Sipendi nipo kwa mahusiano alafu unakuta mtu yupo seriously kiasi ambacho hata unashangaa.
Tumejuana juzi tu baada ya kupelekewa moto unaanza kusema mara upeleke barua ,mara hki mara kile.
Kuna mmoja nimemuacha kisa alinipenda sana sana sana an mtu akipenda sana inakera yaani unaonekana kama mtoto aiseee
Watoto ndo wana upendo huo wa kupenda sanaaaaa
Jamni natamani nimuache huyu mmama ila wee kama kaniwekea dawa maana unaweza pata mawazo ya kumuacha ila.unashangaa akirudi kazini atalazimisha mkaoge.. huko bafuni bana atakufanyia mambo mpaka ukirudi tena ndani yale mawazo yote unakua huna..
Kijana wenu nipp bagamoyo
Nimefungiwa hapa kwa awadhi
Vishu Mtata