Nini kifanyike na sisi Tanzania tuwe na viwanda vingi vya nguo

Lakini tunatumia cotton yetu kwa capacity zaidi ya nusu that's the point, tukiongeza Viwanda itabidi tununue cotton ya nje ambayo bei itapanda hence hatutakua competitive.

Bei ya pamba amcos hapo ni 1000-2000 ila soko la Dunia tegemea bei mara 2 ama zaidi ya hapo, hatuna uwezo wa ku compete Soko la dunia na kuleta kwetu na kuuza Kwa bei rafiki.

Kuliko kununua nje cotton ina make sense kununua nguo ambazo zipo tayari, ila haimake sense kutotumia pamba yetu na kununua nje, hio ni logic rahisi kuelewa.

Polyester si mbadala wa Cotton bali ni cheaper alternative, ni. Mavazi ya masikini ambao hawawezi afford Cotton hasa kwa nguo.

Watu wananunua mitumba sababu mitumba ni high Quality (Cotton) kwa bei rahisi, ingekua polyester ni mbadala wa cotton watu wasingenunua mitumba, fulana za polyester as cheap as 5000 hapo kkoo mpya kwenye makaratasi.
Unatumia cotton ilihali wananchi wako bize na mitumba na nguo za china
Hiyo cotton inafaida gani kwa mwananchi wa kawaida
 
1. Hatuna uwezo wa kutengeneza Polyseter
2. Cotton inalimwa hapa hapa ina maana anafaidika mkulima, anafaidika mmiliki wa magari kusafiri Sha, vinafaidika viwanda vya ginnery vya kucompress, watu wanaajiriwa viwandani, Tunaboresha ulinzi wa Nchi kwa Kuzalisha nguo za majeshi hapa, Serikali inapata Kodi etc.
 
Uwezo wa kutengeneza Polyseter upo vizuri ila sio kipaumbele kwa nchi

Wananchi wako bize na mitumba na nguo za kichina alafu unasema nchi inafaidika hiki si kituko

Kitu ambacho hakimgusi mwananchi wa kawaida unasemaje kinafaida kwa nchi
 
Hivi UNAFKIRI metl mjinga ama hawa matajiri wote hawana akili, it's not viable kuleta polyester hapa, hatuchimbi mafuta, wala hatuna Cheap supply ya mafuta, utatengeneza Bomba Toka Saudia hadi hapa ili utengeneze hizo nguo? Wenzako wanafanywa subsidies hadi ya Chuma.
 
Lazima ujipange huwezi zalisha nguo Tanzania ilihali China ni bei rahisi, kikubwa ni kutengeneza mazingira ya viwanda vya awali vya kutengeneza nyuzi ili tuweze shidana na njia nyingine kama China au Turkey
Kwa sisi watanzania au tuseme waafrika ni mtihani mkubwa sana, nakumbuka tulikuwa na kiwanda cha Bora ambacho kilipewa soko la watanzania milioni 23 wakati huo kuwavisha viatu na hakijaweza kuishi.
Labda tujaribu kizazi hiki kama wapo serious na wana wivu wa mendeleo huenda wakaweza.
 
Hivi UNAFKIRI metl mjinga ama hawa matajiri wote hawana akili, it's not viable kuleta polyester hapa, hatuchimbi mafuta, wala hatuna Cheap supply ya mafuta, utatengeneza Bomba Toka Saudia hadi hapa ili utengeneze hizo nguo? Wenzako wanafanywa subsidies hadi ya Chuma.
Ndo maana nikasema kwenye tuwe na spinning nyingi na Petrochemical sasa ulichokua unabisha ni nini sababu nimekuuliza maswali ambayo kama sisi ni wazalishaji wakubwa wa pamba sasa kwanini watu wako bize na mitumba na nguo za kichina hujajibu umeingia mitini

Kama wanatao subsidy Tanzania haijakatazwa kutoa subsidy biashara ni ushindani
 
Nimekujibu hapo juu tunatumia capacity yetu yote, ushawahi sikia pamba za wakulima hazina soko Tanzania? Pamba yote inatumika. Sababu Pamba yetu haitoshi ndio kunakua na hilo gape.

Boss tusibishane hii comment ya mwisho endelea kuamini hizo theory zako za makaratasi, tafuta watoto wenzako mdanganyane.
 
Kijengwe viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)
View attachment 3292043
Maelezo mengine yapo kwenye video
Bro Denis kwa nini unaendelea kuamini serikali iwekeze kwenye viwanda. Viwanda vya nguo viliuwawa na hio hio serikali sasa watafanya jipya gani! Sisi raia tuamue kuchukua hatua wenyewe tuanzishe viwanda vidogo vidogo tusuke hizo nyuzi.
Tunamiaka 60 tangu uhuru, tusipobadili mtaza.o tutaishi miaka mingine 60 tukiwa wategemezi.
 
Serikali ndo watoa vibali na hata kukupa tax break huwezi wakwepa serikali kwa namna yeyote ile
 
Upo sahihi ila kwa aina ya viongozi waliopo hilo sahau. Labda angekuwepo magu, kuna kipindi magufuli alitaka kupiga marufuku mitumba labda ingesaidia.
Hawa waliopo mie sina iman nao. Jaribu kuwashawishi huenda wakakusikiliza na kufanyia kazi.
 
Ni ngumu ila watakubali
 
Simba na Yanga zife majengo yao yawe viwanda
Majengo ya viwanda vya nguo mbona yako mengi tu! Urafiki, mwatex, mutex, Kiltex. Watu wapumbavu wakayauza yakageuzwa ma-godown ya kuhifadhia bidhaa zingine vyuma wakang'oa na kuuza kama vyuma chakavu!
 
Hata viwanda vya kutengenza masufuria hamna.
Hivi vipo bwana! Viwanda vyote vinavyotengeneza mabati wana section pia za kutengeneza masufuria. Labda semea kwenye ubora sasa, tunazidiwa na sufuria zinazotoka Kenya.
 
Back
Top Bottom