Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Nini hatma ya Muba na John wa kipindi cha Mkasi?

Kazi kazi tu wao wanaakili timilifu cdhani kama watakosa la kufanya kituoni hapo ama hata nje ya kituo hicho
 
mi nadhani kila kipindi kina audience yake....kwa mfano anaeangalia hardtalk [HASHTAG]#kamaWewe[/HASHTAG] hawezi kuangalia mkasi au ngazi kwa ngazi....itakuwa absurd kwasababu hata vitu vitavyoongelewa ni TOFAUTI KABISAA plus eatv is mostly an entertainment [HASHTAG]#sinahakikanahyospelling[/HASHTAG] channel ila hardtalk ni bbc ambayo ni mostly news and curent issues so....you see the difference
Yep ni kweli mkuu. EATV ni TV ya burudani kwa hiyo vipindi vingi vinakuwa tailored kiburudani..
 
mi nadhani kila kipindi kina audience yake....kwa mfano anaeangalia hardtalk [HASHTAG]#kamaWewe[/HASHTAG] hawezi kuangalia mkasi au ngazi kwa ngazi....itakuwa absurd kwasababu hata vitu vitavyoongelewa ni TOFAUTI KABISAA plus eatv is mostly an entertainment [HASHTAG]#sinahakikanahyospelling[/HASHTAG] channel ila hardtalk ni bbc ambayo ni mostly news and curent issues so....you see the difference
Nimeongelea hilo. Lakini kuna mipaka ya kipindi chochote ambacho kina staha hata ndogo tu, nimetoa mfano habari ya Salama kusema machotara waoane wenyewe kwa wenyewe tu, wasioane na weusi. Kwa mtu anayeyapa maneno uzito kauli kama hiyo inakitoa kipindi hata katika vipindi visivyo serious, inakipeleka kwenye vipindi visivyo adabu.
 
Unaweza kutuwekea hiyo episode hapa?

Manake naona umeng'ang'ania hapo tu.

Tuwekee basi na sisi tuone/ ama tusikie ili tuweze kung'amua alisema hivyo katika muktadha upi.

Zaidi ya hapo, kama walivyoeleza wengine, sioni tatizo la Salama na maudhui ya kipindi chake.
 
That's a needle in a haystack situation, I'm still looking.

The fact that I am generally appalled by the show does not help.

Even as I understand Salama is actually punching above her weight, all things considered.

A million flies can't be wrong, they eat shyt.
 
Kiranga ulishawahi kutokuwa sahihi?
Mara moja kuna mtu alinikosoa hapa JF mpaka nikakubali nimekosea, siku nyingi sana.

Sikumbuki ilikuwa kitu gani. Nikataka kuisave hiyo conversation ili siku mtu akiniuliza hili swali nimuoneshe.

Nilijua swali hili litakuja.

Sasa najua nilikuwa sahihi kwenye kutaka kui save hiyo conversation.

Bahati mbaya sikumbuki.
 
Mgeni alikuwa nani?
I can't remember. Show nishaitoa umuhimu hata kukumbuka kazi.Mpaka sasa nimeangalia mbili Ambazo nakumbuka niliangalia, ya Dullah Mwinyi na ya January Makamba. I am trying to remember some more niangalie.

Kwanza angalia Pwagu na Pwaguzi hapa

Wamepoteza airtime mpaka alipokuja mgeni wao.

Sasa hapo kwa mfano nini tatizo?

Si wanapiga soga tu...

What's wrong with that?

Kwenye hili sioni kabisa hoja yako ilipo na mashiko.

If you don't like it then maybe it's not for you.

We unataka kila kipindi cha kwenye runinga kiwe kama Meet the Press ya Tim Russert?
 
Kwa wanaojua staha za watu walioheshimika, watu wanaoenzi tamaduni zao, watu waliostaarabika, kabla mgeni kuja hao Pwagu na Pwaguzi (hapana, naomba nisiwaite tena Pwagu na Pwaguzi maana nikiwaita hivyo nitakuwa nimewatukana Pwagu na pwaguzi) katika maongezi yao ya dakika tatu za mwanzo wa kipindi washatukana bila sababu, kwenye TV.

Lakini kuna samaki wengine washazoea kuogelea katika maji ya matusi na lugha mbovu hata hawawezi kujua kama kuna tusi limesemwa pasi na sababu hapo.

That's just a random episode.

Mtu anayejiheshimu na asiyetaka ku lower standards zake kwenda kwenye lowest common denominator itamuwia vigumu sana kuangalia kipindi hiki.
 
Kwa wanaojua staha za watu walioheshimika, watu wanaoenzi tamaduni zao, watu waliostaarabika, kabla mgeni kuja hao Pwagu na Pwaguzi (hapana, naomba nisiwaite tena Pwagu na Pwaguzi maana nikiwaita hivyo nitakuwa nimewatukana Pwagu na pwaguzi) katika maongezi yao ya dakika tatu za mwanzo wa kipindi washatukana bila sababu, kwenye TV.

Lakini kuna samaki wengine washazoea kuogelea katika maji ya matusi na lugha mbovu hata hawawezi kujua kama kuna tusi limesemwa pasi na sababu hapo.

That's just a random episode.

Hahahaaaa....duh!

Wakati mwingine watu huwa mnajipa stress zisizo hata na ulazima.

You seem to be so uptight about picayune things.

But I get it. We can't all be the same. And the way you are is the way you are.

I embrace diversity.
 
Mlango mmoja ukifunga, mwingine ufunguka. Kama vile haja kubwa, huwezi kushusha mpaka ufunge mdomo.

Jaribu uone.
 
Huyo muba anapenda recognition maskini kuna siku nlikua niko Kwa sele bonge kakaaa anapiga stori yani ukimpita yeye ndo anakushangaa sijui ili akamate ur attention umshangae af ujue huyu si flani!Jana posta tena naingia stationary namkuta anapiga stori na wadada wa pale akaacha akaanza kunikazia macho wala sikushtuka kama namrecognize.Nadhani anataka ukimuona ushangae kumuona staa.
 
Kuna jambo bado kulielewa kuhusu hizi barber shops za kibongo.

Ukienda kunyoa ukimaliza ni kama wanakulazimisha ufanyiwe ile sijui ndo wanaita scrub wenyewe.

Wana mafuta yao hayo (sijui ni lotion) niliwahi kupakwa, yana harufu mbaya balaa.

Yalinikaa kama siku 2 hivi, pulizia pafyumu bado tu nayasikia.
 
Back
Top Bottom