Sababu ni hiyo 👍Wakati wewe unachoka kuna vijana wenzako hawachoki
View attachment 3597058
Kafa kaozaWakati wewe unachoka kuna vijana wenzako hawachoki
View attachment 3597058
Mno bwasheeKafa kaoza
Nimekuelekeza jinsi ya kuondoa stress ulizonazo husikii, soon utapita naked humu!usione najiandikia anyhow kama deo kidandu, i just want to free my mind from stress za week nzima.
Ila uzuri nafasi ya dereva ni ile ileMno bwashee
Mgeni kila kitu huelewi!kiajeee
China wameanza kutengeneza magari dereva anakaa nyuma kabisa.Ila uzuri nafasi ya dereva ni ile ile
Kupita naked sahau, hapa yenyewe natumia internet ya serikali kwa umakini wa hali ya juu. Naanza kwenda viral nakedNimekuelekeza jinsi ya kuondoa stress ulizonazo husikii, soon utapita naked humu!
Haibadili kitu mfumo ni ule ule wa controlChina wameanza kutengeneza magari dereva anakaa nyuma kabisa.
SawaKupita naked sahau, hapa yenyewe natumia internet ya serikali kwa umakini wa hali ya juu. Naanza kwenda viral naked
KiunyongeSawa
Mgeni achinjiwe kuku leo , kesho amalizie miguu , vipapatio na kichwa , kesho kutwa apewe jembe akalimeAnazurura na Kamba yake tu🫢
Uchumi namba 2Maisha ya mahusiano ya kindoa yamebadilika sana, factors ni nyingi ila kubwa ni uchumi.
Nachambwa nachoka🙌🏾Kiunyonge
Ila uzuri nafasi ya dereva ni ile ile
Na maji tumtengee aoge keshokutwa ale mke wa ugenini kwake!🤦🏽♀️Mgeni achinjiwe kuku leo , kesho amalizie miguu , vipapatio na kichwa , kesho apewe jembe akalime
Mgeni niliona anatangaza kamshahara kake kametoka , anatafuta wa kukala 😅 mpatieni mgeni hata BICHWA KOMWE - 😅Na maji tumtengee aoge keshokutw aale mke wa ugenini kwake!🤦🏽♀️