!
Aiseee huyo jamaa naona kila thread anaponda au anakuwa kinyume. By the way anakua na hoja za muhimu ingawa znakosa majbu sahihi.Wewe ni Kiranga bana. Mwenye vigezo vya juu na vya kipekee.
Nashangaa hata ulipoteza muda wako kuangalia kipindi cha 'barber shop talk'.
Hicho hakikuwa saizi yako. Wewe huna saizi yako. Labda kama saizi yako ni wewe mwenyewe.
Kwa nini usianzishe kipindi chako halafu ukawa unajialika mwenyewe na kujifanyia mahojiano mwenyewe na wakati mwingine hata kujifanyia mdahalo wako mwenyewe?
Nadhani kinaweza kuwa a ratings bonanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila siku nakuja hapa ku share mahojiano na kadamnasi.
Kuna wanaoelewa.
On the real. Yule Salama wewe unamuona yupo poa tu anavyo present hivyo vipindi?
Yani mimi hata nikijitahidi kuwa overly generous and liberal somehow ana manage kunifanya nione kile kipindi kina entertain ujinga in a way that hata mtu anaye entertain ujinga (mfano mimi ninavyo entertain clown wa JF) ataona this is too much.
Halafu nani anayeelewa hygiene anafanya interview huku ananyolewa
Wewe ulioanza kuita mtu byach unamfahamu?Common sense ni nini?
Wewe unayemuita mtu usiyemjua byach unayo hiyo common sense?
Nimeita mtu byach?Wewe ulioanza kuita mtu byach unamfahamu?
mi nadhani kila kipindi kina audience yake....kwa mfano anaeangalia hardtalk [HASHTAG]#kamaWewe[/HASHTAG] hawezi kuangalia mkasi au ngazi kwa ngazi....itakuwa absurd kwasababu hata vitu vitavyoongelewa ni TOFAUTI KABISAA plus eatv is mostly an entertainment [HASHTAG]#sinahakikanahyospelling[/HASHTAG] channel ila hardtalk ni bbc ambayo ni mostly news and curent issues so....you see the differenceKila siku nakuja hapa ku share mahojiano na kadamnasi.
Kuna wanaoelewa.
On the real. Yule Salama wewe unamuona yupo poa tu anavyo present hivyo vipindi?
Yani mimi hata nikijitahidi kuwa overly generous and liberal somehow ana manage kunifanya nione kile kipindi kina entertain ujinga in a way that hata mtu anaye entertain ujinga (mfano mimi ninavyo entertain clown wa JF) ataona this is too much.
I am tempted to say ukiniwekea interview yoyote ya Salama kuna sehemu atakuwa kachemsha.
But that would be rather presumptuous of me.
Halafu nani anayeelewa hygiene anafanya interview huku ananyolewa nywele?
Nywele zikiingia mdomoni? Mimi kufanyiwa interview huku unanyolewa ni sawa na kufanyiwa interview huku unakula.
The very concept itself is ghetto.
But I bet there is a crowd for that.
duuuu bro sado.masochism jamani daaaa umeuaaaaNilishaangalia episode moja, Salama anasema ma half cast "kama yeye" hawatakiwi ku date watu weusi, wa date na ma half caste tu.
Hapo hapo nikachoka!
Kwa episodes nilizoangalia, upuuzi kama huo upo kila nilipoangalia, nikachefuka nikaona siwezi kuji torture kama nipo katika club ya sado-masochism.