Nini Hupelekea Ndoa Nyingi Kuvunjika Ama Mahusiano?

daaah
 
Umejuaje?
 
kama kweli
 
Je, sababu kuu huwa ni usaliti na matamanio, kukosekana kwa uwazi, au kuchokana ?
ndugu mdau,
kwa kawaida kabisa,
mwanaume akishaona mbususu ya mwanamke jinsi ilivyo, na kuitumia na kupata ladha yake ikoje,
kitakacho mbakiza atie kambi ya kudumu na kuendelea na mahusiano na hatimae ndoa na hiyo pisi kali ni TABIA ZAKE.TU.

zukiwa mbovu mwanaume hutoka nduki mwendo wa ngiri na tabia zikiwa nzuri basi itawekwa kambi ya kudumu hapo mpaka kifo kiitenganishe

Ingawa zipo sababu nyingine nyingi, ila kwa leo, hii nimeona ni ya msingi zaidi.TABIAπŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…