robert shem
New Member
- Jun 8, 2013
- 3
- 1
Kazi kazi tu wao wanaakili timilifu cdhani kama watakosa la kufanya kituoni hapo ama hata nje ya kituo hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtiririko wa mawazo!Unyoofu wa mantiki?
Kwa kweli hapo sina hakika ingawa naona hiyo ndo tafsiri ya karibu zaidi...
Yep ni kweli mkuu. EATV ni TV ya burudani kwa hiyo vipindi vingi vinakuwa tailored kiburudani..mi nadhani kila kipindi kina audience yake....kwa mfano anaeangalia hardtalk [HASHTAG]#kamaWewe[/HASHTAG] hawezi kuangalia mkasi au ngazi kwa ngazi....itakuwa absurd kwasababu hata vitu vitavyoongelewa ni TOFAUTI KABISAA plus eatv is mostly an entertainment [HASHTAG]#sinahakikanahyospelling[/HASHTAG] channel ila hardtalk ni bbc ambayo ni mostly news and curent issues so....you see the difference
Nimeongelea hilo. Lakini kuna mipaka ya kipindi chochote ambacho kina staha hata ndogo tu, nimetoa mfano habari ya Salama kusema machotara waoane wenyewe kwa wenyewe tu, wasioane na weusi. Kwa mtu anayeyapa maneno uzito kauli kama hiyo inakitoa kipindi hata katika vipindi visivyo serious, inakipeleka kwenye vipindi visivyo adabu.mi nadhani kila kipindi kina audience yake....kwa mfano anaeangalia hardtalk [HASHTAG]#kamaWewe[/HASHTAG] hawezi kuangalia mkasi au ngazi kwa ngazi....itakuwa absurd kwasababu hata vitu vitavyoongelewa ni TOFAUTI KABISAA plus eatv is mostly an entertainment [HASHTAG]#sinahakikanahyospelling[/HASHTAG] channel ila hardtalk ni bbc ambayo ni mostly news and curent issues so....you see the difference
Nimeongelea hilo. Lakini kuna mipaka ya kipindi chochote ambacho kina staha hata ndogo tu, nimetoa mfano habari ya Salama kusema machotara waoane wenyewe kwa wenyewe tu, wasioane na weusi. Kwa mtu anayeyapa maneno uzito kauli kama hiyo inakitoa kipindi hata katika vipindi visivyo serious, inakipeleka kwenye vipindi visivyo adabu.
That's a needle in a haystack situation, I'm still looking.Unaweza kutuwekea hiyo episode hapa?
Manake naona umeng'ang'ania hapo tu.
Tuwekee basi na sisi tuone/ ama tusikie ili tuweze kung'amua alisema hivyo katika muktadha upi.
Zaidi ya hapo, kama walivyoeleza wengine, sioni tatizo la Salama na maudhui ya kipindi chake.
That's a needle in a haystack situation, I'm still looking.
The fact that I am generally appalled by the show does not help.
Mara moja kuna mtu alinikosoa hapa JF mpaka nikakubali nimekosea, siku nyingi sana.Kiranga ulishawahi kutokuwa sahihi?
I can't remember. Show nishaitoa umuhimu hata kukumbuka kazi.Mpaka sasa nimeangalia mbili Ambazo nakumbuka niliangalia, ya Dullah Mwinyi na ya January Makamba. I am trying to remember some more niangalie.Mgeni alikuwa nani?
I can't remember. Show nishaitoa umuhimu hata kukumbuka kazi.Mpaka sasa nimeangalia mbili Ambazo nakumbuka niliangalia, ya Dullah Mwinyi na ya January Makamba. I am trying to remember some more niangalie.
Kwanza angalia Pwagu na Pwaguzi hapa
Wamepoteza airtime mpaka alipokuja mgeni wao.
Kwa wanaojua staha za watu walioheshimika, watu wanaoenzi tamaduni zao, watu waliostaarabika, kabla mgeni kuja hao Pwagu na Pwaguzi (hapana, naomba nisiwaite tena Pwagu na Pwaguzi maana nikiwaita hivyo nitakuwa nimewatukana Pwagu na pwaguzi) katika maongezi yao ya dakika tatu za mwanzo wa kipindi washatukana bila sababu, kwenye TV.Sasa hapo kwa mfano nini tatizo?
Si wanapiga soga tu...
What's wrong with that?
Kwenye hili sioni kabisa hoja yako ilipo na mashiko.
If you don't like it then maybe it's not for you.
We unataka kila kipindi cha kwenye runinga kiwe kama Meet the Press ya Tim Russert?
Duuuuh kende umepotelea wapi?Na kweli, umekuwa uzi wa mabishano na matukano
Kwa wanaojua staha za watu walioheshimika, watu wanaoenzi tamaduni zao, watu waliostaarabika, kabla mgeni kuja hao Pwagu na Pwaguzi (hapana, naomba nisiwaite tena Pwagu na Pwaguzi maana nikiwaita hivyo nitakuwa nimewatukana Pwagu na pwaguzi) katika maongezi yao ya dakika tatu za mwanzo wa kipindi washatukana bila sababu, kwenye TV.
Lakini kuna samaki wengine washazoea kuogelea katika maji ya matusi na lugha mbovu hata hawawezi kujua kama kuna tusi limesemwa pasi na sababu hapo.
That's just a random episode.
Huyo muba anapenda recognition maskini kuna siku nlikua niko Kwa sele bonge kakaaa anapiga stori
Hahaha sana kama sio kula chips kununua mandazi!Ana mandazi flani hivi ya iliki nanunua yakubeba ofisini.Kumbe nawe ni mdau wa kwa Sele bonge eh?
Mi ndo huwa naenda kula biryani hapo.
Kuna jambo bado kulielewa kuhusu hizi barber shops za kibongo.
Ukienda kunyoa ukimaliza ni kama wanakulazimisha ufanyiwe ile sijui ndo wanaita scrub wenyewe.
...............Nimeita mtu byach?
Wapi?
Unaweza kuninukuu ukanionesha wapi nimeita mtu byach?
Au umerukia kitu kichwakichwa bila kukielewa?
Don't get me started with that, you will derail this byach.
I keep planets in orbit.