Nini kazi ya hizo Sayari zilizobaki ukiondoa Dunia?

Sawa mkuu ila tu nilijarubu kuchambua solar yetu na ni kwamba haina sayari kumi zipo Nane pia kila kingaacho kama nyota si kuwa ni star complete zingine ni miale iliyokuwa inasafiri sasa imetumia miaka mingi kuufikia uso wa dunia miale hio huletwa na mlipuko wa supernova ,Nyota ktk galaxy yetu ya milk way ni zaidi ya million nyingi na ktk observable universe ni zaidi ya mabilions .........narudia kusema kuwa tupo peke etu ktk ulimwengu ina ukakasi but ktk solar yetu tupo alone. galaxy ni mkusanyiko wa nyota
 
Andrew umetunyesha juice ya Tango na pilipili...Naomba uelezee kidogo kwamba hao watu wanaishi wapi ndani ya dunia isije kuwa unamaanisha wafu waliozikwa.
Soma Twilight,kitabu cha Lobsang Rampa. Nadhani chapter 2 anaandika kuhusu inside world.
 
Mbona wanasayansi wameenda sana kwenye sayari mbali mbali lakini hawakuja na mrejesho kama huo mtazamo wako.
Sidhani kama kuna mwanasayansi aliyefika kwenye Sayari yoyote ile, kuna vyombo visivyokuwa na watu vimeshawahi kufika kwenye baadhi ya Sayari mfano Rovers ya NASA bado iko Mars inapiga picha na kuzituma huku duniani
 
Hakuna shortcut?
in theory some wormholes joining two black holes are possible shortcuts.

But the technology to navigate through them is even more complicated than anything we can think of thinking of in the next hundred years.
 
Mungu anasema IPO kiama tukio ambalo viumbe wote wataulizwa kuhusu majukumu waliyopewa.
Sasa viumbe venye akili (binadamu) wachache wanakana.

Hapa tunaona kabisa sehemu za kupewa viwanja kama zawadi kwa wale waliotii zinapatikana
 
Hii kitu hua inachanganya sana inahitaji upeo mkubwa mno ili kuweza kung'amua.
 
Kwa hali hiyo ni kitu hakiwezekani.hata wakigundua chombo chenye kasi mara milioni moja ya kasi ya mwanga muda wa kufika huko ni zaidi ya miaka mia maisha ya huyo binadamu yatakuwa yameishia njiani!Hivyo hilo libaki kwenye mawazo tu! kwanza hatutakiwi kufika huko. Sisi tusubiri nchi ya ahadi tu!!!!
 
Haya mambo ukiyafatilia sana unadata hao wanasayansi wenyewe hivi vitu wanavyovichunguza hawajui Nani aliviweka na ukiangalia mfumo wa solar system Upo katika mpangilio ni kiashiria tu yupo aliyevipanga hivi naye ni Mungu baba
 
Mkuu,
Kwanza kabisa nikushukuru kwa kuleta hii mada.kimsingi swala la uhai kuwepo au kutokuwepo kwenye sayari nyingine ni la muda mrefu sana.Wanasayansi wengi wa kuanzia karne ya kumi na nane na kuendelea wamekua wakifanya utafiti wa anga wa muda mrefu kujibu swali moja,"The question of wether or not we are alone in the universe?"
sasa hili swala linaweza kujibiwa katika misingi ya dini na katika misingi ya sayansi.
katika misingi ya dini..Jibu liko mojamoja kwa mojamoja.Kwamba Mungu aliumba mbingu na inchi.na inchi yenyewe ni sayari yetu pendwa.Na kwenye hii sayari aliumba mwanadamu.Vitabu vingi vya dini vinaongelea sayari moja tu ambayo ni dunia.

Namna ya pili yakuweza kujibu hili swalI hili ni kupitia sayansi.Sayansi inatueleza kwamba sayari inayo support uhai wa binadamu au uhai wowote ule ni dunia yaani earth.Na hii wanasayansi wanabase hiyo conclusion kulingana mahitaji muhimu ya binadamu.ili aweze kuishi pamoja na wanyama.kwahiyo utakuta wanasayansi watatuma mashine nyingi(space probes) kufanya tafiti kama kwenye sayari ya mars...wakitafuta evidence au existance ya maji na carbon molecules....ambayo kwa mwanadamu na dunia ni basic life building block.kwahiyo utakuta kimsingi katika solar system yetu yenye sayari tisa.utakuta moja tu ndo ina support uhai wa binadamu.

La tatu ni mtazamo wangu binafsi wa kujibu hili swali.Mimi na amini kwamba sayari zote zilizopo kwenye solar system yetu zina viumbe hai vinavyo ishi.Na uhai kwa hivi viumbe ni tofauti na uhai wetu.Kwanza kabisa tukumbuke hapa duniani kwetu basic life building blocks ni maji na carbon kwa hizi sayari nyingine huenda kukawa na basic life building blocks ambazo ziko based kwenye different metal elements.

Na tukumbuke dunia yetu ina vaibrate katika frequency The Schumann Frequencies ya 432 Hz.Hizi sayari nyingine zitakua na frequency tofauti na yetu ambayo implications zake ni kutokuonekana kwa macho yetu ya kawaida unless mpaka tu vibrate at the same freqeuncy.Kwa hiyo hawa viumbe wanaweza wakawa wapo wana exist maisha yao ya kawaida lakini mashine za kiutalam haziwezi kuwa detect..Labda mfano mzuri ni dunia ya kiroho ambayo tunasikia sana kuhusu mapepo etc..hawa viumbe wanakua wana vibrate at different frequency na mara nyingi wana vibrate very fast kuzidi state of existance ya kawaida.
Kingine cha zingatia solar system in ka SEHEMU KADOGO SANA KWENYE KATIKA MUKSANYIKO WA SAYARI(GALAXY).Galaxy moja ina zaidi ya sayari billion 100.Je ina ingia akilini kua dunia tu moja ndo yenye uhai wa binadamu?
 
Mkuu simple kiasi hicho?,wakapigana wakaiharibu wakahama mhh!!!
Wakahamia wapi sasa? Sisi mbona tunapigana kila leo ila hatuhami sayari yetu hii ya dunia?
Za kuambiwa changanya na zako mkuu

hahaha hata mm nimejiuliza hayo maswali nimebaki sina majibu....
 

Mkuu unawaza kama mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…