pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 7,939
- 9,687
Huyu Umri na busara vimepishana sanaNa mjuaji, mbishi ila ndio anazeeka na upumbafu wake! Hata hivyo anaiga kwa wakuu wa nchi, ni kusifia tu hata waki💩
Huyu Umri na busara vimepishana sanaNa mjuaji, mbishi ila ndio anazeeka na upumbafu wake! Hata hivyo anaiga kwa wakuu wa nchi, ni kusifia tu hata waki💩
Ujinga!🤦🏽♀️Huyu Umri na busara vimepishana sana
KisamvuHakuna vocabulary haijui kuusiana na 💩 huyo mshezi kweli!
Chukua ushauri huo kutoka kwa braza!Kisamvu
Chukua ushauri huo kutoka kwa braza!
View: https://www.instagram.com/reel/DXhkfUpCSG6/?igsh=MWlwYzc2M3gzMmdzbg==
😂😂😂😂Wakati wewe unachoka kuna vijana wenzako hawachoki
View attachment 3597058
Au nasema uongo mrembo?😂😂😂😂
Kwa hili upo sahihi ukiacha mambo ya chama kichwa kimejaa madinindugu mdau,
kwa kawaida kabisa,
mwanaume akishaona mbususu ya mwanamke jinsi ilivyo, na kuitumia na kupata ladha yake ikoje,
kitakacho mbakiza atie kambi ya kudumu na kuendelea na mahusiano na hatimae ndoa na hiyo pisi kali ni TABIA ZAKE.TU.
zukiwa mbovu mwanaume hutoka nduki mwendo wa ngiri na tabia zikiwa nzuri basi itawekwa kambi ya kudumu hapo mpaka kifo kiitenganishe
Ingawa zipo sababu nyingine nyingi, ila kwa leo, hii nimeona ni ya msingi zaidi.TABIA🐒
Kila la heri angalizo asije kukuvunja hio zakariSipendi nipo kwa mahusiano alafu unakuta mtu yupo seriously kiasi ambacho hata unashangaa.
Tumejuana juzi tu baada ya kupelekewa moto unaanza kusema mara upeleke barua ,mara hki mara kile.
Kuna mmoja nimemuacha kisa alinipenda sana sana sana an mtu akipenda sana inakera yaani unaonekana kama mtoto aiseee
Watoto ndo wana upendo huo wa kupenda sanaaaaa
Jamni natamani nimuache huyu mmama ila wee kama kaniwekea dawa maana unaweza pata mawazo ya kumuacha ila.unashangaa akirudi kazini atalazimisha mkaoge.. huko bafuni bana atakufanyia mambo mpaka ukirudi tena ndani yale mawazo yote unakua huna..
Kijana wenu nipp bagamoyo
Nimefungiwa hapa kwa awadhi
Vishu Mtata
Zakari ndo nini mkuuKila la heri angalizo asije kukuvunja hio zakari