Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hizi ni mbinu zifuatazo ntakazotumia kuhakikisha tunakua na viwanda vya nguo
- Kuanzisha viwanda vya petrochemical vyenye capacity kubwa sana
- Kuanzisha viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)
- Uwepo wa nyuzi za bei rahis kutavutia waekezaji wengi sana wa viwanda vya nguo hapa Tanzania