Nini Hupelekea Ndoa Nyingi Kuvunjika Ama Mahusiano?

Kwa hili upo sahihi ukiacha mambo ya chama kichwa kimejaa madini
 
Kila la heri angalizo asije kukuvunja hio zakari
 
sababu kuu ni kutoheshimiana na kutotambua nafasi kila mmoja anatakiwa a-play.
Pia, kuna sababu nyingine kubwa sana nayo ni hii: wanawake kutokuwa wasafi(wachafu, mfano mimi na mwanamke mchafu mchafu ni mbingu na ardhi), kutojua kuvaa. hata mwanamke akiwa mzuri kama malaika kama hajui kuvaa anaonekana kama rick ross tu, hafai hata kwa kulumangia.

unakuta binti kabisa anavaa sijui vitenge sijui kanga najifunga kiuononi.. mara ananunua kitambaa anaenda kwa fundi cherehani kushona masare sare ya maua maua na maurembo... yaani sizipendi hizi manguo acheni tu..

mke avae vitu kama blauzi, skin jeans, mini skirt nk... mavitambaa tambaa ya kushonesha na mavitenge ukinivalia valia mimi nakupiga talaka... i cant live with a fool...! mwanmke ajue kuvaa bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…