Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #21
Mbadala ni nguo kuzalishwa hapa TanzaniaNa huwezi kupata mbadala kama kuna cheap import sokoni. Mnawaza kinyumenyume.
Mbadala ni nguo kuzalishwa hapa TanzaniaNa huwezi kupata mbadala kama kuna cheap import sokoni. Mnawaza kinyumenyume.
Ndiyo huwezi kupata mbadala wakati unaruhusu mitumba ya bilioni 250 iingie nchini kila mwaka. Unafikiri bila kupiga marufuku mifuko ya plastiki watu wangejenga viwanda vya vifungashio?Mbadala ni nguo kuzalishwa hapa Tanzania
Ukikataza mtumba au nguo za kichina watu watavaa niniNdiyo huwezi kupata mbadala wakati unaruhusu mitumba ya bilioni 250 iingie nchini kila mwaka. Unafikiri bila kupiga marufuku mifuko ya plastiki watu wangejenga viwanda vya vifungashio?
Lazima ujipange huwezi zalisha nguo Tanzania ilihali China ni bei rahisi, kikubwa ni kutengeneza mazingira ya viwanda vya awali vya kutengeneza nyuzi ili tuweze shidana na njia nyingine kama China au TurkeyNdiyo huwezi kupata mbadala wakati unaruhusu mitumba ya bilioni 250 iingie nchini kila mwaka. Unafikiri bila kupiga marufuku mifuko ya plastiki watu wangejenga viwanda vya vifungashio?
Utajipanga milele. Unadhani Trump anayeweka Tariffs kwenye bidhaa ambazo US hawazalishi ni mjinga.Lazima ujipange huwezi zalisha nguo Tanzania ilihali China ni bei rahisi, kikubwa ni kutengeneza mazingira ya viwanda vya awali vya kutengeneza nyuzi ili tuweze shidana na njia nyingine kama China au Turkey
Tunatakiwa tuzalishe nguo za bei rahisi kuliko hata china
Marekani sio sawa na TanzaniaUtajipanga milele. Unadhani Trump anayeweka Tariffs kwenye bidhaa ambazo US hawazalishi ni mjinga.
Badala ya watwawala kwenda us,ulaya,india na uchina waende Bagladeshi,uvyetnam na ThailamdKijengwe viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)
View attachment 3292043
Maelezo mengine yapo kwenye video
Hilo msahauTunatakiwa tuzalishe nguo za bei rahisi kuliko hata china
Linawezekana vizuri tuHilo msahau
Maendeleo uletwa na wananchi sio viongoziKwa
Kwanza lazima moate viongoz wenye kuamini maono hayo, policy(sera) zibadilike. The utekelezaji
Ukizalisha nafuu kuliko mitumba itakufa yenyeweKwanza tupige marufuku mitumba.
Kikibwa ni kupambana na gharama za uzalishaji ziwe chiniUkizalisha nafuu kuliko mitumba itakufa yenyewe
AaawapiHata hawa wakiamua inawezekana
Ni nia na dhamira ikiwepo inawezekanaAaawapi
Nahisi hauishi hapa TanzaniaNi nia na dhamira ikiwepo inawezekana
Hakuna jambo rahisiNahisi hauishi hapa Tanzania
Utavisimamia wewe? Mbona vilikuwepo na pamba ipo lakini CCM ikaviua kwa kusudi mpaka hivi sasa hatuna viwanda vya nguo, ila imefanikiwa kuzalisha chawa wengi.Kijengwe viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)
View attachment 3292043
Maelezo mengine yapo kwenye video