Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Hakuna kisicho mtazamo wa mtu.

Lakini katika mitazamo hiyo tofauti ya watu, kuna mingine sahihi na mingine si sahihi.
Katika sayansi ya jamii hakuna mtazamo ulio sahihi na usio sahihi it depends on who you ask...There is no objectivity katika hili...So mtazamo unabaki mtazamo..
 
Ingekuwa hivyo kweli, mahakama zisingetoa hukumu. Sheria nayo ni social science.
Sheria inazingatia evidence haizingatii mitazamoo. Atayeweza kupresent evidence kwenye mpangilio kwa kufuata vifungu vya sheria ndo mshindi. Tukiongelea sayansi ya jamii tunaongelea vitu kama anthropology na kadhalika
 
Sheria inazingatia evidence haizingatii mitazamoo. Tukiongelea sayansi ya jamii tunaongelea vitu kama anthropology na kadhalika
Kwani nani kasema tumekatazwa kuzingatia evidence hapa?

The main social sciences include economics, political science, human geography, demography and sociology. In a wider sense, social science also includes some fields in the humanities such as anthropology, archaeology, jurisprudence, psychology, history, and linguistics.

Social science - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Ingekuwa hivyo kweli, mahakama zisingetoa hukumu. Sheria nayo ni social science.

Lakini mbona hata hukumu za mahakama watu hupingana nazo.

Hivi unadhani kila mtu alikubaliana na acquittal ya O.J.?

Au kila anayepatikana na hatia unadhani huwa anakubaliana na huo uamuzi?

Huoni kila mara hata US Supreme Court inakuwa imegawanyika 5-4 kwenye hukumu zake?

Kwenye mtazamo hakuna usahihi...wewe wako utauona ni sahihi na mwenzako wa kwake ndo atauona ni sahihi.
 
Huyu anasema, hili ni jambo la mtazamo tu, halina maamuzi nani yuko sahihi.

Mtu akisema twende kumuua Freelancer, akakusanya watu wakaenda kumuua, na hapo aseme tu ni sahihi, huo ni mtazamo wao tu.

Kimsingi mabishano hapa ni kama kuna namna ya kupima mambo haya tukaona kipi ni sahihi na kipi si sahihi na kama hamna namna hiyo.

Hata kama hukumu ya OJ watu wengine waliikataa, hilo tu halina maana kwamba haikuwa sahihi.

Hata kama mahakama huwa zinaamua kesi kwa makosa, hilo halina maana kwamba hakuna njia ya kuhukumu kisahihi.

Huyu Freelancer ananiambia huwezi kumhukumu mtangazaji wa kipindi kwa sababu hii ni sayansi ya jamii, haina namna sahihi au mbaya ya kufanya mambo, inategemea tu na unayemuuliza.
 
Wewe ni Kiranga bana. Mwenye vigezo vya juu na vya kipekee.

Nashangaa hata ulipoteza muda wako kuangalia kipindi cha 'barber shop talk'.

Hicho hakikuwa saizi yako. Wewe huna saizi yako. Labda kama saizi yako ni wewe mwenyewe.

Kwa nini usianzishe kipindi chako halafu ukawa unajialika mwenyewe na kujifanyia mahojiano mwenyewe na wakati mwingine hata kujifanyia mdahalo wako mwenyewe?

Nadhani kinaweza kuwa a ratings bonanza.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee huyo jamaa naona kila thread anaponda au anakuwa kinyume. By the way anakua na hoja za muhimu ingawa znakosa majbu sahihi.
Gud for you bro. Simamia unachoamin. Changamoto znajenga sna
 
Kila siku nakuja hapa ku share mahojiano na kadamnasi.

Kuna wanaoelewa.

On the real. Yule Salama wewe unamuona yupo poa tu anavyo present hivyo vipindi?

Yani mimi hata nikijitahidi kuwa overly generous and liberal somehow ana manage kunifanya nione kile kipindi kina entertain ujinga in a way that hata mtu anaye entertain ujinga (mfano mimi ninavyo entertain clown wa JF) ataona this is too much.

Halafu nani anayeelewa hygiene anafanya interview huku ananyolewa

Antony Lusekelo a.k.a Mzee wa upako ndo kiboko ya host wa Mkasi.
Aliwaambia "kama maswali yameisha niondoke!!"
 
Kila siku nakuja hapa ku share mahojiano na kadamnasi.

Kuna wanaoelewa.

On the real. Yule Salama wewe unamuona yupo poa tu anavyo present hivyo vipindi?

Yani mimi hata nikijitahidi kuwa overly generous and liberal somehow ana manage kunifanya nione kile kipindi kina entertain ujinga in a way that hata mtu anaye entertain ujinga (mfano mimi ninavyo entertain clown wa JF) ataona this is too much.

I am tempted to say ukiniwekea interview yoyote ya Salama kuna sehemu atakuwa kachemsha.

But that would be rather presumptuous of me.

Halafu nani anayeelewa hygiene anafanya interview huku ananyolewa nywele?

Nywele zikiingia mdomoni? Mimi kufanyiwa interview huku unanyolewa ni sawa na kufanyiwa interview huku unakula.

The very concept itself is ghetto.

But I bet there is a crowd for that.
mi nadhani kila kipindi kina audience yake....kwa mfano anaeangalia hardtalk [HASHTAG]#kamaWewe[/HASHTAG] hawezi kuangalia mkasi au ngazi kwa ngazi....itakuwa absurd kwasababu hata vitu vitavyoongelewa ni TOFAUTI KABISAA plus eatv is mostly an entertainment [HASHTAG]#sinahakikanahyospelling[/HASHTAG] channel ila hardtalk ni bbc ambayo ni mostly news and curent issues so....you see the difference
 
Nilishaangalia episode moja, Salama anasema ma half cast "kama yeye" hawatakiwi ku date watu weusi, wa date na ma half caste tu.

Hapo hapo nikachoka!

Kwa episodes nilizoangalia, upuuzi kama huo upo kila nilipoangalia, nikachefuka nikaona siwezi kuji torture kama nipo katika club ya sado-masochism.
duuuu bro sado.masochism jamani daaaa umeuaaaa
 
Back
Top Bottom