Nini kifanyike na sisi Tanzania tuwe na viwanda vingi vya nguo

Je viwanda vitaweza shindana na nguo kutoka China?
Hapo ni swala la serikali kuweka kodi kubwa
 
Utavisimamia wewe? Mbona vilikuwepo na pamba ipo lakini CCM ikaviua kwa kusudi mpaka hivi sasa hatuna viwanda vya nguo, ila imefanikiwa kuzalisha chawa wengi.
Akili za mwafrika anaamini kila kitu hawezi ni mtu anayependa mambo marahisi ila magumu hayataki
 
Kijengwe viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)
View attachment 3292043
Maelezo mengine yapo kwenye video
Kwani hakuna hivyo viwanda nchi hii? Vimejaa kibao, pamba yetu zaidi ya nusu inatumika hapa hapa Nchini, sometime mna ongea vitu bila kufanya research.

1. Pamba haiwezi kutengeneza nguo za bei nafuu
2. Viwanda vya pamba havipo competitive sababu kuna material ya bei rahisi zaidi yanaitwa polyester.
 
Inawezekana vizuri tu
Polyester inauzwa mita 1000 ama 2000 ushaichukua China ukaileta hadi Tanzania, ishakuwa printed tayari kwa Matumizi.

Pamba ikiwa kwa mkulima unanunua Tayari kilo zaidi ya 1000, mpaka kuja kuwa processed na kila kitu mita 4000-7000 una compete vipi hapo?

Pamba ni luxury kwa Watanzania wengi, tulioko sokoni tunalijua hili.
 
China wana-spinning nyingi viwanda vya kuchakata pamba kuwa nyuzi na polyethylene terephthalate kuwa nyuzi

Nguo hazitengenezwi na pamba tu kiuhalisia nguo nyingi zinatengenezwa polyethylene terephthalate (nyuzi za plastic) na zipo cheap kuliko pamba

Ndo maana nikasema viwanda vina misingi yake na sisi kwa sasa hatuna misingi ya viwanda vya nguo ndo maana ni ngumu uzalishe nguo tz na uuze kwenye soko la dunia

Isikilize hio video vizuri
 
Kwani hakuna hivyo viwanda nchi hii? Vimejaa kibao, pamba yetu zaidi ya nusu inatumika hapa hapa Nchini, sometime mna ongea vitu bila kufanya research.

1. Pamba haiwezi kutengeneza nguo za bei nafuu
2. Viwanda vya pamba havipo competitive sababu kuna material ya bei rahisi zaidi yanaitwa polyester.
Hivi viwanda vina ukubwa gani jibu ni vidogo
Huwezi niambia una spinning za almost 5 usd billion alafu undelete kuagiza nguo China

Hiyo polyester inatokana na petrochemical plant Tanzania hatuna petrochemical plant sasa unasemaje viwanda vya petrochemical kama sio uongo ni nini

Ili ufungue kiwanda cha petrochemical ambacho kinatoa raw Material ya kutengeneza polyester kinagharimu usd billion 10 (Tsh trillion 20+) tokea tupate uhuru ukitoa huu mradi wa trend ya umeme ambao ndo unakaribia trillion 20 au umzidi kidogo sasa unasemaje viko vingi
 
Wapi nimesema tuna viwanda vya polyester nimekwambia juu polyester inatoka China as cheap as 1000 kwa mita huna uwezo wa kutengeneza locally, kwa lugha nyengine huna Alternative ya kucompete nayo.

Halafu unaongelea usd 5B? Serious? Unaijua hio hela ama unaisikia? Toka Nchi ipate Uhuru miradi mikubwa ni kama usd 600M ya biashara, Usd 5B hata MO ajifilisi, Bakhresa Ajifilisi, na wengine kibao bado hupati hio hela, halafu we una suggest kirahisi itengeneze Nyuzi?
 
China wana-spinning nyingi viwanda vya kuchakata pamba kuwa nyuzi na polyethylene terephthalate kuwa nyuzi

Nguo hazitengenezwi na pamba tu kiuhalisia nguo nyingi zinatengenezwa polyethylene terephthalate (nyuzi za plastic) na zipo cheap kuliko pamba

Ndo maana nikasema viwanda vina misingi yake na sisi kwa sasa hatuna misingi ya viwanda vya nguo ndo maana ni ngumu uzalishe nguo tz na uuze kwenye soko la dunia

Isikilize hio video vizuri
Hizo Nyuzi za plastic unatengeneza wapi nchi hii kwa quality kama ya China? Kwa bei as cheap as 1000? Tupe mchanganuo wa vifaa na raw material
 
Tanzania haina petrochemical plant sasa unawezaje shindana na China kwenge nyuzi za plastic ilihali ana petrochemical plant kama zote

Tanzania tukitaka kushindana na China kwenye nyuzi za plastic starti na sisi tuwe na petrochemical plant nyingi hii uzi mwingine
 
Wapi nimesema tuna viwanda vya polyester nimekwambia juu polyester inatoka China as cheap as 1000 kwa mita huna uwezo wa kutengeneza locally, kwa lugha nyengine huna Alternative ya kucompete nayo.

Halafu unaongelea usd 5B? Serious? Unaijua hio hela ama unaisikia? Toka Nchi ipate Uhuru miradi mikubwa ni kama usd 600M ya biashara, Usd 5B hata MO ajifilisi, Bakhresa Ajifilisi, na wengine kibao bado hupati hio hela, halafu we una suggest kirahisi itengeneze Nyuzi?
Sikiliza video yangu naona unakurupuka sana nimesema serikali itafute mwekezaji
Wewe ni muuzaji tu ilihali ujui hata manufacturing process ya polyster
 
Tanzania haina petrochemical plant sasa unawezaje shindana na China kwenge nyuzi za plastic ilihali ana petrochemical plant kama zote

Tanzania tukitaka kushindana na China kwenye nyuzi za plastic starti na sisi tuwe na petrochemical plant nyingi hii uzi mwingine
Hii comment yako ndio jibu sasa hatuwezi shindana na China,
 
Hujui kama chief hangaya ameingia madarakani akakuta viwanda 52000, na kufikia mwaka huu amezindua kiwanda cha 30,000 yaan afu selasini, jumla Tanzania tuna viwanda afu semanini naimani viwanda vya nguo ni vingi sana
 
Back
Top Bottom