Nini Hupelekea Ndoa Nyingi Kuvunjika Ama Mahusiano?

Nini Hupelekea Ndoa Nyingi Kuvunjika Ama Mahusiano?

MRWINNER

Member
Joined
May 29, 2026
Posts
60
Reaction score
177
Je, sababu kuu huwa ni usaliti na matamanio, kukosekana kwa uwazi, au kuchokana ?
 

Attachments

  • FB_IMG_1778242774265.jpg
    FB_IMG_1778242774265.jpg
    126.1 KB · Views: 23
Sipendi nipo kwa mahusiano alafu unakuta mtu yupo seriously kiasi ambacho hata unashangaa.

Tumejuana juzi tu baada ya kupelekewa moto unaanza kusema mara upeleke barua ,mara hki mara kile.

Kuna mmoja nimemuacha kisa alinipenda sana sana sana an mtu akipenda sana inakera yaani unaonekana kama mtoto aiseee

Watoto ndo wana upendo huo wa kupenda sanaaaaa

Jamni natamani nimuache huyu mmama ila wee kama kaniwekea dawa maana unaweza pata mawazo ya kumuacha ila.unashangaa akirudi kazini atalazimisha mkaoge.. huko bafuni bana atakufanyia mambo mpaka ukirudi tena ndani yale mawazo yote unakua huna..

Kijana wenu nipp bagamoyo
Nimefungiwa hapa kwa awadhi
Vishu Mtata
 

Kuishi na mwanamke ni taaluma ambayo inabidi watu waifahamu na kujifunza​


Inachukua takribani miaka 20 kuishi na mwanamke na kujua tabia zake zote

Unajua kwanini wakati anaumbwa mwanamke ilibidi Adamu alale usingizi? Kwasababu huenda kuna mengi ambayo Adamu hakupaswa kuyaona au kuyajua kwa kiumbe hiki
 
Back
Top Bottom